Mahubiri ya Mwalimu Mwakasege - UDSM

Mahubiri ya Mwalimu Mwakasege - UDSM

Lowasa ndo Joshua wetu,hakuna mwingine.Tumedanganywa sana,ukweli umejulikana Lowasa atapata kura zetu mia kwa mia

Kupata kura zako wewe na manyumbu wenzako haimaanishi kwamba Mungu atamfanya fisadi Lowasa na genge lake awe raisi wa JMTZ, atabakia kuwa raisi wa manyumbu, wapumbavu na malofa na siyo raisi wa JMTZ kwa maana imeshaamuliwa hivyo!
 
USHINDI KWA LOWASSA (UKAWA, CHADEMA)NI LAZIMA, MAANA NI MPANGO WA MUNGU.

Maana MUNGU anasema hivi, Kwa sababu hiyo, MIMI nitafanya tena kazi ya ajabu kati ya watu hawa, "kazi ya ajabu na muujiza " na akili za watu wao wenye akili zitapotea, na ufahamu wa wenye busara wao utafichwa. Isaya 29:14.
Kazi ya ajabu ni kama vile alivyowavusha Israeli katika bahari ya sham.
Ayubu 42:2~ imeandikwa, Najua yakuwa waweza kufanya mambo yote, Na makusudi yako hayawezi kuzuilika. Anamaanisha, anachopanga MUNGU mwanadamu, kwa nafasi yake, akili yake, kwa nguvu zake, kwa hekima yake ya kidunia, kwa jina lolote alilonalo katika dunia hii kamwe hawezi kuzuia kusudi la MUNGU kutimia kwa aliyemkusudia, hata mumchafue kivipi!

Ndiyo maana anasema tena hivi, Kwa sababu neno la msalaba kwao wanaopotea ni upuuzi, bali kwetu sisi tunaookolewa ni "nguvu ya MUNGU". Kwa kuwa imeandikwa, Nitahiharibu hekima yao wenye hekima,
Na akili zao wenye akili nitazikataa.
Ina maana yeyote atakaye waza au kutaka kubadili matokeo halali ili kuzuia kusudi la MUNGU, akili hizo atazikataa, na hiyo hekima ya kibinadamu ataiharibu. 1Korinto 1: 18-19
Mwenye sikio na asikie Roho anasema na Watanzania.

Amani ya Yesu iwatawale mioyoni mwenu
 
Sass kama ni ushauri ni sawa ila wasema Christopher anaonyesha kuwa tumchague lowasa! Simama katk nafasi yako Jana alisema Leo kuna maombi ya kuombea uchaguzi na akasema usimbebe mtu kifuani pako mwachie Mungu yeye ndo anayejua Raisi yup anayetufaa. Amen
esther amemtuhumu Mwl Mwakasege siyo ameshauri. kama alimaanisha kushauri basi hajui maana ya kushauri. soma vizuri alivyoanza na aivyomalizia 1-10 ni Neno la Mungu sia shida nalo ila kwakweli mhh!!
 
Mungu ameshajibu maombi yetu kwa viti vyote udiwani, ubunge na Rais;lililobaki ni wewe na mimi na yule siku ya

kupiga kura Mungu ajalie wote waliojiandikisha wapige kura.
 
Fuatilieni posts za huyu malkia sijui Ni wa Nchi gani akiona Jina LA Lowasa anaweweseka.Mwen ye busara hana HAJA ya kuchangia post zake.Kama unahitaji siasa panda jukwaani, Vinginevyo Subiri Oct.ujiunge na washangiliaji ingawa haitokuwa rahisi kwako huamini.
 
Wewe ndio hukunielewa.

Kuliko kuendelea kulumbana na ukweli unajulikana, hata wewe kafanye research yako pale uwanjani tangu semina imeanza hadi Leo watu wamepokea nini na wameelewa nini ndio uje kujibu.

Tujikite kwenye maombi. Hilo ndio la msingi kwa sasa. Inawezekana mwl anatumia lugha ya ndani sana sehemu kubwa ya watu hawamuelewi - God knows!!!

Queen Esther

esther amemtuhumu Mwl Mwakasege siyo ameshauri. kama alimaanisha kushauri basi hajui maana ya kushauri. soma vizuri alivyoanza na aivyomalizia 1-10 ni Neno la Mungu sia shida nalo ila kwakweli mhh!!
 
Mwakasege kaongea vizuri sana hasa namba 4, 6 na 7.
 
Naona uchaguzi wa mwaka huu ni vita ya neno la Mungu.

Huu ndio uzuri wa Neno la Mungu. Linajitetea na kujipigania lenyewe.

Octoba 25 tutajua Mungu ame simama na nani.

Queen Esther

USHINDI KWA LOWASSA (UKAWA, CHADEMA)NI LAZIMA, MAANA NI MPANGO WA MUNGU.

Maana MUNGU anasema hivi, Kwa sababu hiyo, MIMI nitafanya tena kazi ya ajabu kati ya watu hawa, "kazi ya ajabu na muujiza " na akili za watu wao wenye akili zitapotea, na ufahamu wa wenye busara wao utafichwa. Isaya 29:14.
Kazi ya ajabu ni kama vile alivyowavusha Israeli katika bahari ya sham.
Ayubu 42:2~ imeandikwa, Najua yakuwa waweza kufanya mambo yote, Na makusudi yako hayawezi kuzuilika. Anamaanisha, anachopanga MUNGU mwanadamu, kwa nafasi yake, akili yake, kwa nguvu zake, kwa hekima yake ya kidunia, kwa jina lolote alilonalo katika dunia hii kamwe hawezi kuzuia kusudi la MUNGU kutimia kwa aliyemkusudia, hata mumchafue kivipi!

Ndiyo maana anasema tena hivi, Kwa sababu neno la msalaba kwao wanaopotea ni upuuzi, bali kwetu sisi tunaookolewa ni "nguvu ya MUNGU". Kwa kuwa imeandikwa, Nitahiharibu hekima yao wenye hekima,
Na akili zao wenye akili nitazikataa.
Ina maana yeyote atakaye waza au kutaka kubadili matokeo halali ili kuzuia kusudi la MUNGU, akili hizo atazikataa, na hiyo hekima ya kibinadamu ataiharibu. 1Korinto 1: 18-19
Mwenye sikio na asikie Roho anasema na Watanzania.

Amani ya Yesu iwatawale mioyoni mwenu
 
GT habari za asubuhi.

Kampeni za mwaka huu viongozi wa dini ya KIKRISTO wameongoza kuvunja sheria na taratibu za uchaguzi kwa kuonesha bayana yule wamtakaye.

Hili linanikumbusha habari ya kuchaguliwa kwa mfalme Daudi kuwa mfalme wa Israel. Mambo yafuatayo yalijitokeza:-
1. Mungu alimtuma Nabii Samwel akampake mafuta mfalme wa Israel
2. Mungu alimtuma Nabii Samwel aende katika nyumba ya Yesse na kati ya vijana wake Mungu amemchagua mmoja kuwa mfalme.
3. Nabii Samwel alipowaendea wazee wa Bethlehem walistuka hata kumuliza Je kuna amani??? Na ndipo alipowaambia na tutoe dhabihu.
4. Wakati IBADA ilipoanza ndipo Nabii Samwel alipoanza kuchagua mfalme mpya kwa kufuata matamanio ya moyo wake na sivyo Mungu alivyotaka.
5. Mungu alimuonya Nabii Samwel asiangalie mwonekano mzuri, urefu wa mtu,nk kwani Mungu haangalii hayo.
Mungu haangalii kama mwanadamu anavyoangalia, haijalishi ni Nabii, Mtume, Mwalimu au Askofu.
6. Tabia ya Mungu ni kuangalia NIA YA NDANI (For The Lord does not see as man sees; for man looks at the outward appearance, but The Lord looks at the HEART) statement of fact.
Tafsiri - Mungu haangalii vile mwanadamu anavyoangalia, kwani mwanadamu anaangalia mwonekano wa nje lakini Mungu anaangalia MOYO).
7. Hivyo basi haijalishi nani katabiri nini, nani kahubiri nini? nani kasema nini. Bado mpango wa Mungu na kusudi la Mungu kwa Tanzania litasimama.
8. BWANA HUYABATILISHA MASHAURI YA MATAIFA, HUYATANGUA MAKUSUDI YA WATU, SHAURI LA BWANA LASIMAMA MILELE, MAKUSUDI YA MOYO WAKE VIZAZI NA HATA VIZAZI.
9. Mwisho tunaona Nabii Samwel akiulizia iwapo kuna kijana mwingine wa Mzee Jesse, na ndipo Daudi akachaguliwa kuwa mfalme.
10. Daudi hakuwa amejiandaa hata kidogo kuwa mfalme, bali ulikuwa ni mpango wa Mungu mwenyewe.

HITIMISHO
Viongozi wa dini wameamua waziwazi kutuhamasisha tumchague mtu fulani kuwa Rais wa 5 wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Viongozi hawa wamesahau wajibu wao kutuongoza kuomba ili Mungu amchague yule aliyeupendeza moyo wake.

Kuna viongozi waliolifanya hili wazi na wengine wametumia akili ila unaelewa moyo unakoelekezwa. Haya nimeyaona katika mahubiri ya safari hii ya Mwl MWAKASEGE.

Jambo hili sio geni hata Nabii Samwel alifanya haya haya na mwisho wa siku Mungu aliyakataa mapendekezo ya Nabii Samwel na ndipo Daudi akawa mfalme wa Israel. TENA AKAWA THE BEST LEADER BAADA YA WOTE WALIOMTANGULIA KUBORONGA.

KWA MAANA HIYO BASI, WATU WOTE TUINGIE KWENYE MAOMBI YA TOBA NA TUMUOMBE MUNGU ATUPE RAIS ALIYEUPENDEZA MOYO WAKE. USISAHAU KUSINDIKIZA MAOMBI YAKO NA SADAKA. Viongozi wa dini tuelekezeni kwenye maombi na sio kwenye majina ya watu. Let the will of God prevail.

EE MUNGU TUSAIDIE. EE MUNGU IBARIKI TANZANIA. EE MUNGU TUPE DAUDI.

QUEEN ESTHER

.
Binafsi ninachoona hapa katika hili bandiko ni sadaka inatafutwa. maana tumezoea ktk waganga wa kienueji kinachohitajika kule kwa mhitaji ni kutoa sadaka/dhabihu/kafara yote hayo ni mamoja tu pia kwa hawa manabii na mitume leo.
kwa mkristo wa kweli hakuna unachotakiwa kulipia Mungu atakachokufanyia maana damu ya Yesu ishatolewa kama dhabihu ya kukomboa. sasa vitu vingi vilivyokuwa vikitolewa wakati wa agano la kale kama ngombe,mbuzi, mawe meupe ya ile yurimu timamu nk vimebaki vikiendelea katika nyumba za uaguzi wa kichawi.
suala la Samwe Daudi wakati ule lilikua ni uteuzi wa Mungu bila watu kuhusishwa kwa kupiga kura. ni tofauti sana na sasa hivi ambapo ni uchaguzi wa Mungu kupitia utashi wa watu.
Hivyo manabii wa sasa acheni kutuchanganya kwa kucheza na akili zetu na badala yake hubirianeni katika vyumba vyenu vya ibaada zenu.
Manabii wa Mungu wa zamani walikua dira na muongozo kwa jamii yote na hata watawala. wa sasa hivi ni wavurugaji na vyombo vinavyowatumikia watawala kwa mshahara wa aibu.
Nine hili "Watu wangu huangamia kwa kukosa maarifa " limekuwa dhahiri zama hizizetu zaidi.
.
 
Mungu aliyewavusha waisrael katika bahari ya Shamu ndo kamteua Lowasa penda usipenda Lowasa ndo Rais wako.Anza kutenda mema sasa kama yule karani

Mungu aliyewavusha wana wa Israel bahari ya Shamu KAMWE hawezi kumchagua lowasa kututawala watanzania.Kwani huyu Mungu siku hizi amekuwa kipofu?? Hakuona lowasa akiingia kila nyumba ya ibada misikiti, makanisa kurubuni katika jina la kutoa michango?? Leo Mkristo, kesho Mwislamu Mungu gani atakubali ibada yako?? je huyu Mungu amekuwa kipofu hakuona lowasa akiwarubuni watu waende eti kumshawishi agombee urais?? Unawapa watu pesa na nauli unawaambia waje kwako wakushawishi baadaye unasema umewasikia umekubali. Mungu aliyewavusha wana wa Israel ameona hayo. Kumbuka Mungu wa Israel hahitaji ushahidi wa mahakama. Ufisadi wote wa huyu mzee Richmond, wizara mbalimbali, AICC ameziona. Bahati mbaya sana huyu Lowasa hajawahi kukiri na kutubu japo alilazimika kujiuzulu kwa sababu ya huu huu ufisadi. Kama kuna mungu aliyemchagua lowasa kuwa rais ujue sio mungu mwenye sifa ya kuabudiwa na viumbe.
 
Tafuta kitabu au CD ya Mwalimu MWAKASEGE, ktk mafundisho umuhimu wa kusindikiza maombi na sadaka. Omba pale uwanjani utapewa.

Queen Esther

.
Binafsi ninachoona hapa katika hili bandiko ni sadaka inatafutwa. maana tumezoea ktk waganga wa kienueji kinachohitajika kule kwa mhitaji ni kutoa sadaka/dhabihu/kafara yote hayo ni mamoja tu pia kwa hawa manabii na mitume leo.
kwa mkristo wa kweli hakuna unachotakiwa kulipia Mungu atakachokufanyia maana damu ya Yesu ishatolewa kama dhabihu ya kukomboa. sasa vitu vingi vilivyokuwa vikitolewa wakati wa agano la kale kama ngombe,mbuzi, mawe meupe ya ile yurimu timamu nk vimebaki vikiendelea katika nyumba za uaguzi wa kichawi.
suala la Samwe Daudi wakati ule lilikua ni uteuzi wa Mungu bila watu kuhusishwa kwa kupiga kura. ni tofauti sana na sasa hivi ambapo ni uchaguzi wa Mungu kupitia utashi wa watu.
Hivyo manabii wa sasa acheni kutuchanganya kwa kucheza na akili zetu na badala yake hubirianeni katika vyumba vyenu vya ibaada zenu.
Manabii wa Mungu wa zamani walikua dira na muongozo kwa jamii yote na hata watawala. wa sasa hivi ni wavurugaji na vyombo vinavyowatumikia watawala kwa mshahara wa aibu.
Nine hili "Watu wangu huangamia kwa kukosa maarifa " limekuwa dhahiri zama hizizetu zaidi.
.
 
HEKIMA YAKO IMETHIBITIKA CHINI YA JUA.

Queen Esther

Wewe ni mnafiki kama wanafiki wengine kwa kigezo cha dini.. Hufai mbinguni na duniani.. Shame on you story ndefu hamna cha maana.. Haijulikani hata lengo lako ni nini zaid ya quotations tu.

Jipange uje kivingine mnafiki wewe.
 
Hata darasani sio watu wote huwa wanamuelewa mwalimu. Some people always see things in parables. Worse come to worse things of the spirit.

Asante kwa ushauri.

Useless.. People like u who thinks using quotations in pressing there points being agreed are the failure thinkers.. Use ur own words to express ur feelings. U don't think and u never think.. Long story full of blah blah.. What the hell u trynna say.. Haa!!! Useless head.
 
GT habari za asubuhi.

Kampeni za mwaka huu viongozi wa dini ya KIKRISTO wameongoza kuvunja sheria na taratibu za uchaguzi kwa kuonesha bayana yule wamtakaye.

Hili linanikumbusha habari ya kuchaguliwa kwa mfalme Daudi kuwa mfalme wa Israel. Mambo yafuatayo yalijitokeza:-
1. Mungu alimtuma Nabii Samwel akampake mafuta mfalme wa Israel
2. Mungu alimtuma Nabii Samwel aende katika nyumba ya Yesse na kati ya vijana wake Mungu amemchagua mmoja kuwa mfalme.
3. Nabii Samwel alipowaendea wazee wa Bethlehem walistuka hata kumuliza Je kuna amani??? Na ndipo alipowaambia na tutoe dhabihu.
4. Wakati IBADA ilipoanza ndipo Nabii Samwel alipoanza kuchagua mfalme mpya kwa kufuata matamanio ya moyo wake na sivyo Mungu alivyotaka.
5. Mungu alimuonya Nabii Samwel asiangalie mwonekano mzuri, urefu wa mtu,nk kwani Mungu haangalii hayo.
Mungu haangalii kama mwanadamu anavyoangalia, haijalishi ni Nabii, Mtume, Mwalimu au Askofu.
6. Tabia ya Mungu ni kuangalia NIA YA NDANI (For The Lord does not see as man sees; for man looks at the outward appearance, but The Lord looks at the HEART) statement of fact.
Tafsiri - Mungu haangalii vile mwanadamu anavyoangalia, kwani mwanadamu anaangalia mwonekano wa nje lakini Mungu anaangalia MOYO).
7. Hivyo basi haijalishi nani katabiri nini, nani kahubiri nini? nani kasema nini. Bado mpango wa Mungu na kusudi la Mungu kwa Tanzania litasimama.
8. BWANA HUYABATILISHA MASHAURI YA MATAIFA, HUYATANGUA MAKUSUDI YA WATU, SHAURI LA BWANA LASIMAMA MILELE, MAKUSUDI YA MOYO WAKE VIZAZI NA HATA VIZAZI.
9. Mwisho tunaona Nabii Samwel akiulizia iwapo kuna kijana mwingine wa Mzee Jesse, na ndipo Daudi akachaguliwa kuwa mfalme.
10. Daudi hakuwa amejiandaa hata kidogo kuwa mfalme, bali ulikuwa ni mpango wa Mungu mwenyewe.

HITIMISHO
Viongozi wa dini wameamua waziwazi kutuhamasisha tumchague mtu fulani kuwa Rais wa 5 wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Viongozi hawa wamesahau wajibu wao kutuongoza kuomba ili Mungu amchague yule aliyeupendeza moyo wake.

Kuna viongozi waliolifanya hili wazi na wengine wametumia akili ila unaelewa moyo unakoelekezwa. Haya nimeyaona katika mahubiri ya safari hii ya Mwl MWAKASEGE.

Jambo hili sio geni hata Nabii Samwel alifanya haya haya na mwisho wa siku Mungu aliyakataa mapendekezo ya Nabii Samwel na ndipo Daudi akawa mfalme wa Israel. TENA AKAWA THE BEST LEADER BAADA YA WOTE WALIOMTANGULIA KUBORONGA.

KWA MAANA HIYO BASI, WATU WOTE TUINGIE KWENYE MAOMBI YA TOBA NA TUMUOMBE MUNGU ATUPE RAIS ALIYEUPENDEZA MOYO WAKE. USISAHAU KUSINDIKIZA MAOMBI YAKO NA SADAKA. Viongozi wa dini tuelekezeni kwenye maombi na sio kwenye majina ya watu. Let the will of God prevail.

EE MUNGU TUSAIDIE. EE MUNGU IBARIKI TANZANIA. EE MUNGU TUPE DAUDI.

QUEEN ESTHER

Wee Dada acha unafiki,Hao viongozi wa wakristo uliwasikia wapi? wewe ndo msemaji wa jumuiya za kikristo? umefanya utafiti? is it a representative sample unayotumia? Nashindwa kukutofautisha na Dr Mihogo kwa kutoa tuhuma za jumlajumla kwa viongozi wa kiroho wa jumuiya za kikristo.Jumuiya za kikristo ziko organized na zina wasemaji wake,so far hawajatoa mwongozo wa mtu wanayemtaka,wala sio moja ya kazi zao. Omba toba.
 
Mbona siyaoni yalipoandikwa hayo maneno ya Mwakasege bali ni porojo tu za Queen of Hell Esther ndo zimejaa kwenye uzi!???? CCM kweli huu mwaka umewakalia vibaya na mnajitahidi kwa kila hali muigawe hii nchi kwa UDINI wenu.
 
Back
Top Bottom