mkuu usifanye mambo kishamba hivyo, kama amepanga kuoa kwa utaratibu mzuzi aoe bahna wazae ndani ya ndoa ni vizuri kabisa huwezi jua nini kitatokea baada yakumpa mimba akiwa kwao.
pia kuna familia hazishtuki kisa umempa mimba tena ukileta masharau kisa mtoto wao ana mimba utafukuzwa kama shetani makanisa ya walokole!!
Kiswahili kinakufa hivihivi tunakiona, inauma.
Mahali = sehemu, eneo
Mahari = kitu/fedha itolewayo kwa familia ya mwanamke wakati mwanamme anapotaka kuoa
Lakini all in all ....Kuoa Mhaya!!!!!!!!!!!!!!!!!!:llama:
Mkuu hata mimi nimefanyiwa hivohivo........laki saba yao tiyari nshawapa ila hiyo milioni tatu bado.Kuna kaka yangu alimuoa mhaya ila yeye alianza kwanza kumchapa mimba, baba yake kabla ya yote akatutoza faini ya 700,000.
Mahari milioni 3.
Tukaambiwa tununue..Crate la soda, mkungu wa ndizi, kitenge cha bibi..nk.
Kuna kaka yangu alimuoa mhaya ila yeye alianza kwanza kumchapa mimba, baba yake kabla ya yote akatutoza faini ya 700,000.
Mahari milioni 3.
Tukaambiwa tununue..Crate la soda, mkungu wa ndizi, kitenge cha bibi..nk.
Nilipokuona TA nikadhani wa huko kumbe mbwenu..wagambak! waraileo mnta?Dear mbona kidogo hizi ... Siye tunachaji zaidi ya hizi tena ukimzalisha ndugu ndio kabisaaaaaa.....It depends how bad you want a wife.. Ndio kupenda huko.... aahhaaaa.. (Natania) .. Thanks..
Waambie wakuandikie halafu wewe uwambie una BUKU tu.
Kiswahili kinakufa hivihivi tunakiona, inauma.
Ni kweli ifikie kipindi ukikosea matumizi sahihi ya maneno coment yako isionekane au thread isionekane
Tatizo hili ni kubwa sana ata kwa waandishi wa habari na wahariri wa magazeti
Namkubali sana FaizaFoxy huwa anawarekebisha wengi sana