"Udini" ndiyo nini?Ndiyo kwanzaaa ni 07:27 Asubuhi, unakuja na udini.
Fails bhanaaMambo mengine ingawa ni ya "kweli" kabisa na ni "imani" ya wengi, lakini inabidi yawe jukwaa hili la utani. Maana mahari ya govi ni zaidi ya utani.
Nimecheka sana tena kuona kuwa mkono wa sweta, ndiyo, namaanisha govi, govi hili la wenye magovi limeshawahi kutumikia kama mahari ya kumuoa binti, tena binti mfalme. Kama huamini endelea kusoma...
25 Naye Sauli akasema, Mwambieni Daudi hivi, Mfalme hataki mahari yo yote, ila anataka govi mia za Wafilisti, ili ajilipize kisasi adui za mfalme. Basi Sauli alidhani kumwangamiza Daudi kwa mkono wa Wafilisti.
26 Na watumishi wake walipomwambia Daudi; maneno hayo, ilimpendeza Daudi sana kuwa mkwewe mfalme. Na siku zilikuwa hazijaisha bado;
27 basi Daudi akainuka, akaenda yeye na watu wake, akaua katika Wafilisti watu mia mbili; na Daudi akazileta govi zao, wakampa mfalme hesabu kamili, ili awe mkwewe mfalme. Naye Sauli akamwoza Mikali, binti yake.
Biblia hiyo, 1 Samuel 18.
Lakini kaka, mbona hata Quran inasema jua huzama ndani ya TOPE ZITO, hiyo yenyewe haijakuchesha?"Udini" ndiyo nini?
Hebu be on the lighter side, huoni ufahari kuwa biblia imenichekesha asubuhi asubuhi?
Hivi wewe unaenda hawa ku hesabu, govi la kwanza, pili, tatu, nne... Mpaka 200 kwa mkeo?
Kwi kwimkwimkwi teh teh teh teh. Nimechekq sana .
Aisee, ugaidi Inatisha! Hii inachekesha.Ni sawa na wale wanaofanya mauaji ya kigaidi kwa ahadi ya pepo na bikra sabini na mbili
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo haichekeshi, Inasikitisha.Lakini kaka, mbona hata Quran inasema jua huzama ndani ya TOPE ZITO, hiyo yenyewe haijakuchesha?
Nakazia, "Mabikira sabini na mbili wenye macho kama vikombe"Ni sawa na wale wanaofanya mauaji ya kigaidi kwa ahadi ya pepo na bikra sabini na mbili
Sent using Jamii Forums mobile app
Naona msimu wa majini ushapandaMambo mengine ingawa ni ya "kweli" kabisa na ni "imani" ya wengi, lakini inabidi yawe jukwaa hili la utani. Maana mahari ya govi ni zaidi ya utani.
Nimecheka sana tena kuona kuwa mkono wa sweta, ndiyo, namaanisha govi, govi hili la wenye magovi limeshawahi kutumikia kama mahari ya kumuoa binti, tena binti mfalme. Kama huamini endelea kusoma...
25 Naye Sauli akasema, Mwambieni Daudi hivi, Mfalme hataki mahari yo yote, ila anataka govi mia za Wafilisti, ili ajilipize kisasi adui za mfalme. Basi Sauli alidhani kumwangamiza Daudi kwa mkono wa Wafilisti.
26 Na watumishi wake walipomwambia Daudi; maneno hayo, ilimpendeza Daudi sana kuwa mkwewe mfalme. Na siku zilikuwa hazijaisha bado;
27 basi Daudi akainuka, akaenda yeye na watu wake, akaua katika Wafilisti watu mia mbili; na Daudi akazileta govi zao, wakampa mfalme hesabu kamili, ili awe mkwewe mfalme. Naye Sauli akamwoza Mikali, binti yake.
Biblia hiyo,1 Samuel 18.
Soma hiyooooo...Naona msimu wa majini ushapanda
Ha ha ha ha hapa Faiza una kesi ya kujibu."Udini" ndiyo nini?
Hebu be on the lighter side, huoni ufahari kuwa biblia imenichekesha asubuhi asubuhi?
Hivi wewe unaenda hawa ku hesabu, govi la kwanza, pili, tatu, nne... Mpaka 200 kwa mkweo?
Kwi kwimkwimkwi teh teh teh teh. Nimecheka sana .
Huyu waweza kumwita dada au mama sioLakini kaka, mbona hata Quran inasema jua huzama ndani ya TOPE ZITO, hiyo yenyewe haijakuchesha?
Hiyo ilikua ni lugha ya dharau kwa watu wasiotahiriwa (magovi) ambao walikua ni watu wa mataifa mengine tofauti na Waisrael. Ungekua umeelewa ungesikitika badala ya kucheka. Maana waliouawa ni (WAPALESTINA) wafilisti mnaowatetea hii leo"Udini" ndiyo nini?
Hebu be on the lighter side, huoni ufahari kuwa biblia imenichekesha asubuhi asubuhi?
Hivi wewe unaenda hawa ku hesabu, govi la kwanza, pili, tatu, nne... Mpaka 200 kwa mkweo?
Kwi kwimkwimkwi teh teh teh teh. Nimecheka sana .
Mwache ajifurahishe tupo jukwaa husika.Huyu waweza kumwita dada au mama siokaka
ᵂᵒʳʳʸ ⁱˢ ᵃ ʷᵒʳᵈ ᵗʰᵃᵗ ᴵ ᵈᵒⁿᵗ ᵃˡˡᵒʷ ᵐʸˢᵉˡᶠ ᵗᵒ ᵘˢᵉ✓
Jamaa kachukua binti kwa magovi tu, halafu badala ya govi mia alizotaka mfalme, mchumba kapeleka mia mbili!Hiyo ilikua ni lugha ya dharau kwa watu wasiotahiriwa (magovi) ambao walikua ni watu wa mataifa mengine tofauti na Waisrael. Ungekua umeelewa ungesikitika badala ya kucheka. Maana waliouawa ni (WAPALESTINA) wafilisti mnaowatetea hii leo
Sent using Jamii Forums mobile app