Mahari ni lazima, usidanganyike binti

Mahari ni lazima, usidanganyike binti

Mahari sio mbaya, ila mwanamke wa kilwo hataki kuonekana kamilikiwa...

Wanataka usawa... Na sisi hatutoi Mahari
 
Utamaduni wa kiafrika lazima mwanaume amtolee mwanamke mahari awe na mtoto au asiwe na mtoto.
Ukiamua kuoa kwenye boma la watu wenye miiko yao ni lazima utoe mahari mf. Sisi wa Masai .
Ukiwa bikra unatoa mahari ya ng'ombe mia moja .

Akiwa na elimu nanibikra ni ng'ombe 150. Ndio umchukue hapo hujatoa kishika uchumba na kuleta zawadi yakuwa unataka kuoa boma hilo . Pia kuna madebe ya pombe 15. vyakula na kishika uchumba ya pili tena madebe ya pombe kumi na mahari.

Pili kama msichana hana hiyo bikra ni ng'ombe 30 hata 25 itakubalika ila kama walimsomesha ni 35 mpaka hamsini.
Taratibu za pombe zawadi iko pale pale na kishika uchumba .

Kama anamtoto mahari ni ng'ombe wa 4 mpaka wa tano na pombe madebe 10 au pungufu ya hapo na kama anaelimu ni ng'ombe hizo hizo.

So kama mwanaume asipokutolewa mahari ujue akupendi. Jua hilo tu.

Ndio point yangu ni hii kwanini mama yako alitolewa mahari wewe leo mchumba wako aseme anakununua eti . Akitoa mahari ndio akununue??
JItafakari uchukue hatua .
Bikra unayo??
 
Kama ana bikra 100,bikra na elimu 150,kuna watu tunawaambia bikra haitokuja kupoteza thamani na hapo ikipita miaka mitano unaweza ukafika mpaka ng'ombe 200.

Ila kuna mabinti wanahela wasomi na wanastress za ndoa mahali wanajitolea wao wenyewe baada ya kuona umri wao umeenda na wengine hufikia hatua ya kufanya sherehe yake na mmewe zote anagharamia zake,ila siku hizi Mario wamejaa si vijana wala watu wazime, wote wanawawinda wadada wenye hela.
 
Tuanze kwanza kabla ya kutaka kukuoa huyo baba yako mzazi ana miliki nini au ana ukwasi kiasi gani?
 
Muwaonee huruma vijana yani ngombe 100 daaah...hapo unauzwa au kuna mapenzi...
 
Back
Top Bottom