Mahari yaniachisha na mke wangu

Mahari yaniachisha na mke wangu

Hiyo mimba ilipangwa au ni mimba surprise?

Kwanini ulete kiumbe kingine duniani wakati we mwenyewe maisha yako hayaeleweki?

au plans zako zilikuwa ukamilishe kifungua mimba na ndoa at once? kwa hela gani uliyo nayo?

Me nachukia kweli mijitu inayozaa zaa ovyo kama paka....no plans no what!
 
Niaje wana MMU

Yamenikuta mwenzenu, mwezi uliopita nilipeleka mahari sehemu fulani ili niweke huduma karibu. Sasa yamenikuta, wamenipangia Sh Mil 6.2.

Ukilinganisha na uwezo wangu nashindwa kuilipa hiyo, nimeamua kumuacha coz na yeye anasema hataki kuja bila wazazi kuridhia na anamimba tayari ya miezi mitano na wazazi wake hawajui.

Mie nimeamua kuachana nae kama anakua na msimamo huo na nitakomboa mtoto.

WE UNAONAJE?

bora umemuacha ungepata shida sana
 
Back
Top Bottom