Mahojiano ya polisi na Sheikh Ponda Issa Ponda

انتقلوا الشيخ سحق طلب! كل شخص يحق لإنقاذ لأنها ليست جريمة

Ni kweli kila mtu ana haki
 
نصلي من أجل السلام تنزانيا
 
Tusubiri...mambo mengi yatajili...gharama za kupigania haki na usawa ni ghali..si wengi wanozimudu.
 
انتقلوا الشيخ سحق طلب! كل شخص يحق لإنقاذ لأنها ليست جريمة

nakunya sasa...
Unakasirika uku unajua natania...
 
akiachiwa leo kesho anaorganise maandamano mengine,aachiwe jumapili siku asiyoipenda
 
Sijafurahishwa kusikia mpaka leo huyu Sheikh Ubwabwa kwamba yuko hai. alichofanywa Gaidi Sheikh Rogo kule Mombasa ndicho alichopaswa kufanyiwa huyu mpumbavu Ponda.
 
انتقلوا الشيخ سحق طلب! كل شخص يحق لإنقاذ لأنها ليست جريمة

tukojolee??
 
Kova hajajichanganya naona wewe ndiyo umegafirika pamoja na kujua kwako sheria,jitasimini upya!!


Mkuu wangu mimi na sheria mbalimbali! Huyo wakili aliyemuhoji ndiyo anajua sheria!Mimi ni mwanajamvi huru tu niliyeleta hii habari kwenu!Au nimekosea?
 
Huyu angepewa miaka kadha jela tu! Hana msingi mzuri anayetaka kujenga kwa Waislam hata kidogo!

Huyu anataka kutupotezea Amani ndani ya Nchi yetu tunayokaa siku zote kama Ndg mmoja wote!

Leo anahamasisha mambo ya udini!
Huyu anastahili kifungo tu!


Mimi simpendi ponda kwa kuwa ni gaidi wa kimataifa na anahatarisha usalama wa nchi!!
 
asalaam alaykum! saa 4 asubuhi nilifika central police kusimamia mahojiano yake na polisi kwa mujibu wa haki za mtuhumiwa nilionana na msaidizi wa zco baada ya utambulisho na kumfahamisha haki zake wakati wa mahojiano alihojiwa. Ukiacha namna alivyokamatwa mpaka naondoka polisi saa 10 kasoro alikuwa ktk hali nzuri na polisi akiwa kituoni hawakumfanyia lolote lililokinyume na haki za mtu aliyechini ya ulinzi.
sheikh anatuhumiwa na mambo yafuatayo:-
1. Kuhamasisha maandamano kwenda wizara ya mambo ya ndani. Wakati wa mahojiano walitaka kujua yafuatayo:-
i. Kwanini waliandamana ii. Nani aliandaa mabango
iii. Kwanini walisema kuwa baada ya maandamano yale wataenda kumng'oa mufti na ndalichako
iv. Nani aliandaa maandamano
sheikh alikiri kuhamasisha maandamano na pia alikubali ujumbe uliuokuwa katika mabango ulikuwa umebeba hisia za waislamu. Isipokuwa yeye hajui nani aliyaandika hayo mabango. Kuhusu mufti na ndalichako alisema wanastahili kuondolewa kwasababu ya kuongoza kwa dhulma dhidi ya waislamu. Pia alisema maandamano yaliandaliwa na taasisi na jumuiya za kiislamu na yeye ni katibu wake.
2. Kuvamia kiwanja cha chang'ombe
hapa alijibu kuwa huo ni mgogoro wa ardhi na waislamu wapo pale kwasababu ni kiwanja cha waislamu. Na kama kuna mtu anadai amevamiwa eneo lake huo ni mgogoro wa ardhi aende kushitaki mahakama ya ardhi na waislamu wapo tayari kufika mahakamani kujibu. Pia alikiri kuwa amehusika ktk ujenzi wa msikiti unaojengwa ktk eneo hilo.
3. Kuhamasisha maandamano kidongo chekundu
4. Vurugu mbagala.
Haya mawili ya mwisho hakuhojiwa kwasababu mafaili yanayohusu malalamiko hayo yalikuwa hayajafika central lakini vilevile muda ulikuwa umeenda sana. Kwani mpaka tunamaliza mahojiano ilikuwa ni saa kumi kasoro hivi toka saa nne asubuhi.
dhamana.
baada ya mahojiano niliomba apatiwe dhamana na kesho afike polisi kwa mahojiano zaidi. Polisi waliokuwa wanamhoji walikataa kwa hoja kuwa suala hilo liko kwa viongozi wakuu wa jeshi la polisi. Waliomba nikamwone zco bw. Msangi, yeye alisema hawezi kulitolea maamuzi akanitaka nimwone kamanda kova. Nilienda kuonana na kamanda kova naye aliniambia kuwa hawawezi kutoa dhamana mpaka amalize mahojiano yaliyobaki. Na vile vile alisema wanasubiri wapate ushauri toka ofisi ya dpp. Lakini zaidi akasema kwa kuwa issue ya mbagala kuna watu wameshitakiwa kwa armed robbery kosa ambalo halina dhamana si vizuri kumpa dhamana sasa kwani huenda katika upelelezi wao wanaweza kumuunganisha na washitakiwa wa armed robbery mbagala. Kwa ufupi hiyo ndio hali iliyokuwepo.
naomba waislamu waambiwe wawe na subira wakati huu waifanye lolote litakalowapa nafasi maadui wa uislamu maneno ya kusema


maadui wa uislam ni waislam wenyewe...nani wakuahangaika na nyie?? Unafki tu umewatawala....mnatumiwa bila nyie kujijua.:a s 465::a s 465:
 
Mimi simpendi ponda kwa kuwa ni gaidi wa kimataifa na anahatarisha usalama wa nchi!!

Etiiiii??? Huyo ni panya mdogo sana. Subiri tu utaskia mustakabali wake sasa hivi. Kwanini alikimbia basi alipogundua kashaingia kwenye mtego?
 
Back
Top Bottom