mkorea
JF-Expert Member
- Aug 16, 2016
- 8,582
- 19,226
Mi nashangaa sana watu kuwaona single maza kama ukimwi vile,
Wanajifanya wapondaji sana kwa wanaume tusio na kipato kikubwa
Yes upo sahihi kwa mtazamo wako ila miaka ya nyuma single mom walikuwa nadra sana,saizi mabadiriko ya maisha huwezi fananisha na early 1990's.......hii ni changamoto kama changamoto nyingine zilizokuja kutokana na changes of life style,kama jamii tusiwahumu na kuwanyoshea vidole ila nikuangalia mzizi wa tatizo.Uko sahihi kabisa lakinii tutarudi palepale katokea kwenye familia ya namna gani?
Sisi mama yetu hakupatikana kizinzi zinzi ndio maana hata dada zangu wote (watatu) wameolewa wakiwa na usichana wao sasa embu jiweke wewe kwenye nafasi ya mama yetu and feel how proud she is kuozesha watoto wote watatu wakiwa na usichana wao
Wanajifanya wapondaji sana kwa wanaume tusio na kipato kikubwa
Ujinga tu wa vijana ambao balehe zinawasumbua
Kichwa yako haina kitu.Yaani ni vacuum.Mahari ya single mama inatakiwa itoke kwa wazazi wake japo waseme asante kwa kijana atakabeba hilo kopo.
Kununua engine mbovu iliyoshafanyiwa overhaul ni ujinga na utadharaulika na hata ndugu wa mkeo even yeye mwenyewe atakuona boksi
Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
Mkuu tafuta chapaaa, vitu vingine vitakuja vyeyeweWanajifanya wapondaji sana kwa wanaume tusio na kipato kikubwa
Much know sana Hawa viumbe
Sent using Jamii Forums mobile app
Haaaaa 😂 lijinga hiloKichwa yako haina kitu.Yaani ni vacuum.
Single mother wengi wanatamaa kisa mwamba ana mpunga wanajilengesha wenyewe wakizalishwa wanajifanya wanaharakatiYes upo sahihi kwa mtazamo wako ila miaka ya nyuma single mom walikuwa nadra sana,saizi mabadiriko ya maisha huwezi fananisha na early 1990's.......hii ni changamoto kama changamoto nyingine zilizokuja kutokana na changes of life style,kama jamii tusiwahumu na kuwanyoshea vidole ila nikuangalia mzizi wa tatizo.
Yes, katika jamii zetu ukioa single mother unaonekana ni kituko,lakini tunasahau root cause tunaconclude na kuona ni wasiostahili,wasiofaa,malaya etc
Umesema dada zako wote wameolewa virgin,ni jambo jema na malezi ktk familia yenu ila kwa sasa wazazi wako busy kupambana na maisha sana kwahiyo watoto wanajiongoza wenyewe,ile intimacy haipo tena tofauti na miaka tulikua wadogo.
Tusiwahukumu hawa single mom,wanaume nasisi ni chanzo
Akili yako haiwazi mbali walaSingle mother wengi wanatamaa kisa mwamba ana mpunga wanajilengesha wenyewe wakizalishwa wanajifanya wanaharakati
Mfano, hamisa mobeto, zamaradi
Sent using Jamii Forums mobile app
Achana na hao waliochagua maisha ya kijinga na kutaka ganda la ndizi....asilimia kubwa wengi wanajikuta ktk hali hiyo kama ajali tuSingle mother wengi wanatamaa kisa mwamba ana mpunga wanajilengesha wenyewe wakizalishwa wanajifanya wanaharakati
Mfano, hamisa mobeto, zamaradi
Sent using Jamii Forums mobile app
alafu nyingine ikagoma akaamua kuzaa tu..... hahahahahata single mother inawezekana alitoa mimba pia
Tatizo sio kuwaza mbali wewe mwenyewe unajua vitu kwa ground jinsi vilivyo huwezi mpeleka mchumba nyumbani ambae ni single mom wakuelewe kirahisi labda uongozane na malaika toka mbinguni hawashawishi.Akili yako haiwazi mbali wala
Uko sahihi,waliooa single mothers wanalijua hili na jinsi wanavyowatesa...Hatakama vijana balehe zinawasumbua Ila ndio ukweli
Single mother ni wounded buffalo
Wanahatari sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Vip binti kaolewa ndani ya two years mume kafariki kaacha mtoto huyo hafai?Tatizo sio kuwaza mbali wewe mwenyewe unajua vitu kwa ground jinsi vilivyo huwezi mpeleka mchumba nyumbani ambae ni single mom wakuelewe kirahisi labda uongozane na malaika toka mbinguni hawashawishi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa hata kama kwao ipo hivyo unataka ashabikie na kukubaliana na hali hiyo?Bora kaka useme wewe, dah wanaume wengine wana dhihaka sana tasema hawakuzaliwa na wanawake jamani.,,ukimfatili utakuta kenyewe mama ake aliolewa akiwa nako, alafu dada zake wote wamezalishwa wako nyumbani binamu zake usiseme, ila wakijua humu wanajimwambafaii weeeee as if wanaishi Mars na si huku kwenye jamii zilizojaa ma single mom
Tuwapende na kuwaheshimu, kumbukeni nyie ndo mnaowapa hizo mimba
Sent using Jamii Forums mobile app
Hukumu lazima waipate kuanzia hapahapa duniani.Yes upo sahihi kwa mtazamo wako ila miaka ya nyuma single mom walikuwa nadra sana,saizi mabadiriko ya maisha huwezi fananisha na early 1990's.......hii ni changamoto kama changamoto nyingine zilizokuja kutokana na changes of life style,kama jamii tusiwahumu na kuwanyoshea vidole ila nikuangalia mzizi wa tatizo.
Yes, katika jamii zetu ukioa single mother unaonekana ni kituko,lakini tunasahau root cause tunaconclude na kuona ni wasiostahili,wasiofaa,malaya etc
Umesema dada zako wote wameolewa virgin,ni jambo jema na malezi ktk familia yenu ila kwa sasa wazazi wako busy kupambana na maisha sana kwahiyo watoto wanajiongoza wenyewe,ile intimacy haipo tena tofauti na miaka tulikua wadogo.
Tusiwahukumu hawa single mom,wanaume nasisi ni chanzo
Mkuu maisha yanaendelea ujue. Life doesn't stopSingle mum again! Si muwaache wapumzike!!
Akaolewe na wavaa misuli (wazee), wagane au wenye watoto wenzake mechi haijawahi kuanza timu moja inaongoza.Vip binti kaolewa ndani ya two years mume kafariki kaacha mtoto huyo hafai?
Hii sasa inaitwa shida na sio mapenzi ya dhati ataolewa kwa kufata jambo lake baada ya hapo show yake utaipenda na mimi ni shahidi.Vip Kwa binti ambae hana mtoto kuolewa na kijana mwenye mtoto?