SweetyCandy
JF-Expert Member
- Sep 17, 2022
- 5,183
- 9,804
Kwanini ?Masai wengi kule arusha wanahaha ata kuolewa bure inashindikana
Utamaduni au Traditiona is peer pressure from the dead people 😂Utamaduni wa kiafrika lazima mwanaume amtolee mwanamke mahari awe na mtoto au asiwe na mtoto.
Ukiamua kuoa kwenye boma la watu wenye miiko yao ni lazima utoe mahari mf. Sisi wa Masai .
Ukiwa bikra unatoa mahari ya ng'ombe mia moja .
Akiwa na elimu nanibikra ni ng'ombe 150. Ndio umchukue hapo hujatoa kishika uchumba na kuleta zawadi yakuwa unataka kuoa boma hilo . Pia kuna madebe ya pombe 15. vyakula na kishika uchumba ya pili tena madebe ya pombe kumi na mahari.
Pili kama msichana hana hiyo bikra ni ng'ombe 30 hata 25 itakubalika ila kama walimsomesha ni 35 mpaka hamsini.
Taratibu za pombe zawadi iko pale pale na kishika uchumba .
Kama anamtoto mahari ni ng'ombe wa 4 mpaka wa tano na pombe madebe 10 au pungufu ya hapo na kama anaelimu ni ng'ombe hizo hizo.
So kama mwanaume asipokutolewa mahari ujue akupendi. Jua hilo tu.
Ndio point yangu ni hii kwanini mama yako alitolewa mahari wewe leo mchumba wako aseme anakununua eti . Akitoa mahari ndio akununue??
JItafakari uchukue hatua .
Unataka kuishi maisha ya bibi wa bibi yako pale unapoana unafaidika wewe.Utamaduni wa kiafrika lazima mwanaume amtolee mwanamke mahari awe na mtoto au asiwe na mtoto.
Ukiamua kuoa kwenye boma la watu wenye miiko yao ni lazima utoe mahari mf. Sisi wa Masai .
Ukiwa bikra unatoa mahari ya ng'ombe mia moja .
Akiwa na elimu nanibikra ni ng'ombe 150. Ndio umchukue hapo hujatoa kishika uchumba na kuleta zawadi yakuwa unataka kuoa boma hilo . Pia kuna madebe ya pombe 15. vyakula na kishika uchumba ya pili tena madebe ya pombe kumi na mahari.
Pili kama msichana hana hiyo bikra ni ng'ombe 30 hata 25 itakubalika ila kama walimsomesha ni 35 mpaka hamsini.
Taratibu za pombe zawadi iko pale pale na kishika uchumba .
Kama anamtoto mahari ni ng'ombe wa 4 mpaka wa tano na pombe madebe 10 au pungufu ya hapo na kama anaelimu ni ng'ombe hizo hizo.
So kama mwanaume asipokutolewa mahari ujue akupendi. Jua hilo tu.
Ndio point yangu ni hii kwanini mama yako alitolewa mahari wewe leo mchumba wako aseme anakununua eti . Akitoa mahari ndio akununue??
JItafakari uchukue hatua .
Mambo ya ajabu sanaUnataka kuishi maisha ya bibi wa bibi yako pale unapoana unafaidika wewe.
Lakini at the same time unataka kuishi modern life ambayo bibi wa bibi yako hakuishi.
Kabisa kwanza mtu kwenda tu kujitambulisha ni hatua kubwa.Umesema sawa!
Lakini kwa kizazi hiki na dunia hii ya utandawazi, sijui.
Sasa hivi mzazi ukiona wanakukuletea hata mahari ya shilingi mia unashukuru,ukiikataa utalea Wajukuu.
Uchumi ni mgumu,wanawake ni wengi kuliko wanaume.
Akijibu naomba unitag😂Wewe ulitolewa mahari gani?
Unaruhusu mabinti kuuzwa?Utamaduni wa kiafrika lazima mwanaume amtolee mwanamke mahari awe na mtoto au asiwe na mtoto.