Mahari yaniachisha na mke wangu

Mahari yaniachisha na mke wangu

Huduma ziko nyng like kufua,, kupika,,, usafi
achia yote kubwa ni mimba na kuzaa na kulea wakati huo ww uko baa na mchepuko unafikiri hiyo m6 inafit?????????
Uko negative mno kuhusiana na mahari dah!, kwahyo mwanake yeye hafui nguo zake? sasa unapofua nguo zako ukaongeza na mumeo tayari unahitaji kulipiwa mahari kubwa, kubeba mimba ambayo inatuzwa na aliyekupa, umeolewa mtoto mnalea wote hapo unahitaj mahari kubwa? je ambao hawajapata wa kuwazalisha na wanahamu ya kuzaa unafikiri wanawaza hayo? chakula umepika na wewe umekula unadai umempikia so hapo unamlipisha mahari kubwa pia? sasa hizo pesa unapewa wewe au wanakula familia yako? ili hali wewe ndo unaenda kufanya hayo unayodai ndo yanasabisha umlipishe mahar kubwa huyo mpenzi wako. Vipi wewe kuhusiana na huduma utazo zipata kwa mume, kama kutunzwa kwa hali yoyote na kupewa utamu wa dushe unalipia?
 
Mahari ni shukrani inayotolewa kwa wazazi,,,,,,
Hizo kazi unazouliza mbona baadhi ya wanaume zinawashina unakuta ananuka kuanzia nguo,mwili na nyumba!!!!!
Mie siwezi kulipia coz nature inasema mwanaume atakula kwa jasho lake.
 
Milioni 6+Stress+Kugongewa+Kelele+Kusaidia ndugu zake+++++++++++

NB: God give me the wife(not woman)of my life
 
Mahari ni shukrani inayotolewa kwa wazazi,,,,,,
Hizo kazi unazouliza mbona baadhi ya wanaume zinawashina unakuta ananuka kuanzia nguo,mwili na nyumba!!!!!
Mie siwezi kulipia coz nature inasema mwanaume atakula kwa jasho lake.
Asante sasa iweje shukrani iwe kubwa kiasi hicho? vipi mzaz wa upande wa kiume hapaswi kushukuriwa pia? na kama umesema hauwezi kulipia kwa sababu umesema mwanaume atakula jasho lake, je mwanamke yeye hakuambiwa atazaa kwa uchungu? je unaweza kuzaa bila kubeba mimba? sasa kama ndivyo kwanini hilo liwe sababu ya kumlipisha mpenzi wako mahari kubwa?
 
Hiyo hela ni ndogo kulinganisha na huduma utakazopewa...

Huduma unazozizungumzia bila shaka zinahitaji nguvu za kiume, na nguvu za kiume hazipatikani ipasavyo kwa MWANAUME aliye na stress za kiuchumi,sasa huoni kama mtoa mada akijikakamua kuvunja akiba yake si atapata stress na hivyo kukosa fursa ya kuinjoi hiyo huduma atakayoisogeza kwa 6 million?
 
Asante sasa iweje shukrani iwe kubwa kiasi hicho? vipi mzaz wa upande wa kiume hapaswi kushukuriwa pia? na kama umesema hauwezi kulipia kwa sababu umesema mwanaume atakula jasho lake, je mwanamke yeye hakuambiwa atazaa kwa uchungu? je unaweza kuzaa bila kubeba mimba? sasa kama ndivyo kwanini hilo liwe sababu ya kumlipisha mpenzi wako mahari kubwa?

Shukrani hata iwe kubwa vp haiwezi kuziba nafasi ya msichana anaeacha ukoo wake kwenda koo nynge......
mzazi wa kiume yy anapata faida kwa kuongeza mtu1 katika ukoo hapo sanaa ni faida kwake.
Hata iandikwe mume si ni kichwa cha famlia lazima agalamike juu ya mchumba/mke........ watu wanaoa kwa howo na daf hio m6 si ni bure kabisa..
 
Huduma unazozizungumzia bila shaka zinahitaji nguvu za kiume, na nguvu za kiume hazipatikani ipasavyo kwa MWANAUME aliye na stress za kiuchumi,sasa huoni kama mtoa mada akijikakamua kuvunja akiba yake si atapata stress na hivyo kukosa fursa ya kuinjoi hiyo huduma atakayoisogeza kwa 6 million?

Kama hataki kuvunja akiba asubiri muda ataokua tyr kutimiza ndoto.
 
Mmmh...ebu tafuta mwanamke mwingine uoe huyo wazazi wake hawajataka aolewe au hawajapenda aolewe na wewe,au labda majina yako huenda yanashabihana na akina Ruge,Tiba au Chenge wazazi wakadhani mgao wa escrow umetia maguu home..!

ha ha ha ha! labda alienda na prado la kukodi!
 
Shukrani hata iwe kubwa vp haiwezi kuziba nafasi ya msichana anaeacha ukoo wake kwenda koo nynge......
mzazi wa kiume yy anapata faida kwa kuongeza mtu1 katika ukoo hapo sanaa ni faida kwake.
Hata iandikwe mume si ni kichwa cha famlia lazima agalamike juu ya mchumba/mke........ watu wanaoa kwa howo na daf hio m6 si ni bure kabisa..
Kwani ukiolewa ndo inakuwa mwisho wa kuto msaada kwenu? unaposema wanakuwa wamekupoteza hauhesabiwi tena kama mmoja wa familia yenu? mbona uko negative sana maana yako ni nini ni biashara inafanyika hapo kwamba hiyo hela ni ndogo ili iongezekeze, hapo hapo ukifika ndani unadai haki sawa........ hahahaha safari bado ni ndefu sana mahari si shukurani kama unavyodhani ni zawadi tu kuna wanawake pamoja na kupenda huwa wanakataliwa na upande wa kiume ingekuwa shukurani basi ilipaswa na mwanamke atoe kwa wazazi wa mwanaume kwa kumkubali katika familia yao...... bado uko so negative unawza mali kuliko hali halisi
 
Hiyo hela njoo nikupe gari nzuri, afu mtoto atakuja mwenyewe bila kufungwa kamba.
 
Naongelea wtz hawa hawa,,,,, labda tu awe hana hio hela!!!!!!! nina mfano hai wa mtu kalipiwa mahari ya tshs m5 last w'end......
Hao unaooita wametembea na kujaza fuso ndio wapya kwa wenzio.

Wadada wengi ninaowafahamu walishinikiza wazazi mahari ipunguzwe, hao wanajua maisha na kuwa Kuna maisha baada ya sherehe za ndoa. Nyie mnaosubiri watu wajipange ili mlipiwe mahari kubwa mtaishoa kusubiri.
 
Niaje wana MMU

Yamenikuta mwenzenu, mwezi uliopita nilipeleka mahari sehemu fulani ili
niweke huduma karibu. Sasa yamenikuta, wamenipangia Sh Mil 6.2.

Ukilinganisha na uwezo wangu nashindwa kuilipa hiyo, nimeamua kumuacha
coz na yeye anasema hataki kuja bila wazazi kuridhia na anamimba tayari
ya miezi mitano na wazazi wake hawajui.

Mie nimeamua kuachana nae kama anakua na msimamo huo na nitakomboa
mtoto.

WE UNAONAJE?

eheee hii mada lazima watu hapa watoe povu kisa mahali kubwa. sasa wew kijana una uwezo wa sh ngap? maana watu watatukana hapa kumbe wew una uwezo wa 3 au 4 ebu nijib
 
Mpk kijana afikie kuoa ina maana kajiaandaa,,,,,,,,
Bora niwe hamnazo nipate kuliko kuwa nazo afu nikose

tina leo unalo.achana nao mwamaume anaejielewa atajitetea kupunguziwa si kukimbia.
 
Unaweza kulipa M6 ukamleta karibu ya wanjanja wakamgonga kwa chips za afu mia tano! Jamani kugongewa mke inaumaaa!!!! Ukikumbuka ulivo hustle kulipa M 6 ukaweka nauli afu Mangi yule wa banda la video anampanda bila leseni. Anamwendesha kwa kasi kupitia rough roads pekupeku. Afu wengine madereva wanageuza wanaendesha kinyumenyume unakuta tayari wadhalegeza center bolt mkeo anatembea kiupande upande. Nyie oeni me nkioa ntaozea Segerea
 
mahari ni makubaliano tu...Zari wa Uganda aliolewa na Ivan...Ng'ombe 300 walitolewa...kwa hiokudai mahari kubwa sio kwamba ni wazazi kumuuza mwanao....

By the way...hiyo hua inatamkwa tu...mkienda kupeleka hata laki tano sawa ingine inabaki deni
 
Niaje wana MMU

Yamenikuta mwenzenu, mwezi uliopita nilipeleka mahari sehemu fulani ili niweke huduma karibu. Sasa yamenikuta, wamenipangia Sh Mil 6.2.

Ukilinganisha na uwezo wangu nashindwa kuilipa hiyo, nimeamua kumuacha coz na yeye anasema hataki kuja bila wazazi kuridhia na anamimba tayari ya miezi mitano na wazazi wake hawajui.

Mie nimeamua kuachana nae kama anakua na msimamo huo na nitakomboa mtoto.

WE UNAONAJE?

Mpaka hapo tayari we mshindi, watamleta kwako tena bure...Kapirimposhi wakubwa, mahali milioni 6, wanakupa na kiwanja!!!!!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom