Mahari yaniachisha na mke wangu

Mahari yaniachisha na mke wangu

ha ha ha ...huyu ni punguani...jinsi ulivo i justify hiyo 6m ni dhahiri umebeba nazi juu ya shingo... watu wanauzana kama ma ng'ombe,

Tatizo hujapata lunch ndo maana unaropoka matusi ...............
Ustaarabu haununuliwi kama huo umekosa basi ww maskini wa akili
 
Hahaahahahaaaa usinichekeshe hakuna mwanamke asietaka mahali dunia hii........... cousin wng alipata mchumba huko darisalama ikatokea hitilafu kaka akasema mi sioi,,, wazazi na binti wakarudi kusema hata bila mahari anaolewa basi,,,,,,,, ukoo wetu ukashangaa hio type basi wazee wakasema mke hawezi kuchukuliwa bure itolewa hela kiasi ikatoka............ maandalizi yakaanza harusi ikafanya usiku wa harusi kesho yake watu wako honeymoon wazazi wa binti wakasema tunataka mahari na kiasi wakataja...... wazazi waligoma na kaka pia wakasema kama ni ndoa ivunjike sasa hivi!!!!!!!
Acha nisubiri dua ya kuku haimpati mwewe..
Tinna, hakuna niliposema watu waoe/waolewe bure, hayo umeleta wewe. Japo siku hizi familia nyingi tu zinaozesha bila kutoza mahari. Nilichosema ni kuwa, wadada wana ''feel the pinch'' kwa waume zao, kwa hiyo ikitokea mahari imekuwa kubwa kushinda uwezo wa kijana huwa wao ndio huomba kwa wazazi ili iwe reasonable, kutokana na uwezo alionao mchumba wake.

Ninachokiona kwako labda ni kutaka ''kuweka heshima mjini'', na sio wewe tu, mpo wengi wa sampuli yako. Siwezi kutoa hukumu coz hii ni platform kila mtu ana uhuru wa kutoa maoni, lakini unaonekana kuweka ''heshima ya pesa'' kuliko utu wa huyo anayekuoa..! Na wala sio dua, siwezi kukuombea mabaya bhana, ila kama unampenda huyo mwenzako, utamjali tu na kama upo kwa ajili ya alichonacho, hutajali.
 
Mie sio mtu wa kihivyo sanaa au mambo ya kuweka heshima mujini hapana,,,,, niko simple tu lkn vitu vy mahari ni kuangalia sana usije kupotea....... huwezi amini lkn ndo ukweli mahari kwetu ni issue kubwa na ukutolewa kdg ukoo unakushangaa na kukushusha thamani!!!!!!"!! kwetu ukitaka kuoa baba,, aunt na baba mkubwa/mdogo wanakuchangia ndio maana hata mahari iwe kubwa kijana hawezi kulalamika.............
So kumuonea huruma siwezi ataitoa tu!!!!!!!!!!!!!
 
Milioni 6.7 kwa papuchi hii hii wanayouza pale kimboka na uwanja wa fisi au kuna la ziada....mkuu...???.....hebu fafanua kidogo...maana mbona wengine mpaka wanakopeshwa then wanalipa kidogo kidogo....wengine wenye bahati zao mpaka wanapewa bure kabisa......
 
Unaweza kulipa M6 ukamleta karibu ya wanjanja wakamgonga kwa chips za afu mia tano! Jamani kugongewa mke inaumaaa!!!! Ukikumbuka ulivo hustle kulipa M 6 ukaweka nauli afu Mangi yule wa banda la video anampanda bila leseni . Anamwendesha kwa kasi kupitia rough roads pekupeku. Afu wengine madereva wanageuza wanaendesha kinyumenyume unakuta tayari wadhalegeza center bolt mkeo anatembea kiupande upande. Nyie oeni me nkioa ntaozea Segerea

No comment
 
ha ha ha ha! labda alienda na prado la kukodi!

Teh teh teh teh...sasa hizo ndo gharama zake na bahati mbaya zaidi ukute mzee/mkwe anafanya kazi TRA,analithaminisha prado kwanza halafu gharama ya uchakavu na VAT ndo halali yake kama mahari,utafikiri ndo kwanza unalitoa bandarini!
 
Hata wa kuoa bure wanapatikana kwa wingi,, kazi kwako

Bahati NZURI tayari nina mabinti wakubwa pengine kukuzidi wewe, mimi na bibi yako wala hatuwazi kulazimisha waolewe kwa mahari, ili mradi wakipendana tu sie Baraka zetu haziko attached na mahari!
 
Mie sio mtu wa kihivyo sanaa au mambo ya kuweka heshima mujini hapana,,,,, niko simple tu lkn vitu vy mahari ni kuangalia sana usije kupotea....... huwezi amini lkn ndo ukweli mahari kwetu ni issue kubwa na ukutolewa kdg ukoo unakushangaa na kukushusha thamani!!!!!!"!! kwetu ukitaka kuoa baba,, aunt na baba mkubwa/mdogo wanakuchangia ndio maana hata mahari iwe kubwa kijana hawezi kulalamika.............
So kumuonea huruma siwezi ataitoa tu!!!!!!!!!!!!!
Kutaka mahari kubwa ni ideology ambayo bado baadhi ya makabila kama la kwenu mnalo[japo silijui], inaanza kufifia taratibu na itafikia mwisho wake tu. Ukweli ni kuwa, mahari iwe kubwa au ndogo haimaanishi uthamani wa binti, ni heshima tu kwa wazazi, iwe 1m au 6m haina tofauti yoyote.

Sasa usipomuonea huruma, akamaliza savings zote kabla ya kuanza maisha ya wawili, mkiingia ndani si atakaeishi kwa shia ni wewe. Kwa nini usipunguze gharama kwa kudai reasonable dowry ili awe na savings za kuanza maisha, huoni unajiumiza wewe?
 
Niaje wana MMU

Yamenikuta mwenzenu, mwezi uliopita nilipeleka mahari sehemu fulani ili niweke huduma karibu. Sasa yamenikuta, wamenipangia Sh Mil 6.2.

Ukilinganisha na uwezo wangu nashindwa kuilipa hiyo, nimeamua kumuacha coz na yeye anasema hataki kuja bila wazazi kuridhia na anamimba tayari ya miezi mitano na wazazi wake hawajui.

Mie nimeamua kuachana nae kama anakua na msimamo huo na nitakomboa mtoto.

WE UNAONAJE?

Dah! .....

Mahari mil 6???????

Haya bana oeni tu ....!!
 
Bahati NZURI tayari nina mabinti wakubwa pengine kukuzidi wewe, mimi na bibi yako wala hatuwazi kulazimisha waolewe kwa mahari, ili mradi wakipendana tu sie Baraka zetu haziko attached na mahari!

Ok babu!!!!!! ruksa kufanya upendavyo kwa binti zako..
 
Mie sio mtu wa kihivyo sanaa au mambo ya kuweka heshima mujini hapana,,,,, niko simple tu lkn vitu vy mahari ni kuangalia sana usije kupotea....... huwezi amini lkn ndo ukweli mahari kwetu ni issue kubwa na ukutolewa kdg ukoo unakushangaa na kukushusha thamani!!!!!!"!! kwetu ukitaka kuoa baba,, aunt na baba mkubwa/mdogo wanakuchangia ndio maana hata mahari iwe kubwa kijana hawezi kulalamika.............
So kumuonea huruma siwezi ataitoa tu!!!!!!!!!!!!!

Kuna watu mnajitesa na mnatesa sana wasiojijua kama ninyi ....!!
 
Kutaka mahari kubwa ni ideology ambayo bado baadhi ya makabila kama la kwenu mnalo[japo silijui], inaanza kufifia taratibu na itafikia mwisho wake tu. Ukweli ni kuwa, mahari iwe kubwa au ndogo haimaanishi uthamani wa binti, ni heshima tu kwa wazazi, iwe 1m au 6m haina tofauti yoyote.

Sasa usipomuonea huruma, akamaliza savings zote kabla ya kuanza maisha ya wawili, mkiingia ndani si atakaeishi kwa shia ni wewe. Kwa nini usipunguze gharama kwa kudai reasonable dowry ili awe na savings za kuanza maisha, huoni unajiumiza wewe?

Nasema hivi kwetu mahari inachangiwa hatoa mume peke ake so hawezi kuumia sanaaaa......... labda niolewe na mbongo itakua kasheshe hapo!.
 
Mil 6.2! Dah, siwezi fanya huo ujinga, halafu mwanamke anakuwa nunda, mbishi,jeuri ...hapana aisee.
 
Dah! .....

Mahari mil 6???????

Haya bana oeni tu ....!!
Kiongozi, kama bado kuoa wala usikatishwe tamaa na hizo tarakimu. Sio wazazi wote wenye fikra za kuozesha kwa kuuza binti zao. Na bahati nzuri, siku hizi unakuwa katika urafiki kiasi kwamba, binti anaelewa uwezo na kipato chako, kama kweli ana nia ya kuishi na wewe wala hatokubali kuidhinisha mahari ya 6m, hata yeye ana say katika hili..!

Kama wakati umefika, unayo nia ya kuoa, lakini tatizo ni hili [mfano] usijipe hedeki, mchumba wako atatengeneza njia tu...! Coz kadri unavyozidi kusubiri, umri haukusubiri.
 
Hahaahahahaaaa usinichekeshe hakuna mwanamke asietaka mahali dunia hii........... cousin wng alipata mchumba huko darisalama ikatokea hitilafu kaka akasema mi sioi,,, wazazi na binti wakarudi kusema hata bila mahari anaolewa basi,,,,,,,, ukoo wetu ukashangaa hio type basi wazee wakasema mke hawezi kuchukuliwa bure itolewa hela kiasi ikatoka............ maandalizi yakaanza harusi ikafanya usiku wa harusi kesho yake watu wako honeymoon wazazi wa binti wakasema tunataka mahari na kiasi wakataja...... wazazi waligoma na kaka pia wakasema kama ni ndoa ivunjike sasa hivi!!!!!!!
Acha nisubiri dua ya kuku haimpati mwewe..
Unadai "hakuna mwanamke asietaka mahari dunia hii" halafu hapo hapo unatoa mfano wa mtu ambae alitaka mwanae aolewe bila mahari,hivi unakijua hata ulichokiandika?

By the way,unaujua uzito wa kusema "hakuna mwanamke asietaka mahari dunia hii"?

Unajua maana ya dunia wewe?

Yaani wewe hujui hata kile ambacho kinaendelea mkoa jirani na huo unaoishi kuhusiana na suala la mahari halafu unajidai kujua ya dunia,una hatari sana wewe ....

Hujui hata kuna dini ambazo hazitambui mahari,wewe unakurupuka tu "hakuna mwanamke asietaka mahari dunia hii" ...!!
 
Back
Top Bottom