Super Sub Steve
JF-Expert Member
- Jul 9, 2011
- 17,647
- 11,227
kama ameshamtundika mimba basi biashara imeisha atampata tu tena hata bure tu.bidhaa ikishakuwa second hand value yake sio sawa na brand new
Wadada wengi ninaowafahamu walishinikiza wazazi mahari ipunguzwe, hao wanajua maisha na kuwa Kuna maisha baada ya sherehe za ndoa. Nyie mnaosubiri watu wajipange ili mlipiwe mahari kubwa mtaishoa kusubiri.
Tuko jamii tofauti huwezi elewa ukoo unaongezekaje.....
kama ukoo wenu wa kiswahili utasingizia mke?????
niache kusaidia kwetu ntakua kichaa wa akili
Hiyo hela ni ndogo kulinganisha na huduma utakazopewa...
Huduma gani??? Papuchi au maana kina muda zinachoka sana.. Mnauzwa na wazazi wenu ndo maana tunawatumia mishachoka tunatafuta wengine coz mnauzwa na mnakubali..!! Kama kuna kitu mngepigania wanawake na wanaume waacha kuwanyanyasa basi pingine kuuzwa.. M6 kwa huduma gani? Halafu unaweza kukuta dem wa kawaida sana
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums[,/QUOTE]
Wa bure wako wengi kaoe hao,,,,,, kila mbuzi anakula kwa urefu wa......... mahari ilikuwepo toka enzi sijaona point ya kuuzwa inakujaje miaka hii
unadai "hakuna mwanamke asietaka mahari dunia hii" halafu hapo hapo unatoa mfano wa mtu ambae alitaka mwanae aolewe bila mahari,hivi unakijua hata ulichokiandika?
By the way,unaujua uzito wa kusema "hakuna mwanamke asietaka mahari dunia hii"?
Unajua maana ya dunia wewe?
Yaani wewe hujui hata kile ambacho kinaendelea mkoa jirani na huo unaoishi kuhusiana na suala la mahari halafu unajidai kujua ya dunia,una hatari sana wewe ....
Hujui hata kuna dini ambazo hazitambui mahari,wewe unakurupuka tu "hakuna mwanamke asietaka mahari dunia hii" ...!!
Huduma gani??? Papuchi au maana kina muda zinachoka sana.. Mnauzwa na wazazi wenu ndo maana tunawatumia mishachoka tunatafuta wengine coz mnauzwa na mnakubali..!! Kama kuna kitu mngepigania wanawake na wanaume waacha kuwanyanyasa basi pingine kuuzwa.. M6 kwa huduma gani? Halafu unaweza kukuta dem wa kawaida sana
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums[,/QUOTE]
Wa bure wako wengi kaoe hao,,,,,, kila mbuzi anakula kwa urefu wa......... mahari ilikuwepo toka enzi sijaona point ya kuuzwa inakujaje miaka hii
zamani watu walikuwa wanapanga mahali bila kuthaminisha na hela. kinachotakiwa ni ile heshima ya kwamba mahali imetolewa.
tumeoa mwaka jana na walitupangia ng'ombe 6 tukawaambia tunatoa 3 na kila ng'ombe ni laki moja na nusu na wakakubali.
ingekuwa kwenu mngeanza kupiga mahesabu ya bei ya ng'ombe mnadani kama vile mnauza binti.
na hii mambo ya watu kupanga mahali kubwa ni kutokana na umaskini wa familia na tamaa ya hela. Wanaona kuozesha ndio sehemu ya kutokea.!!
kama wazazi wako wameishi miaka yao ya ujana hawajatoka usitegemee mahali itakayoletwa ndio itawatoa.
Ni kuiweka familia mpya kuishi kwa kinyongo bila sababu
wengine wana mikopo mikubwa bank so wanatafuta mbinu mbadala ya kurejesha mikopo
teh teh teh teh...sasa hizo ndo gharama zake na bahati mbaya zaidi ukute mzee/mkwe anafanya kazi tra,analithaminisha prado kwanza halafu gharama ya uchakavu na vat ndo halali yake kama mahari,utafikiri ndo kwanza unalitoa bandarini!
rev kisolomahari sio kubwa mkuu kwani wanaopanga ng'ombe sita au wanne, mbuzi wanne, majembe, mashuka, hela, blanketi na mambo mengine mengi tu nmesahau.