Mahari ya Single Mom

Mahari ya Single Mom

Sio kuwaogopa hivi unawezaje kumtambulisha single mother katika familia inayojitambua na kueleweka na yenye maadili yote? Single mother acha wavune walichopanda mimi hata kuwa nao katika mahusiano serious kabsa. Hata uwe mkali vipi ukishaniambia kuwa ni single mother mzuka unakata

Sent using Jamii Forums mobile app
Watu kama nyinyi mara nyingi mnaingia kichwa kichwa kwa wanawake ambao wakati mnaanza uhusiano wanakudanganyeni ya kuwa hawana Mtoto, kumbe Mtoto yuko kwa Bibi yake kitambo.

Tena shukuru wanawake wengine Mapenzi yakishakolea ndio wanakuambia, na wewe sababu umeshaingia kichwa kichwa/umependa inabidi utunze siri kwa kuogopa aibu.
Na kuna wanawake wengine hawakuambii mpaka siku unaliona kaburi.

Bado hujawajua vizuri wanawake
 
Mara nyingi watu wanasahau kwamba mapenzi ni ya watu wawili. Thamani ya mke au mume haitambuliwi na wazazi, ndugu wala marafiki bali wale waliokuwepo kwenye uhusiano.

Kwahio kiwango cha mahali ya single mum, haina tofauti na mwanamke yoyote yule kwani vigezo vya mahali viko vingi na kuwa na mtoto sio moja wapo. Huyo binadamu sio gari. Mahali ni utamaduni tu.

Pamoja na kuwa na point kuhusu mahusiano ila suala la kusema mahari ya binti wa miaka 18-22 asiye na mtoto uyafananishe na wa 30 mwenye mtoto!. Hapana.
 
........................Huyo aliye-comment hapo ameowa single mama na akapigwa mahari kubwa that's why amejimwambafy hapo but mahari ya single mama inatakiwa itoke kwa wazazi wake japo waseme asante kwa kijana atakabeba hilo kopo.

Kununua engine mbovu iliyoshafanyiwa overhaul ni ujinga na utadharaulika na hata ndugu wa mkeo

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
Tatizo hili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unalaana sio bure
Mimi siwezi kuwa na laana nimezaliwa na mama aliyejitunza hadi kwenye ndoa na wala siyo single father laana unayo wewe single mama uliyezaa hovyo kisha akitokea domo zege wa kukuonea huruma mnajikusanya familia nzima mna-discuss mahari apigwe bei gani as if anaowa bikra,tena kama mimi mkisema hata 80,000/= tu naondoka sitakuwa na muda wa kupatana.

Hapo juu kwenye namba nimemaanisha elfu themanini usije ukapasoma kama laki nane.

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
 
....................Mimi siwezi kuwa na laana nimezaliwa na mama aliyejitunza hadi kwenye ndoa laana unayo wewe single mama uliyezaa hovyo kisha akitokea domo zege wa kukuonea huruma mnajikusanya familia nzima mna-discuss mahari apigwe bei gani as if anaowa bikra,tena kama mimi mkisema hata 80,000/= tu naondoka sitakuwa na muda wa kupatana.

Hapo juu kwenye namba nimemaanisha elfu themanini usije ukapasoma kama laki nane.

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
Si unaona nilisema unalaana yani unarusha giwe gizan mzee mm bdo mchini hata kutotoa sijaanza ss ww jiropokeshe

Elfu80 kubwa ww hata wa 2k hautampata
 
Mkuu punguza kidogo ukali wa maneno Daah, si vyema sana kuwa na maneno makali hivyo
.........................Tunaokoa kizazi kaka hili jambo siku hizi mabinti wanalichukulia kiwepesi sana kumbuka na sisi tunazaa nachotaka wale waliopo humu na hawajafikia stage inayozungumzwa hapa waogope na wajiepushe na ujinga huu so called “singo mama”.

Hutajisikia vibaya mama yake umuowe akiwa na heshima yake kwa mahari 1.2mill kisha siku ile Mungu amekupa mtoto wa kike anakuja mtoto wa mwenzio unamtajia 1.5mill wakati ndani kuna mjukuu wako aliyetokana na huyu binti,Mimi kwa aibu nitatamka mchukueni tu bure na asante nyingi juu.

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
 
Si unaona nilisema unalaana yani unarusha giwe gizan mzee mm bdo mchini hata kutotoa sijaanza ss ww jiropokeshe

Elfu80 kubwa ww hata wa 2k hautampata
Hii ID nakumbuka kubishana nayo somewhere kuhusu mambo haya haya ila wakati huo ilikuwa kuhusu “BIKRA” wewe na mwenzako wakujiita somebody @tufitufi povu liliwatoka kweli kweli na nakumbuka mmoja wenu akakiri post ya #3 baada ya main post kwamba alitolewa bikra akiwa aged 16 sasa sikumbuki kama ni wewe au yule mwenzio.

Nimekufahamu baada ya kuona maandishi yako uliyoandika ukiwa panicked kama wakati ule,anyway siwezi bishana na gume gume ndo kwanza kumekucha nilichoandika hapo juu nimemaanisha kama wewe singo mama ambia ndugu zako akitokea mtu wamwambie asante akuokote mkasaidiane maisha.

Am out!!!

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
 
Mkuu ivi unajua kuna mademu wanatoa wameshatoa mimba kibao ..nahuyo ndo unaenda Oa?Yupi bora, Alotoa mimba zaidi ya tano Ila hana mtoto... Au aliye pata mimba moja naakamua kuzaa ?.



Ukishamwelewa MTU ,hata km amezaa Toa mahari ya kujitosheleza.


Nenda Ukuryani, Uone Jamaa wanavyotoa mahari, wanalipia Mke, wanalipia Watoto kutumia Ubini wake.


Sasa nenda nakapua kako eti unataka Mtoto wako Hahahahaha.... Utabakisha Kinyeo mlangoni
Bora kaka useme wewe, dah wanaume wengine wana dhihaka sana tasema hawakuzaliwa na wanawake jamani.,,ukimfatili utakuta kenyewe mama ake aliolewa akiwa nako , alafu dada zake wote wamezalishwa wako nyumbani binamu zake usiseme, ila wakijua humu wanajimwambafaii weeeee as if wanaishi Mars na si huku kwenye jamii zilizojaa ma single mom

Tuwapende na kuwaheshimu, kumbukeni nyie ndo mnaowapa hizo mimba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata milion 5 unatoa kutokana na ulivyompenda.
Mi kuna single mom, alinipenda katika uhai wangu hakuna aliyenipenda sana Kama yeye japo wapo waliokuja badala yake.
Na imani nikifa , tutaonana Tena.
Rest in peace mainah😥😥😥.
😭😭😭😭 mkuu hii comment imenitoa chozi langu imeniumiza sana.
 
........................Huyo aliye-comment hapo ameowa single mama na akapigwa mahari kubwa that's why amejimwambafy hapo but mahari ya single mama inatakiwa itoke kwa wazazi wake japo waseme asante kwa kijana atakabeba hilo kopo.

Kununua engine mbovu iliyoshafanyiwa overhaul ni ujinga na utadharaulika na hata ndugu wa mkeo even yeye mwenyewe atakuona boksi

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
Unajua venye naelewaga comments zako my brother from another mama
 
Comments za watoto wadogo na primitives zinajidhihirisha wazi. Hayo mambo ya single mother visababishi ni sisi sisi wanaume. Acheni kuropoka upumbavu nyinyi washenzi.
Unajikutaga diiiingi kuliko sisi kumbe upuuzi tu.

Kuna koo kama yangu ni fedheha kubwa kwa mtoto wa kiume kuoa janamke liliozalishwa kwingine unatengwa na kwenye matambiko huendi na ndugu hawaji tena kwako.

Can you please pretend to be equal with everyone in this platform?
 
Back
Top Bottom