Mahojiano ya Bishanga na The Secretary..

Mahojiano ya Bishanga na The Secretary..

Nicas Mtei

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2010
Posts
11,556
Reaction score
7,113
Bishanga : Sweetie otea nimekununulia zawadi gani ya birthday?

The secretary : Oh jamani sweetie umeninunulia nini?

Bishanga : Unakumbuka ile RAV4 uliionaga ukaipenda sana rangi yake?

The secretary : Woooow honey! oh my God! Umeninunulia ile??! I luv u so much Bishanga wangu !!

Bishanga : Hapana nimekununulia mswaki una rangi kama ile.

The secretary : Kwenda zako huko. Usije kwangu. Nyambafff.
 
Last edited by a moderator:
Bishanga anunue RAV 4 Hiyo hela aipate wapi? Mwenyewe hela ya kujikimu mpaka aazime
 
Last edited by a moderator:
Bishanga umefikia hapo???Nakuonea huruma sana.Njoo ufanyiwe maombi kwa jina la Yesu
 
Last edited by a moderator:
Ahahahaa hii ndo jf couple of the year yaani tunavyopendana hadi raha hasa hasa ikikaribia mwisho wa mwezi mapenzi yananoga zaidi hadi wa kina Erickb52 wanaona wivu copy😡Bishanga
 
Last edited by a moderator:
Hahahahahaha

na ulivyokuwa unalilia talaka chezea mhaya na katerero yake mwenyewe umenywea
 
Last edited by a moderator:
Mhh anunue Rav4,wahindi waajiri zake sii watamtafuna mazima
 
hah hah hah hah!!! Teh teh teh teh! Jaman mbavu zangu!
 
Back
Top Bottom