Nakfa
JF-Expert Member
- Oct 1, 2017
- 10,971
- 14,388
You're absolutely right! Na kuna uzi ulianzishwa humu na Jokajeusi anasema solution ni kuoa Bikra tu.Hivi kijana anayeoa unaanzaje kuoa single mother wakati wabichi wamejaa tele unaanzaje kumtambulisha kwenu kwa wazazi, mashangazi wajomba?
Binafsi kuoa mwanamke asiye na bikra nitajiuliza mara mbili mbili sembuse mfupa uliomshinda fisi mimi ndo nitauweza.
Mwanamke aliyezalia nyumbani hana sifa za kuwa mke.
Sent using Jamii Forums mobile app

