Yani mnashindwa kuelewa kitu kimoja,kulelewa na single mother haimaanishi huyo mtoto aanze kuwatetea single mother hapana!Mi nashangaa sana watu kuwaona single maza kama ukimwi vile,
[emoji42] ilhali hata wao walilelewa na mama zao tu[emoji42][emoji42][emoji42]
Hebu kuweni upande wa mwanaume kidogo!,Hivi inaingia akilini kweli kijana barubaru unaenda kuoa mwanamke aliyezalishwa na mwanaume mwenzio.
Yani unajipa mzigo usio wako kabisa.
Sent using Jamii Forums mobile app