Mahari yaniachisha na mke wangu

Mahari yaniachisha na mke wangu

Nasema hivi kwetu mahari inachangiwa hatoa mume peke ake so hawezi kuumia sanaaaa......... labda niolewe na mbongo itakua kasheshe hapo!.
Na kama anatoka familia isiyo na uwezo huo, say yeye tu ndio ana uwezo angalau?
 
Kiongozi, kama bado kuoa wala usikatishwe tamaa na hizo tarakimu. Sio wazazi wote wenye fikra za kuozesha kwa kuuza binti zao. Na bahati nzuri, siku hizi unakuwa katika urafiki kiasi kwamba, binti anaelewa uwezo na kipato chako, kama kweli ana nia ya kuishi na wewe wala hatokubali kuidhinisha mahari ya 6m, hata yeye ana say katika hili..!

Kama wakati umefika, unayo nia ya kuoa, lakini tatizo ni hili [mfano] usijipe hedeki, mchumba wako atatengeneza njia tu...! Coz kadri unavyozidi kusubiri, umri haukusubiri.

Mkurugenzi,sijaoa,lakini nikikatishwa tamaa na hawa binadamu wasiojielewa hapa JF nitakuwa na akili kama zao ....

W atu wapo hapa JF kujiliwaza na ufukara walionao kwa kuishi masiha ambayo wanayaona ndotoni tu,kuna watu humu maisha yameshawapiga sana na wanajidai wanaishi maisha ya juu,wengine wanataka waje wajifidie kwa wanaume ambao watawaoa,wengine imeshashindikana kuolewa basi wanakuja hapa kujilisha upepo na kujidai hawana shida na ndoa,huu ni uji nga mkubwa sana

Mkurugenzi,ninachotaka kusema hapa ni kuwa,kuna watu wana njaa sana hapa JF na wanataka kuponea kwenye mahari au vibuzi vyao,hawa ni wengi sana,tatizo lao hawataki kujikubali tu,kwani wakijikubali watabadilika nini?

Najua kuwa hata kama huyo wa mil 6 atagoma kushusha nitakwenda kuona mwingine ambae atajua kuwa thamani ya mwanae haiwezi kuletwa na mahari,wanawake wapo wengi sana,ni kitu gani kitanifanya nimng'ang'anie mwanamke mmoja?

Hivi huyo ana nini kwanza?

Mkurugenzi,katika vitu ambavyo havipo kabisa kwenye mawazo yangu ni suala la kuhangaikia kumbembeleza mwanamke kumuoa au wazazi kupunguza mahari,akiniambia mil 6 na uwezo sina namuambia hivi; "Mzee,kwa kukusaidia kutopoteza muda na ku nipotezea muda wa mazungumzo meeengi,uwezo wangu ni laki 2 tu,kama unaridhia nipe mwanao tukaanze maisha kama unaona haiwezekani niambie hapa hapa nianze harakati za kutafuta ambae atanifaa na wa kukubali kiwango changu" .....kisha namsikiliza

Yanini kubembelezana bana wakati "soko huria" na wapo weeengi sana?
 
Unadai "hakuna mwanamke asietaka mahari dunia hii" halafu hapo hapo unatoa mfano wa mtu ambae alitaka mwanae aolewe bila mahari,hivi unakijua hata ulichokiandika?

By the way,unaujua uzito wa kusema "hakuna mwanamke asietaka mahari dunia hii"?

Unajua maana ya dunia wewe?

Yaani wewe hujui hata kile ambacho kinaendelea mkoa jirani na huo unaoishi kuhusiana na suala la mahari halafu unajidai kujua ya dunia,una hatari sana wewe ....

Hujui hata kuna dini ambazo hazitambui mahari,wewe unakurupuka tu "hakuna mwanamke asietaka mahari dunia hii" ...!!

Ni kweli kabisa naweza kuwa sielewi,,,,, na siwezi jua ya mji mwingine na sipo huko..........
Hebu nieleweshe hayo maswali yako nipate kujua?
 
Ni kweli kabisa naweza kuwa sielewi,,,,, na siwezi jua ya mji mwingine na sipo huko..........
Hebu nieleweshe hayo maswali yako nipate kujua?

Haya majibu yako yanathibitisha wewe huna hadhi ya kuwa mke wa mtu achilia mbali kuolewa kwa mahari ...

Hayo ya duniani umeyajuaje ambayo hakuna mwanamke ambae hataki mahari?

Hivi unajua unachokifanya hapa?
 
Haya majibu yako yanathibitisha wewe huna hadhi ya kuwa mke wa mtu achilia mbali kuolewa kwa mahari ...

Hayo ya duniani umeyajuaje ambayo hakuna mwanamke ambae hataki mahari?

Hivi unajua unachokifanya hapa?

Uwiiiiiiiiii baba paroko mtarajiwa wa mtu mie......... asiejua anataka kuelewa
 
Mahari mil 6 harusi utaambiwa inatakiwa ya milioni mia
Bora hata wewe umeona..!
Kwa kipato kipi kwa vijana hawa hawa wanaoanza ajira na vipato vya kawaida.
Mie naona ni kumpa mtu stress zisizo na msingi...!
 
Niaje wana MMU

Yamenikuta mwenzenu, mwezi uliopita nilipeleka mahari sehemu fulani ili niweke huduma karibu. Sasa yamenikuta, wamenipangia Sh Mil 6.2.

Ukilinganisha na uwezo wangu nashindwa kuilipa hiyo, nimeamua kumuacha coz na yeye anasema hataki kuja bila wazazi kuridhia na anamimba tayari ya miezi mitano na wazazi wake hawajui.

Mie nimeamua kuachana nae kama anakua na msimamo huo na nitakomboa mtoto.

WE UNAONAJE?


Mkuu kama ulifanikiwa kumtia mimba usiwe na pressure hiyo ndiyo tayari itakuwa ticket yako ya kukwepa mahari huyo mwanamke mimba ikizidi kuwa kubwa na kukaribia kujifungua wakwe zako watakugaia bure... So issue ya mahari hongera sana kwa kufanikiwa kuikwepa
 
Niaje wana MMU

Yamenikuta mwenzenu, mwezi uliopita nilipeleka mahari sehemu fulani ili niweke huduma karibu. Sasa yamenikuta, wamenipangia Sh Mil 6.2.

Ukilinganisha na uwezo wangu nashindwa kuilipa hiyo, nimeamua kumuacha coz na yeye anasema hataki kuja bila wazazi kuridhia na anamimba tayari ya miezi mitano na wazazi wake hawajui.

Mie nimeamua kuachana nae kama anakua na msimamo huo na nitakomboa mtoto.

WE UNAONAJE?


Subiri fedha za ESCROW zirudishwe gharama ya maisha itashuka na utaweza kulipa mahari, pole.
 
mahari ni makubaliano tu...Zari wa Uganda aliolewa na Ivan...Ng'ombe 300 walitolewa...kwa hiokudai mahari kubwa sio kwamba ni wazazi kumuuza mwanao....

By the way...hiyo hua inatamkwa tu...mkienda kupeleka hata laki tano sawa ingine inabaki deni

Ndo huyu huyu anagawia mpaka wa tandale...

Inahitaji moyo sana ...
 
6m kwa kipi hasa? Ridiculous kabisa!!

Kweli ni upuuzi wazazi kudai sh. 6m mahari. Sikutegemea bado kuna wazazi wa aina hii. Wakati wazazi wanaojitambua hawakimbilii kudai mahari wanasema usipomtoza mahari mkweo kwanza atakuheshimu sana na atsmheshimu mkewe. Pili inawezekana ukapata vingi sana ukilinganisha na kile ambacho ungepewa kama mahari.
 
Back
Top Bottom