Game Theory
JF-Expert Member
- Sep 5, 2006
- 8,546
- 898
ohhh hao jamaa waliopewa tenda wanaitwa MAWALLA
Soma hapa:
The East African: *- Business*|You can now register your firm in 3 days
Kwa mwendo huo hatufiki.
Inawezekana kuna fungu la pesa limechakachuliwa hapo au na yeye ameingizwa chaka kwa kuuziwa software bei kubwa namna hiyo.
Inabidi mmuhoji kwanini objectives zenu za kununua hiyo software hazijawa achieved? Kama amenunua kitu chini ya kiwango means ameuziwa kwa bei rahisi.
Angalieni receipts na madocument mengine mhakikishe kwanza. Arudishe chenji haraka.
mkuu ...sliding roof... ngoja nikumegee... Nyaga Mawalla of MAWALA Group and Mawalla Advocates nimesoma nae ilboru high school nikiwa one year ahead ..... Nyaga Mawalla amezaa na Rehema Kitambi ambaye ni assistant Registrar wa BRELA ...i am finished
Angalieni hata features za hiyo software ni kichekesho tu, kama hamuamini ingieni kwenye hiyo website mtashuhudia vitu vinavyotangazwa kwenye TV na News Papers kila kukicha!Kwa mwendo huo hatufiki.
Inawezekana kuna fungu la pesa limechakachuliwa hapo au na yeye ameingizwa chaka kwa kuuziwa software bei kubwa namna hiyo.
Inabidi mmuhoji kwanini objectives zenu za kununua hiyo software hazijawa achieved? Kama amenunua kitu chini ya kiwango means ameuziwa kwa bei rahisi.
Angalieni receipts na madocument mengine mhakikishe kwanza. Arudishe chenji haraka.
mkuu.... concern yangu kubwa hapa ni kwamba kuna conflict of interests.... Nyaga Mawalla of Mawalla Group ana mahusiano ya kiuzazi na Assistant Registrar wa BRELA ... je? MAWALLA Group wamepata hiyo tender kwa kufuata sheria na kama ndio... je? wata deliver bila kukiuka taratibu kutokana na mahusiano ya binafsi baina ya supplier na client
Kwani hujui ni wahindi ndo wameleta rushwa Tz enzi za mzee ruksa.Hivi nchi hii bila wahindi haiendi? Nyie ma CEO kwa nini hamuwapi watanzania biashara?
Contact Persons :
Mr.V.Ramadhar Reddy (C.E.O),email:ramadhar@sura-tz.com.
Mr.A.Prakash Yadav(Manager),Email😛rakash@sura-tz.com.
Mr.Edmund Safari Mbao (Business Development Manager),email:safari@sura-tz.com
Mkuu....
Rehema Kitambi ni Assistant Registrar wa BRELA - Client.... Nyaga Mawalla ndiyo CEO wa MAWALLA Group.... Supplier (investor in terms of Public Private Partnership) Nyaga na Rehema ni wazazi .. wana mtoto..
the unfold story is....
Nyaga na Rehema wameanza urafiki wa kimapenzi tangu Arusha School kwenye miaka ya 1984-85 ..... wamekuwa wapenzi University of Dar es salaam wakiwa wote kitivo cha sheria miaka ya 1994-95..... wamemaliza pamoja Nyaga amerithi kampuni ya Sheria ya Baba yake... na Rehema ameajiriwa BRELA....
Do we have any confidence with the practices under these circumstances....? I completely doubt
kwanza kuna mambo kadhaa hapa:
1. Sheria ya PPP imepitishwa lini? najua kuwa tayari ilishaandaliwa lakini bado bunge halijaipitisha...hivyo MAWALLA na BRELA wanafanya utapeli na local media hawaulizi maswali. Kwa hiyo hapa kuna mambo 2
a) Idara ya Serikali imevunja sheria kwa kufanya PPP ambayo haijapitishwa kisheria na bunge
b) Idara ya Serikali imevunja sheria za PPA kwenye hii procurement nzima ya 1 BILLION SOFTWARE
2. Kuna issue ya Conflict of Interest na kama huyo binti alihusika kupitisha hiyo tenda then the entire thing is void kwani lazima alitakiwa awe amejaza form ya declaration kuwa hana DIRECT or IN DIRECT uhusiano na hiyo kampuni inayofanya procurement
Halafu kila kukicha yule mzee wa TIC analalamika Investors wanakuja lakini hawakai...well, mtu atakaa vipi katika mazingira magumu ya kufanya biashara kama haya?
PPF funika bovu....Tuendelee kufichua udhalimu huuu...ila mwisho wa siku kila mtu amiliki gobole ukikutana nao..."risasi za motoooooooooo":love:MMhhhh Hili linchi sijui linaelekea wapi, yaani kila sehemu ukianza kuunganisha dots utakuta undugu tu! angalia hata PPF wamejazana kwa kuvutana kindugundugu.