Wakuu leo nilikua ktk basi flani la kutoka mkoani na tulipofika sehem yakujipatia chochote kabla yakuendelea na safari, baada ya hapo alipanda mhubiri mmoja aliyejitambulisha katokea Kenya na kuanza kuhubiri na kusema wote wanaoumwa au wenye wagonjwa nyumbani wanyoshe mikono pamoja nakuwaombea na pia ameshuhudia watu mbalimbali wamekwishapona ktk mahubiri yake kwenye mabasi, na baada yakuwaombea alidai tangia pale wote walionyoosha mikono wameponywa na baada ya hapo kilichofuata ni kukusanya sadaka. Swali je hizi ndo nyakati za mwisho?
Siku za mwisho wa nini? mtu huyo alitakiwa kuadhibiwa kwa kukirihi abiria na kuingilia utulivu wao.Wakuu leo nilikua ktk basi flani la kutoka mkoani na tulipofika sehem yakujipatia chochote kabla yakuendelea na safari, baada ya hapo alipanda mhubiri mmoja aliyejitambulisha katokea Kenya na kuanza kuhubiri na kusema wote wanaoumwa au wenye wagonjwa nyumbani wanyoshe mikono pamoja nakuwaombea na pia ameshuhudia watu mbalimbali wamekwishapona ktk mahubiri yake kwenye mabasi, na baada yakuwaombea alidai tangia pale wote walionyoosha mikono wameponywa na baada ya hapo kilichofuata ni kukusanya sadaka. Swali je hizi ndo nyakati za mwisho?
<br />1Corinthians 9:18