Mahubiri ya Mwalimu Mwakasege - UDSM

Mahubiri ya Mwalimu Mwakasege - UDSM

Napenda mtu anayejibu kwa hoja na sio ushabiki. Je Saul alikuwa chaguo la Mungu???

Queen Esther

Kama kusudi la Mungu linasimama vizazi na vizazi unaweza kusema Sauli hakua chaguo la Mungu? Na unatueleza nini kwa rais anayeondoka madarakani?
 
Sass kama ni ushauri ni sawa ila wasema Christopher anaonyesha kuwa tumchague lowasa! Simama katk nafasi yako Jana alisema Leo kuna maombi ya kuombea uchaguzi na akasema usimbebe mtu kifuani pako mwachie Mungu yeye ndo anayejua Raisi yup anayetufaa. Amen

Well said mkuu nimehudhuria semina since day 1 sijasikia mwakasege akiongelea kumchagua kiongozi fulani hata maombi ya juzi na jana tumeombea uchaguzi kakataza kuombea mgombea wako wala chama chako ombea kiongozi anayetoka Kwa Mungu sasa dada huyo anavyoanza kuelezea maswala ya kkkt sijui lowasa simueleweli
 
Je umehudhuria huu mkutano siku zote au umeanza jana.
Ni vyema na yafaa.
Asante.
Queen Esther

Hahaha hili ni somo la uendelezo kijanaa alianza kufundisha somo la kiti cha enzi toka mwezi wa 3 pale jangwani tena ilikuwa siku 3 tuu.
 
Mbona unanitukana jamani??

Soma tena uniambie wapi nimeandika Saul alikuwa chaguo na mapendekezo ya Nabii Samwel.

Je tunaweza kujadili bila jazba????

Kura za rohoni zinapatikana magotini. Maombi bado yanaendelea na HITIMISHO ni Tarehe 25 Oct. Hivi majibu yakija tofauti na ulivyojiaminisha imani yako itakuwa salama??

Queen Esther

Mpuuzi wewe, Aliyekwambia Sauli alikuwa chaguo au mapendekezo ya Samweli ni nani!! Soma Biblia uelewe!! Mwakasege ni mtumishi wa Mungu anayehubiri Kweli bila kupindisha!!

Kwa taarifa yako Lowassa ameshashinda rohoni, kura za October 25 ni uthibitisho wa Ushindi wake!! CCM ilishakataliwa, na kwasababu Mungu alimuandaa Lowassa ndio maana alisababisha Lowassa asipeperushe bendera ya CCM!!

CCM imeshafanya uovu mwingi sana, kikombe chao kimejaa, Mungu wa mbinguni ameamua kuwakataa!! Wanachoshindana nacho ni majira tu sasa!! Kwani wewe hujiulizi mbona wanabehave kama wapinzani? Jibu ni kwamba wapo rohoni wanajua hakuna ushindi mwaka huu!!
 
Mtu yeyote anayo haki kumtakia kila la heri mgombea anayemvutia,,,Ktk hayo mahubiri ya Mwakasege hajamtaja mtu yoyote japo uelekeo upo kwa Lowassa kutokana na namna anavyoandamwa,,,pale anaposema Daudi hakujiandaa kwa madaraka anamanisha hata wanaonekana kama inexperienced ktk siasa (ACT,TLP)wanao uwezo Mungu akiamua kuwatumia...anyway,Mungu ukimuomba mkate hawez kukupa jiwe,,,Mungu anajua watanzania tunahitaji nn,,,Nchi yetu haijalaaniwa,kwamba katupa rasilimali nyingi afu tuishiwe kuchekwa na majirani kwa umaskini,,,Mungu atupiganie watakaojarbu kupingana na matakwa ya watanzania WAAIBISHWE MCHANA KWEUPE...AMEN!
 
Mungu alishamteua Lowassa muda sanaaaaa...

Nyie mashetani mtasubiriiiii sanaaaaa, na bado sanaaaaaaaaa....

Lowassa, Ukawa mpango wa Mungu...!!!

👇👇👇👇👇👇👇👇👇

Hata shetani alitumia Vifungu vya biblia takatifu kuhadaa watu wa Mungu...

👆👆👆👆👆👆👆👆👆👆👆👆👆


Like what you did, SHETANI wanafanya sanaaaaaa.....

You are an AGENT OF SATAN....!!!

Lowassa, anangojea kuapishwa tu...!!!

Mashetani mrudi kuzimu, hakuna jinsi... mkae ktk moto wa milele.. nyambaf nyie
 
Mungu kamwe hawezi kukubali Fisadi Lowasa na Genge lake waongoze hii nchi, fisadi Lowasa alishakataliwa na Mungu tangu siku ya kwanza, kwanza ni tangu siku alipozaliwa na ndiyo maana hata Mungu kamlaani anatembea kama Mtu wa miaka 90 wakati hata miaka 65 hajafikisha, na bado pigo la mwisho ktk kwa Mungu kwa fisadi Lowasa linakuja na karibuni ataanza kutembelea tumbo!

TanZania ni mpango wa Mungu na siku zote Mungu ataiepusha TanZania yetu na Waovu kama fisadi Lowasa na Genge lake, itabakia kuwa hivyo mpka mwisho wa Dunia!
 
Hata shetani wakati mwingine humpotosha Nabii wa Mungu na Bible reference zipo nyingi tuu. Ila hiyo siyo hoja kwa nilichoandika.

Nimeshauri tusikilize mahubiri lakini tusipoteze nafasi yetu ya kuomba. Je umesahau kuna watumishi wa Mungu walimtabiria Mrema kuwa Rais?? Je alikuwa Rais??? Baada ya hapo heshima ya viongozi hao kwenye jamii ya waaminio imekuwaje???

Mungu sio kigeugeu, sio mtu hata ajuae wala mwanadamu hata a seem uwongo. Sisi tuombe na jawabu la ulimi latoka kwa Bwana.

Queen Esther

Dada am sure hiyo semina umesimuliwa hukuwepo, unavyoviongea sivyo vilivyoongelewa thus why watu wanakuita agent wa shetani unafitinisha watumishi wa Mungu juzi ulianza na gwajima umeona haitoshi Leo umehamia kwa mwakasege muogope Mungu
 
Mungu alishamteua Lowasa kitambo

Huyo mungu aliyemteua lowasa kuwa rais wa nchi hii siye Mungu anayeishi na hastahili kuabudiwa. Of course lowasa anaweza kuwa rais lakini si itakuwa ni chukizo kwa Mungu anayeishi na watanzania wataipata kwa sababu Mungu lazima atatuadhibu kwa uchaguzi wa aibu na kurubuniwa kirahisi.
 
Queen Esther umeleta hoja zako na tafsiri zako kuhusu ulichokisikia kwenye semina lakini haujasema kilichosemwa na huyo Mwalimu wa semina. Ingekua vizuri pia kama ungeweka hapa kile alichokisema ili watu wapime na kuchambua alichomaanisha.

Mimi nnasali kanisa ambalo wachingaji wamekatazwa na kuzuiliwa kabisa kujihusisha na siasa au kua na upande, tulichoambiwa ni kuombea uchaguzi tu!
 
Mungu kamwe hawezi kukubali Fisadi Lowasa na Genge lake waongoze hii nchi, fisadi Lowasa alishakataliwa na Mungu tangu siku ya kwanza, kwanza ni tangu siku alipozaliwa na ndiyo maana hata Mungu kamlaani anatembea kama Mtu wa miaka 90 wakati hata miaka 65 hajafikisha, na bado pigo la mwisho ktk kwa Mungu kwa fisadi Lowasa linakuja na karibuni ataanza kutembelea tumbo!

TanZania ni mpango wa Mungu na siku zote Mungu ataiepusha TanZania yetu na Waovu kama fisadi Lowasa na Genge lake, itabakia kuwa hivyo mpka mwisho wa Dunia!

Lowasa ndo Joshua wetu,hakuna mwingine.Tumedanganywa sana,ukweli umejulikana Lowasa atapata kura zetu mia kwa mia
 
Mwenye UFAHAMU na afahamu.

Hitimisho langu ni maombi. Basi tujikite kwenye maombi.

Hayo mapungufu uliyoyaona tubu kwa ajili yangu. Yamkini Mimi sikuyaona ila wewe umeyaona.

Lengo kuu ni MAOMBI MUNGU ATUPE DAUDI.

Queen Esther

Dada am sure hiyo semina umesimuliwa hukuwepo, unavyoviongea sivyo vilivyoongelewa thus why watu wanakuita agent wa shetani unafitinisha watumishi wa Mungu juzi ulianza na gwajima umeona haitoshi Leo umehamia kwa mwakasege muogope Mungu
 
QUEEN Esther, Mimi najiuliza alimlenga nani sasa mimi nilichokishuhudia anasisitiza kutokwenda mbele za Mungu ukiwa umebeba mtu wa chama chako. Labda nisaidie wapi alimlenga mtu Fulani (mtaje). hata leo kamsi kesho alisistia antamai kuomba akasema usije na mtu wako. ambayo ni sawa na maneno yako mazuri uliyoyaandika.

GT habari za asubuhi.

Kampeni za mwaka huu viongozi wa dini ya KIKRISTO wameongoza kuvunja sheria na taratibu za uchaguzi kwa kuonesha bayana yule wamtakaye.

Hili linanikumbusha habari ya kuchaguliwa kwa mfalme Daudi kuwa mfalme wa Israel. Mambo yafuatayo yalijitokeza:-
1. Mungu alimtuma Nabii Samwel akampake mafuta mfalme wa Israel
2. Mungu alimtuma Nabii Samwel aende katika nyumba ya Yesse na kati ya vijana wake Mungu amemchagua mmoja kuwa mfalme.
3. Nabii Samwel alipowaendea wazee wa Bethlehem walistuka hata kumuliza Je kuna amani??? Na ndipo alipowaambia na tutoe dhabihu.
4. Wakati IBADA ilipoanza ndipo Nabii Samwel alipoanza kuchagua mfalme mpya kwa kufuata matamanio ya moyo wake na sivyo Mungu alivyotaka.
5. Mungu alimuonya Nabii Samwel asiangalie mwonekano mzuri, urefu wa mtu,nk kwani Mungu haangalii hayo.
Mungu haangalii kama mwanadamu anavyoangalia, haijalishi ni Nabii, Mtume, Mwalimu au Askofu.
6. Tabia ya Mungu ni kuangalia NIA YA NDANI (For The Lord does not see as man sees; for man looks at the outward appearance, but The Lord looks at the HEART) statement of fact.
Tafsiri - Mungu haangalii vile mwanadamu anavyoangalia, kwani mwanadamu anaangalia mwonekano wa nje lakini Mungu anaangalia MOYO).
7. Hivyo basi haijalishi nani katabiri nini, nani kahubiri nini? nani kasema nini. Bado mpango wa Mungu na kusudi la Mungu kwa Tanzania litasimama.
8. BWANA HUYABATILISHA MASHAURI YA MATAIFA, HUYATANGUA MAKUSUDI YA WATU, SHAURI LA BWANA LASIMAMA MILELE, MAKUSUDI YA MOYO WAKE VIZAZI NA HATA VIZAZI.
9. Mwisho tunaona Nabii Samwel akiulizia iwapo kuna kijana mwingine wa Mzee Jesse, na ndipo Daudi akachaguliwa kuwa mfalme.
10. Daudi hakuwa amejiandaa hata kidogo kuwa mfalme, bali ulikuwa ni mpango wa Mungu mwenyewe.

HITIMISHO
Viongozi wa dini wameamua waziwazi kutuhamasisha tumchague mtu fulani kuwa Rais wa 5 wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Viongozi hawa wamesahau wajibu wao kutuongoza kuomba ili Mungu amchague yule aliyeupendeza moyo wake.

Kuna viongozi waliolifanya hili wazi na wengine wametumia akili ila unaelewa moyo unakoelekezwa. Haya nimeyaona katika mahubiri ya safari hii ya Mwl MWAKASEGE.

Jambo hili sio geni hata Nabii Samwel alifanya haya haya na mwisho wa siku Mungu aliyakataa mapendekezo ya Nabii Samwel na ndipo Daudi akawa mfalme wa Israel. TENA AKAWA THE BEST LEADER BAADA YA WOTE WALIOMTANGULIA KUBORONGA.

KWA MAANA HIYO BASI, WATU WOTE TUINGIE KWENYE MAOMBI YA TOBA NA TUMUOMBE MUNGU ATUPE RAIS ALIYEUPENDEZA MOYO WAKE. USISAHAU KUSINDIKIZA MAOMBI YAKO NA SADAKA. Viongozi wa dini tuelekezeni kwenye maombi na sio kwenye majina ya watu. Let the will of God prevail.

EE MUNGU TUSAIDIE. EE MUNGU IBARIKI TANZANIA. EE MUNGU TUPE DAUDI.

QUEEN ESTHER
 
Huyo mungu aliyemteua lowasa kuwa rais wa nchi hii siye Mungu anayeishi na hastahili kuabudiwa. Of course lowasa anaweza kuwa rais lakini si itakuwa ni chukizo kwa Mungu anayeishi na watanzania wataipata kwa sababu Mungu lazima atatuadhibu kwa uchaguzi wa aibu na kurubuniwa kirahisi.

Mungu aliyewavusha waisrael katika bahari ya Shamu ndo kamteua Lowasa penda usipenda Lowasa ndo Rais wako.Anza kutenda mema sasa kama yule karani
 
Tunaomba mwenye audio ya hayo mahubiri atuwekee hapa na sie tuskie ili tujadili.hizi habar za kujadili vitu visivyo na evidence si afya
 
^^^M^^^A^^^G^^^U^^^F^^^U^^^L^^ ^I^^^^©2015
Ven Ven conmingo si quieres vivir °°°°°°°°°°°°
°°°°°°°°°°° magufuli si la presidente la
Tanzaniano.
Grac-ous..... >^^^^^>>>^^^^^>>^^^^^>>>^^^^^^
>>>>>^^^^^^
#HaPaKaZiTu
Imejipost
 
Ndg yangu Mwanalemi.

Tujikite zaidi kwenye maombi. Nashukuru kwa mchango wako.

Queen Esther

QUEEN Esther, Mimi najiuliza alimlenga nani sasa mimi nilichokishuhudia anasisitiza kutokwenda mbele za Mungu ukiwa umebeba mtu wa chama chako. Labda nisaidie wapi alimlenga mtu Fulani (mtaje). hata leo kamsi kesho alisistia antamai kuomba akasema usije na mtu wako. ambayo ni sawa na maneno yako mazuri uliyoyaandika.
 
Back
Top Bottom