Mahari yaniachisha na mke wangu

Mahari yaniachisha na mke wangu

Kuna uwezekano mkubwa wa ukisemacho mkuu,
ila mdau inabdi akumbuke kuwa mahari huwa haimalizwi yote kwa uzoefu wangu.

at least unatakiwa ulipe 1/3 au nusu.
nani wa kumlipia m3 leo?

wazazi acheni kugeuza watoto wenu mitaji!!
 
Naongelea wtz hawa hawa,,,,, labda tu awe hana hio hela!!!!!!! nina mfano hai wa mtu kalipiwa mahari ya tshs m5 last w'end......
Hao unaooita wametembea na kujaza fuso ndio wapya kwa wenzio.

huwa mnaota kwa kuangalia wenzenu na mwisho mnaishia kuwa single mothers!!

na kuvunja ndoa za wenzenu juu
 
Niaje wana MMU

Yamenikuta mwenzenu, mwezi uliopita nilipeleka mahari sehemu fulani ili niweke huduma karibu. Sasa yamenikuta, wamenipangia Sh Mil 6.2.

Ukilinganisha na uwezo wangu nashindwa kuilipa hiyo, nimeamua kumuacha coz na yeye anasema hataki kuja bila wazazi kuridhia na anamimba tayari ya miezi mitano na wazazi wake hawajui.

Mie nimeamua kuachana nae kama anakua na msimamo huo na nitakomboa mtoto.

WE UNAONAJE?

hizi stori tu za kijiweni,naona hakuna ukweli wowote hapa,suala la ndoa huwa ni la kijamii,mambo kama mahari huwa watu wana diskas hadi kufika muafaka.siyo sualala kutamkiwa tu na kutoa.am seeing your face full of lies
 
huwa mnaota kwa kuangalia wenzenu na mwisho mnaishia kuwa single mothers!!

na kuvunja ndoa za wenzenu juu

Genye mbaya sanaa nikiwa single maza tigo yako inakuwasha eeeeenh????????
Ndoa haivunjwi bali kwenye battle mshindi anachukua kombe
 
Daudi hata tubishane vp ukweli uko palepale,,,,, wanaumw wngne ni vichaa anataka kujua kila senti imekwenda wapi na wachoyo balaa hataki kusukia umetuma hela kwenu............
Hio ya kwenda ukoo mwngne nafikiri hujanielewa unless kama na kwenu kuna hio kitu!!!!! mwanamke hawezi kutoa sababu anaenda kuongeza kwenye ukoo mwingine na kwao mtu1 kapungua,,,,,,, acha tu niwe negative mali ndo mpango mzima duniani hapa
Sio duniani hapa sema afrika huko duniani mali is not a big deal kikubwa mmependana
 
Unadai "hakuna mwanamke asietaka mahari dunia hii" halafu hapo hapo unatoa mfano wa mtu ambae alitaka mwanae aolewe bila mahari,hivi unakijua hata ulichokiandika?

By the way,unaujua uzito wa kusema "hakuna mwanamke asietaka mahari dunia hii"?

Unajua maana ya dunia wewe?

Yaani wewe hujui hata kile ambacho kinaendelea mkoa jirani na huo unaoishi kuhusiana na suala la mahari halafu unajidai kujua ya dunia,una hatari sana wewe ....

Hujui hata kuna dini ambazo hazitambui mahari,wewe unakurupuka tu "hakuna mwanamke asietaka mahari dunia hii" ...!!

Kweli kaka,wahindu mwanamke ndo anatoa mahari
 
Hata chukuchuku bila baadhi ya viungo hailiki....mfn chumvi, kitunguu maji, kiazi mbata mbata, pili pili hoho n.k

Siko hapa kufurahisha watu/mtu,,,,, sibishani na mtu bali tunajadili hali halisi.
 
Nakuombea upate atakae kupenda bila mali...
Mahali sina tatzo nayo ila kwa milion 6? sherehe yenyewe iwe ngapi? mnauziana? na mahali hawez kuwa kipimo ch upendo et kwamba ukitolewa mahari kubwa ndo unapendwa
 
Back
Top Bottom