Mahari yaniachisha na mke wangu

Mahari yaniachisha na mke wangu

Haya mambo kusema ukweli ndo yanayo wa disvalue wanawake. Sikatai swala la kutoa mahari lakini huu shida yangu ni mtazamo wetu juu ya mahari kusema ukweli ni kama biashara wanawake mnauzwa jamani sasa huyo anayekataa yani kashaji price yeye ni wa million 6. Hata upewe millioni 100 billion kadhaa ukweli unabaki pale pale kwamba thamani yako na gharama walizozitumia wazazi wako kukulea hakuna pesa yeyote inayoweza fidia tamaa mbaya sana watu wanawafanya wenzao mitaji? Kwanza I doubt kama huyo mwanamke atakuwa tayari amepevuka kuna umri ukifika mzazi anatakiwa kuwa na mipaka yake. Sisi wakristo huwa tunakomalia sana suala la kuwaheshimu wazazi na wazazi huwa wanatumia laana kama defensive mechanism lakini kuna fungu pia linawaonya wazazi wasichokoze watoto wao. Hata mtoto unaweza kumlaani mzazi pia. Hili swala litawafanya wanawake muwe watumwa sana. Sababu watu watawaoa lakini mjue kazi mtakuwa nayo kwenye ndoa pengine sikuhizi michepuko imeshika kasi hata kwa wanawake sababu ndani hamna amani.
 
Duuuh Mahari million 6, Hilo ni tusi, inawezekana hata hawataki umchukue binti yao
 
Dogo jipange mapema. Few years to come tutakua tunaanzia 10m
 
Sio chai hii kweli??

6 m??

Kama ni kweli ujue wakwe hawajaridhia
 
huduma gani mama ya hela yote hiyo? we umeolewa kwa sh ngap?
 
Mkuu... Heshimu kizazi kilichomo ktk. Mimba, Hivyo rudi kwa mke na fanya uungwana ukaongee na wazazi wake kiutuuzima. wewe sasani baba kuwa Mwaminifu !!
 
Million 6 taslim ooh mamaa naona wamejumlisha kuanzia pampers alizovaa utotoni af ndo wakakufanyia discount
 
Ongea nao mahari huwa inapungua;
Wanaweza kuishia hata laki tano tu.
 
PHP:
sawa mkuu yawezekana  na hawana mpango wa kuwaniozesha binti yao...
 
Dogo jipange mapema. Few years to come tutakua tunaanzia 10m
Watamuoa wao wenyewe!!! ila mi wangu mjanja afu kwao hamna njaa kama wengine. afu hawana deni lolote bank kwanza wanavyompenda mtoto wao washamwambia hawatadai kitu ili nisije nikamkomoa
 
Kwani ukiolewa ndo inakuwa mwisho wa kuto msaada kwenu? unaposema wanakuwa wamekupoteza hauhesabiwi tena kama mmoja wa familia yenu? mbona uko negative sana maana yako ni nini ni biashara inafanyika hapo kwamba hiyo hela ni ndogo ili iongezekeze, hapo hapo ukifika ndani unadai haki sawa........ hahahaha safari bado ni ndefu sana mahari si shukurani kama unavyodhani ni zawadi tu kuna wanawake pamoja na kupenda huwa wanakataliwa na upande wa kiume ingekuwa shukurani basi ilipaswa na mwanamke atoe kwa wazazi wa mwanaume kwa kumkubali katika familia yao...... bado uko so negative unawza mali kuliko hali halisi

Daudi hata tubishane vp ukweli uko palepale,,,,, wanaumw wngne ni vichaa anataka kujua kila senti imekwenda wapi na wachoyo balaa hataki kusukia umetuma hela kwenu............
Hio ya kwenda ukoo mwngne nafikiri hujanielewa unless kama na kwenu kuna hio kitu!!!!! mwanamke hawezi kutoa sababu anaenda kuongeza kwenye ukoo mwingine na kwao mtu1 kapungua,,,,,,, acha tu niwe negative mali ndo mpango mzima duniani hapa
 
Watamuoa wao wenyewe!!! ila mi wangu mjanja afu kwao hamna njaa kama wengine. afu hawana deni lolote bank kwanza wanavyompenda mtoto wao washamwambia hawatadai kitu ili nisije nikamkomoa

Baba ake hana madeni! basi huyo si mwanaume wa ukweli. Mwanaume hukosi deni
 
Wadada wengi ninaowafahamu walishinikiza wazazi mahari ipunguzwe, hao wanajua maisha na kuwa Kuna maisha baada ya sherehe za ndoa. Nyie mnaosubiri watu wajipange ili mlipiwe mahari kubwa mtaishoa kusubiri.

Hahaahahahaaaa usinichekeshe hakuna mwanamke asietaka mahali dunia hii........... cousin wng alipata mchumba huko darisalama ikatokea hitilafu kaka akasema mi sioi,,, wazazi na binti wakarudi kusema hata bila mahari anaolewa basi,,,,,,,, ukoo wetu ukashangaa hio type basi wazee wakasema mke hawezi kuchukuliwa bure itolewa hela kiasi ikatoka............ maandalizi yakaanza harusi ikafanya usiku wa harusi kesho yake watu wako honeymoon wazazi wa binti wakasema tunataka mahari na kiasi wakataja...... wazazi waligoma na kaka pia wakasema kama ni ndoa ivunjike sasa hivi!!!!!!!
Acha nisubiri dua ya kuku haimpati mwewe..
 
Huduma ziko nyng like kufua,, kupika,,, usafi
achia yote kubwa ni mimba na kuzaa na kulea wakati huo ww uko baa na mchepuko unafikiri hiyo m6 inafit?????????

ha ha ha ...huyu ni punguani...jinsi ulivo i justify hiyo 6m ni dhahiri umebeba nazi juu ya shingo... watu wanauzana kama ma ng'ombe,
 
Back
Top Bottom