Mahari za Wahaya

Mahari za Wahaya

waislamu apa vip mana wale wana majiko mpaka manne nao watakua wanatozogwa ivo kweli.
mana nasikia waislamu mahari ni laki2 3 unabeba chombo.
 
Waislamu wao unatoa hata njiwa unabeba chombo.!
 
Laki 2 mbona nyingi?! waislam mahari anataja mwanamke, atakama atasema kijiko au msahafu basi, hiyo ndiyo mahari yake!
 
MAMBO 25 AMBAYO UKITAKA KUOA LAZIMA
UJIANDAE. (HII NI LOW ESTIMATION, UKITAKA
UFAHARI ITAKUCOST ZAIDI).
1. Kujitambulisha Ukweni. Hapo Utatakiwa Uende
Kijijini Alikozaliwa Mkeo Mtarajiwa
Ukajitambulishe Huko. Kama Mfano Mkeo
Anatokea Mwanza, Na Mnaishi Dar, Andaa Nauli
Ya Watu Wawili, Malazi Kwa Siku Mbili, Na
Utagharamia Shuhuli Hiyo Ya Utambulisho. We
Tenga 500,000. Hapo Tuna Assume Mkeo
Atajitegemea. Otherwise 800,000 Itakutoka.
2. Kumtambulisha Mkeo Kwenu. Kama Nyie
Nyumbani Ni Arusha, Utatakiwa Umpeleke Huko
Ngarenanyuki. Sio Umlete Hapo Tabata
Mlipopanga. Hapo Sio Kwenu! Andaa Nauli Yako
Na Atakaekusindikiza, Nauli Ya Binti Na Mwenzie,
Na Gharama Za Vinywaji Na Chakula Siku Hiyo.
Utahitaji Kama 700,000.
3. Kifuatacho Itv Ni Kuwaalika Wakwe Zako
Nyumbani. Uwatoe Watu Kama Nane Mwanza,
Uwalete Arusha. Wale, Walale, Wajisaidie, Kwa
Gharama Zako. We Acha Ubishi, Tenga 800,000
Tu.
4. Kwani We Wazazi Wako Wanajua Unakooa?
Sasa Je? Wasafirishe Kwenda Mwanza! Watu
Watano. Utahitaji Kuwa Na 500,000. Beba Pia Atm
Card Yako, Kuna Imejensi.
5. Mahari Ndio Topic Inayofuata Sasa. Ukiwa
Mjanja, Unganishia Kwenye Hiyo Safari Hapo Juu
Uue Ndege Wawili. Pamoja Na Hayo, Itabidi Ubebe
2,000,000.
6. Sasa Kijana Unaweza Kumvisha Mchumba
Wako Pete. Nunua Ya Kawaida Kabisa Ya
Dhahabu. 350,000. Tukio Lenyewe La Kumvisha
Pete Unaweza Ita Marafiki Wawili Watatu
Ukatumia 200,000. Au Fanya Sherehe Kabisa. Mi
Simo
7. Oke, Sasa Unaweza Kuitisha Vikao Vya Harusi.
Tengeneza Kadi Za Mwaliko Wa Kamati Kwa
200,000, Kikao Cha Kwanza Gharama Zote Ni Juu
Yako. Andaa 500,000. Swali La Kwanza Kwenye
Kikao: “We Una Shing Ngapi?” Sema 2,000,000.
8. Utahitaji 100,000 Ya Sms Na Simu
Kukumbushia Michango. (Shukuru Mungu Kuna
vifurudhi vya Cheka Time, na Mini Kabaang).!
9. Wakati Vikao Vinaendelea, Utatuma 200,000
Kwa M-Pesa Ili Mambo Ya Kimila Yaendelee Kule
Nyumbani. Wanaume mnanielewa.!
10. “Darling, Sasa Mi Kwenye Kitchen Party
Ntavaa Nini?” Hapo 300,000 lazima ikutoke.!
11. “Dear, Kuna Mahali Nimeona Gauni Zuri La
Send…” Jiandae kwa 400,000!
12. “Baby, Rafiki Yangu Alinunua Gauni La Harusi
China Yani Lilimpendeza... ni 700,000 tu bby
wng!"
13. Wakati Huo Wewe Mwenyewe Hujajua Utavaa
Nini, Hujanunua Pete Za Harusi, Hujamvalisha
Best Man Na Mkewe. Tuseme Unahitaji Kama
1,500,000 Maana Utalia Lia Sana. Kumbuka,
Gharama Hizi za kuvaa Huchangiwi Na Kamati.!
14. Siku Ya Send Off Lazma Uende Mwanza.
Utaenda Mwenyewe? Ndugu Wawili Watatu Na
Mshenga 600,000. Kwenye Send Off Utatakiwa
Kutoa Sijui Blanketi La Bibi, Vitenge Vya
Mashangazi, koti la babu Na Vikorokoro Kibao.
Nunua Hivyo Vitu 300,000 Uende Navyo Ili
Kupunguza Gharama. Beba 200,000 Za Wale
Mashangazi Watakaoibuka Ghafla!
15. Mshonee Baba Mkwe Suti 100,000 Mama
Mkwe Yeye Atavaa Gauni La 50,000.
16. Gharama za kuwavalisha wazazi wako
Fotokopi hizo za wakwe Hapo juu (Namba 15)
yani 150,000.
17. Watu Watakaopenda Kuvaa Sare Wajitegemee!
Mimi Sina Hela! Ila Utavishonea Nguo Vile Vitoto
vitakavyokaa mbele. Andaa 80,000.
18. Siku Mbili Kabla Ya Harusi, Utaanza Kupokea
Wageni. Unatakiwa Uwatafutie Malazi Na Chakula.
Kwa Ujumla Utahitaji Kama 500,000.
19. Jioni Watoe Auti Mashemeji Zako Ambao
Hawajawahi Kufika Dar Ukawanunulie Bia Ili
Wakuone Wa Maana. Andaa 200,000. Hapo bado
hujawapeleka Mlimani city wakaoshe macho.!
20. Siku Ya Harusi Bibi Harusi Na Mwenzie Na
Watoto Na Ma Maids Watatakiwa Wakapambwe
Saluni. 200,000 itakutoka.!
21. We Na Mwenzio Mtaenda Kunyoa Hapo Kwa
Billz Hair Cutz... Ndevu Na Nywele Na Black
Kibishi 40,000. Hapo ungeenda Berber shop
ingekutoka zaidi.!
22. Siku Ya Harusi Beba Sadaka 10,000. Wakati
Huo Umeshamtuma Kijana Akakulipie Hoteli
Mtakayofikia Baada Ya Harusi. So Utalipa Malazi
Ya Siku Mbili 200,000.
23. Kama Mtaenda Honeymoon Sehemu Yoyote
Nzuri Nzuri Nje Ya Mji, Si Chini Ya 800,000 Kwa
Angalau Siku 5.
24. Wakati Uko Huko Honeymoon, Huna Hata
Kumi, Mwanakamati Mmoja Ambae Hakuchanga
Anakupigia Simu “Sasa Tunavunja Lini Kamati?”
Pesa Yote Iliyochangwa Ilitumika Kwenye Harusi,
Sasa Gharama Za Kuvunja Kamati Ni Za Nani??
Tutumie 500,000 basi tuvunje kamati!"
Jumla umetumia 15,180,000/=
25. Baada ya Honeymoon Mnaanza Maisha Ya
Unyumba. Mnarudi kwenye chumba chenu kimoja
cha kupanga pale Tabata Relini... Hamjui mtakula
nini? Mnywe nini? Unadaiwa hela ya luku, huna
hata mia. Unadaiwa bill ya maji. Milioni 15
zimekwenda na umebaki absolute Poorer.!
Unadhani Msondo walipoimba "ndoa ndoano"
ulidhani samaki wa kuvuliwa na hiyo ndoano ni
nani kama si wewe? Kweli "wanaume
tumeumbwa mateso".!!
 
iwe bojo
kwanza unafanya kazii gani
unaweza mununulia baba muzaa chema range rover sports ya mwaka 2015
na mama muzaa anatakiwa apate range rover evoque 0 km
mtoto kasoma international hivyo jiandae kurudiaha karo hiyo ni around 100m za madafu
afu siku ya harusi akikisha kuna red kapeti maana rafiki yangu ambaye ni seneta huko marekani ningependa audhulie...
karibu
 
mmmm niliambiwa huko sio pa kuoa kabisa...
..sijui kweli........
maana eti had Ba ake Mkwe atapita....
 
MAMBO 25 AMBAYO UKITAKA KUOA LAZIMA
UJIANDAE. (HII NI LOW ESTIMATION, UKITAKA
UFAHARI ITAKUCOST ZAIDI).
1. Kujitambulisha Ukweni. Hapo Utatakiwa Uende
Kijijini Alikozaliwa Mkeo Mtarajiwa
Ukajitambulishe Huko. Kama Mfano Mkeo
Anatokea Mwanza, Na Mnaishi Dar, Andaa Nauli
Ya Watu Wawili, Malazi Kwa Siku Mbili, Na
Utagharamia Shuhuli Hiyo Ya Utambulisho. We
Tenga 500,000. Hapo Tuna Assume Mkeo
Atajitegemea. Otherwise 800,000 Itakutoka.
2. Kumtambulisha Mkeo Kwenu. Kama Nyie
Nyumbani Ni Arusha, Utatakiwa Umpeleke Huko
Ngarenanyuki. Sio Umlete Hapo Tabata
Mlipopanga. Hapo Sio Kwenu! Andaa Nauli Yako
Na Atakaekusindikiza, Nauli Ya Binti Na Mwenzie,
Na Gharama Za Vinywaji Na Chakula Siku Hiyo.
Utahitaji Kama 700,000.
3. Kifuatacho Itv Ni Kuwaalika Wakwe Zako
Nyumbani. Uwatoe Watu Kama Nane Mwanza,
Uwalete Arusha. Wale, Walale, Wajisaidie, Kwa
Gharama Zako. We Acha Ubishi, Tenga 800,000
Tu.
4. Kwani We Wazazi Wako Wanajua Unakooa?
Sasa Je? Wasafirishe Kwenda Mwanza! Watu
Watano. Utahitaji Kuwa Na 500,000. Beba Pia Atm
Card Yako, Kuna Imejensi.
5. Mahari Ndio Topic Inayofuata Sasa. Ukiwa
Mjanja, Unganishia Kwenye Hiyo Safari Hapo Juu
Uue Ndege Wawili. Pamoja Na Hayo, Itabidi Ubebe
2,000,000.
6. Sasa Kijana Unaweza Kumvisha Mchumba
Wako Pete. Nunua Ya Kawaida Kabisa Ya
Dhahabu. 350,000. Tukio Lenyewe La Kumvisha
Pete Unaweza Ita Marafiki Wawili Watatu
Ukatumia 200,000. Au Fanya Sherehe Kabisa. Mi
Simo
7. Oke, Sasa Unaweza Kuitisha Vikao Vya Harusi.
Tengeneza Kadi Za Mwaliko Wa Kamati Kwa
200,000, Kikao Cha Kwanza Gharama Zote Ni Juu
Yako. Andaa 500,000. Swali La Kwanza Kwenye
Kikao: “We Una Shing Ngapi?” Sema 2,000,000.
8. Utahitaji 100,000 Ya Sms Na Simu
Kukumbushia Michango. (Shukuru Mungu Kuna
vifurudhi vya Cheka Time, na Mini Kabaang).!
9. Wakati Vikao Vinaendelea, Utatuma 200,000
Kwa M-Pesa Ili Mambo Ya Kimila Yaendelee Kule
Nyumbani. Wanaume mnanielewa.!
10. “Darling, Sasa Mi Kwenye Kitchen Party
Ntavaa Nini?” Hapo 300,000 lazima ikutoke.!
11. “Dear, Kuna Mahali Nimeona Gauni Zuri La
Send…” Jiandae kwa 400,000!
12. “Baby, Rafiki Yangu Alinunua Gauni La Harusi
China Yani Lilimpendeza... ni 700,000 tu bby
wng!"
13. Wakati Huo Wewe Mwenyewe Hujajua Utavaa
Nini, Hujanunua Pete Za Harusi, Hujamvalisha
Best Man Na Mkewe. Tuseme Unahitaji Kama
1,500,000 Maana Utalia Lia Sana. Kumbuka,
Gharama Hizi za kuvaa Huchangiwi Na Kamati.!
14. Siku Ya Send Off Lazma Uende Mwanza.
Utaenda Mwenyewe? Ndugu Wawili Watatu Na
Mshenga 600,000. Kwenye Send Off Utatakiwa
Kutoa Sijui Blanketi La Bibi, Vitenge Vya
Mashangazi, koti la babu Na Vikorokoro Kibao.
Nunua Hivyo Vitu 300,000 Uende Navyo Ili
Kupunguza Gharama. Beba 200,000 Za Wale
Mashangazi Watakaoibuka Ghafla!
15. Mshonee Baba Mkwe Suti 100,000 Mama
Mkwe Yeye Atavaa Gauni La 50,000.
16. Gharama za kuwavalisha wazazi wako
Fotokopi hizo za wakwe Hapo juu (Namba 15)
yani 150,000.
17. Watu Watakaopenda Kuvaa Sare Wajitegemee!
Mimi Sina Hela! Ila Utavishonea Nguo Vile Vitoto
vitakavyokaa mbele. Andaa 80,000.
18. Siku Mbili Kabla Ya Harusi, Utaanza Kupokea
Wageni. Unatakiwa Uwatafutie Malazi Na Chakula.
Kwa Ujumla Utahitaji Kama 500,000.
19. Jioni Watoe Auti Mashemeji Zako Ambao
Hawajawahi Kufika Dar Ukawanunulie Bia Ili
Wakuone Wa Maana. Andaa 200,000. Hapo bado
hujawapeleka Mlimani city wakaoshe macho.!
20. Siku Ya Harusi Bibi Harusi Na Mwenzie Na
Watoto Na Ma Maids Watatakiwa Wakapambwe
Saluni. 200,000 itakutoka.!
21. We Na Mwenzio Mtaenda Kunyoa Hapo Kwa
Billz Hair Cutz... Ndevu Na Nywele Na Black
Kibishi 40,000. Hapo ungeenda Berber shop
ingekutoka zaidi.!
22. Siku Ya Harusi Beba Sadaka 10,000. Wakati
Huo Umeshamtuma Kijana Akakulipie Hoteli
Mtakayofikia Baada Ya Harusi. So Utalipa Malazi
Ya Siku Mbili 200,000.
23. Kama Mtaenda Honeymoon Sehemu Yoyote
Nzuri Nzuri Nje Ya Mji, Si Chini Ya 800,000 Kwa
Angalau Siku 5.
24. Wakati Uko Huko Honeymoon, Huna Hata
Kumi, Mwanakamati Mmoja Ambae Hakuchanga
Anakupigia Simu “Sasa Tunavunja Lini Kamati?”
Pesa Yote Iliyochangwa Ilitumika Kwenye Harusi,
Sasa Gharama Za Kuvunja Kamati Ni Za Nani??
Tutumie 500,000 basi tuvunje kamati!"
Jumla umetumia 15,180,000/=
25. Baada ya Honeymoon Mnaanza Maisha Ya
Unyumba. Mnarudi kwenye chumba chenu kimoja
cha kupanga pale Tabata Relini... Hamjui mtakula
nini? Mnywe nini? Unadaiwa hela ya luku, huna
hata mia. Unadaiwa bill ya maji. Milioni 15
zimekwenda na umebaki absolute Poorer.!
Unadhani Msondo walipoimba "ndoa ndoano"
ulidhani samaki wa kuvuliwa na hiyo ndoano ni
nani kama si wewe? Kweli "wanaume
tumeumbwa mateso".!!

Aisee dear wewe ni kiboko aaaaahhhaaaaaaaaaahhhaaaa nimechekaje ..aaaahhhhhaaaaaa.. Usimtishe mwenzio Bwana atakuwa Fine... aaaaaahhhhhhaaaaaaaaa.... Mbavu zangu ... aaahhhaaaa .. Asante kwa kunifurahisha...Ahaaaaaaaaahhaaaaaa... Thanks ..
 
Uhayani hawatozi mahari kubwa sema wanavimasharti fulan na mikwara ila wako poa,usiombe uende kwa wapalestina(kzn) utajuta
 
Aisee dear wewe ni kiboko aaaaahhhaaaaaaaaaahhhaaaa nimechekaje ..aaaahhhhhaaaaaa.. Usimtishe mwenzio Bwana atakuwa Fine... aaaaaahhhhhhaaaaaaaaa.... Mbavu zangu ... aaahhhaaaa .. Asante kwa kunifurahisha...Ahaaaaaaaaahhaaaaaa... Thanks ..

Sema wewe kwenu mahari inakuwaje ili wadau tujiongeze
 
MAMBO 25 AMBAYO UKITAKA KUOA LAZIMA
UJIANDAE. (HII NI LOW ESTIMATION, UKITAKA
UFAHARI ITAKUCOST ZAIDI).

1. Kujitambulisha Ukweni. Hapo Utatakiwa Uende
Kijijini Alikozaliwa Mkeo Mtarajiwa
Ukajitambulishe Huko. Kama Mfano Mkeo
Anatokea Mwanza, Na Mnaishi Dar, Andaa Nauli
Ya Watu Wawili, Malazi Kwa Siku Mbili, Na
Utagharamia Shuhuli Hiyo Ya Utambulisho. We
Tenga 500,000. Hapo Tuna Assume Mkeo
Atajitegemea. Otherwise 800,000 Itakutoka.......=Tshs 800,000/=

2. Kumtambulisha Mkeo Kwenu. Kama Nyie
Nyumbani Ni Arusha, Utatakiwa Umpeleke Huko
Ngarenanyuki. Sio Umlete Hapo Tabata
Mlipopanga. Hapo Sio Kwenu! Andaa Nauli Yako
Na Atakaekusindikiza, Nauli Ya Binti Na Mwenzie,
Na Gharama Za Vinywaji Na Chakula Siku Hiyo.
Utahitaji Kama 700,000..................................=Tshs 700,000/=

3. Kifuatacho Itv Ni Kuwaalika Wakwe Zako
Nyumbani. Uwatoe Watu Kama Nane Mwanza,
Uwalete Arusha. Wale, Walale, Wajisaidie, Kwa
Gharama Zako. We Acha Ubishi, Tenga 800,000
Tu.............................................................=Tshs 800,000/=

4. Kwani We Wazazi Wako Wanajua Unakooa?
Sasa Je? Wasafirishe Kwenda Mwanza! Watu
Watano. Utahitaji Kuwa Na 500,000. Beba Pia Atm
Card Yako, Kuna Imejensi..............................=Tshs 500,000 + Emergence

5. Mahari Ndio Topic Inayofuata Sasa. Ukiwa
Mjanja, Unganishia Kwenye Hiyo Safari Hapo Juu
Uue Ndege Wawili. Pamoja Na Hayo, Itabidi Ubebe
2,000,000...................................................=Tshs 200,000/=

6. Sasa Kijana Unaweza Kumvisha Mchumba
Wako Pete. Nunua Ya Kawaida Kabisa Ya
Dhahabu. 350,000. Tukio Lenyewe La Kumvisha
Pete Unaweza Ita Marafiki Wawili Watatu
Ukatumia 200,000. Au Fanya Sherehe Kabisa. Mi
Simo..........................................................=Tshs 350,000 + 200,000= 550,000/=

7. Oke, Sasa Unaweza Kuitisha Vikao Vya Harusi.
Tengeneza Kadi Za Mwaliko Wa Kamati Kwa
200,000, Kikao Cha Kwanza Gharama Zote Ni Juu
Yako. Andaa 500,000. Swali La Kwanza Kwenye
Kikao: "We Una Shing Ngapi?" Sema 2,000,000....= 200,000 + 500,000 + 2,000,000 = 2,700,000/=

8. Utahitaji 100,000 Ya Sms Na Simu
Kukumbushia Michango. (Shukuru Mungu Kuna
vifurudhi vya Cheka Time, na Mini Kabaang).!.....=Tshs 100,000/=

9. Wakati Vikao Vinaendelea, Utatuma 200,000
Kwa M-Pesa Ili Mambo Ya Kimila Yaendelee Kule
Nyumbani. Wanaume mnanielewa.!...................=Tshs 200,000/=

10. "Darling, Sasa Mi Kwenye Kitchen Party
Ntavaa Nini?" Hapo 300,000 lazima ikutoke.!......=Tshs 300,000/=

11. "Dear, Kuna Mahali Nimeona Gauni Zuri La
Send…" Jiandae kwa 400,000!..........................=Tshs 400,000/=

12. "Baby, Rafiki Yangu Alinunua Gauni La Harusi
China Yani Lilimpendeza... ni 700,000 tu bby
wng!"..........................................................=Tshs 700,000/=

13. Wakati Huo Wewe Mwenyewe Hujajua Utavaa
Nini, Hujanunua Pete Za Harusi, Hujamvalisha
Best Man Na Mkewe. Tuseme Unahitaji Kama
1,500,000 Maana Utalia Lia Sana. Kumbuka,
Gharama Hizi za kuvaa Huchangiwi Na Kamati.!...Tshs 1,500,000/-

14. Siku Ya Send Off Lazma Uende Mwanza.
Utaenda Mwenyewe? Ndugu Wawili Watatu Na
Mshenga 600,000. Kwenye Send Off Utatakiwa
Kutoa Sijui Blanketi La Bibi, Vitenge Vya
Mashangazi, koti la babu Na Vikorokoro Kibao.
Nunua Hivyo Vitu 300,000 Uende Navyo Ili
Kupunguza Gharama. Beba 200,000 Za Wale
Mashangazi Watakaoibuka Ghafla!...................Tshs 600,000 + 300,000 + 200,000 = 1,100,000/-

15. Mshonee Baba Mkwe Suti 100,000 Mama
Mkwe Yeye Atavaa Gauni La 50,000................=Tshs 150,000/-

16. Gharama za kuwavalisha wazazi wako
Fotokopi hizo za wakwe Hapo juu (Namba 15)
yani 150,000..............................................=Tshs 150,000/-

17. Watu Watakaopenda Kuvaa Sare Wajitegemee!
Mimi Sina Hela! Ila Utavishonea Nguo Vile Vitoto
vitakavyokaa mbele. Andaa 80,000......................=Tshs 80,000/-

18. Siku Mbili Kabla Ya Harusi, Utaanza Kupokea
Wageni. Unatakiwa Uwatafutie Malazi Na Chakula.
Kwa Ujumla Utahitaji Kama 500,000.......................Tshs 500,000/-

19. Jioni Watoe Auti Mashemeji Zako Ambao
Hawajawahi Kufika Dar Ukawanunulie Bia Ili
Wakuone Wa Maana. Andaa 200,000. Hapo bado
hujawapeleka Mlimani city wakaoshe macho.!..........200,000/-

20. Siku Ya Harusi Bibi Harusi Na Mwenzie Na
Watoto Na Ma Maids Watatakiwa Wakapambwe
Saluni. 200,000 itakutoka.!..............................=200,000/-

21. We Na Mwenzio Mtaenda Kunyoa Hapo Kwa
Billz Hair Cutz... Ndevu Na Nywele Na Black
Kibishi 40,000. Hapo ungeenda Berber shop
ingekutoka zaidi.!...........................................=40,000/-

22. Siku Ya Harusi Beba Sadaka 10,000. Wakati
Huo Umeshamtuma Kijana Akakulipie Hoteli
Mtakayofikia Baada Ya Harusi. So Utalipa Malazi
Ya Siku Mbili 200,000....................................10,000 + 200,000 =300,000

23. Kama Mtaenda Honeymoon Sehemu Yoyote
Nzuri Nzuri Nje Ya Mji, Si Chini Ya 800,000 Kwa
Angalau Siku 5...................................................=800,000/-

24. Wakati Uko Huko Honeymoon, Huna Hata
Kumi, Mwanakamati Mmoja Ambae Hakuchanga
Anakupigia Simu "Sasa Tunavunja Lini Kamati?"
Pesa Yote Iliyochangwa Ilitumika Kwenye Harusi,
Sasa Gharama Za Kuvunja Kamati Ni Za Nani??
Tutumie 500,000 basi tuvunje kamati!"
Jumla umetumia 15,180,000/=...........................=Tshs 500,000/-

25. Baada ya Honeymoon Mnaanza Maisha Ya
Unyumba. Mnarudi kwenye chumba chenu kimoja
cha kupanga pale Tabata Relini... Hamjui mtakula
nini? Mnywe nini? Unadaiwa hela ya luku, huna
hata mia. Unadaiwa bill ya maji. Milioni 15
zimekwenda na umebaki absolute Poorer.!
Unadhani Msondo walipoimba "ndoa ndoano"
ulidhani samaki wa kuvuliwa na hiyo ndoano ni
nani kama si wewe? Kweli
"wanaume
tumeumbwa mateso".!!

Mkuu hapo gharama ni zaidi ya Milion 20......!
Mbona pesa ndogo sna hiyo mkuu.
 
Mahari inategemeana mkuu, tafuta mshenga tena mzee wa kihaya then mwachie iyo kazi na wala husitishwe na mtu,
Nakuakikishia uyo mzee akiwa muongeaji mzuri mnaweza tozwa mahari hata mil. 1 haitafika, ni uongeaji wa uyo mshenga wako na jinsi atakavyojitetea!
Ila asilete ujuaji, ila wahaya n waelewa sana hakuna wa kukutoa mil 3, ila ukijipeleka kwa misifa watakupiga za uso
Tata wakora
 
Ha ha ha ....Uzi kama huu unazidi kuwapa point 3 muhimu wale wazee wa KATAA NDOA
 
Watafute hela mahari ni ya kawaida mbona
Huwezi kuwa na hela ukalilia mahari ya milioni sita
Wahaya tena usiombe binti awe na kazi utajua hujui
 
Sasa unapata mtoto kutoka ka mini Rio de Janeiro unataka utoe kiasi gani
😂😂

Back
Top Bottom