Mahari yaniachisha na mke wangu

Mahari yaniachisha na mke wangu

Tafsida ni ngumu kwa watoto wa umri wako ....samahani kwa wasichana wa kisikuizi.. ila kwa sie wakaka wa zamani ni kama fagio la kale tunazijua kona zote za jiji...
Umechanga desa au mie sielewi?????? kwani tunapika hapa???
 
Duu 6ml!wanataka kununua prado au pickup ya kwenda nayo December kuhesabiwa na kubebea mikungu ya ndizi pale soko la mwika aiseee masawe!we waachie wamuoe wenyewe.
 
Niaje wana MMU

Yamenikuta mwenzenu, mwezi uliopita nilipeleka mahari sehemu fulani ili niweke huduma karibu. Sasa yamenikuta, wamenipangia Sh Mil 6.2.

Ukilinganisha na uwezo wangu nashindwa kuilipa hiyo, nimeamua kumuacha coz na yeye anasema hataki kuja bila wazazi kuridhia na anamimba tayari ya miezi mitano na wazazi wake hawajui.

Mie nimeamua kuachana nae kama anakua na msimamo huo na nitakomboa mtoto.

WE UNAONAJE?
Kubali utalipa wakupe muda, ukishachukua mkeo usiwape hata mia.
 
Sasa kama ana mimba una was gan hapo kachukue RB police ili hiyo mimba asitoe,afu uone kama hawajakupa bure huyo mke..
 
mm mwenyewe cwez kulipa kiac kikubwa hivyo hatakama nina hela nyingi kiac gan mm mwixho wangu kabixa ni m1
 
Siko hapa kufurahisha watu/mtu,,,,, sibishani na mtu bali tunajadili hali halisi.

aafu watu kama wewe ndio mnaojifanya kudai haki sawa wakati mnaendekeza kununuliwa!!
hivi wewe kwenye ukoo wetu utaongeza nini zaidi ya kutuchonganisha?
hela zenu zenyewe mnazopata mnapeleka kwenu aafu unataka nilipe m5!!!
 
aafu watu kama wewe ndio mnaojifanya kudai haki sawa wakati mnaendekeza kununuliwa!!
hivi wewe kwenye ukoo wetu utaongeza nini zaidi ya kutuchonganisha?
hela zenu zenyewe mnazopata mnapeleka kwenu aafu unataka nilipe m5!!!

Tuko jamii tofauti huwezi elewa ukoo unaongezekaje.....
kama ukoo wenu wa kiswahili utasingizia mke?????
niache kusaidia kwetu ntakua kichaa wa akili
 
Hiyo hela ni ndogo kulinganisha na huduma utakazopewa...

mmmh huduma gani atakazopewa? hivi kwa usawa wa sie makabwela unafikiri mil 6 ndogo? wazazi kitu cha kwanza na cha msingi twapaswa kufikiria ni kuwa watoto wetu waishi kwa amani na maelewano katika ndoa tena tuwaombee kwa Mungu maisha yao yawe mazuri.mtindo wa kuwaza pesa bila kufikiria maisha yao ni upumbavu.
 
Back
Top Bottom