Mahari milion 2 na nusu

Wewe ulieandika uzi unaugulia maumivu! Umenyanga' nywa! what's 2m to a woman you love! A wife material! and probably a learned and employed! In the marriage industry, kanda ya ziwa you will be charged 6 cows in many families. Sasa kaulize ng'ombe pale Pugu ni kiasi gani?


Unajua ng'ombe wa mahari wanakuaje?

Kwa kizazi hiki mahari inatakiwa isizidi laki mbili.

 
Mali uwa haitolewi yote hicho ni kianzio tu ila lazma uombe kupunguziwa, au subiria 5yeas to come utalipa lak 6au7 tu

New bloom sweeps well but old one knows every corner!!
 
Sisi kwetu tuna utaratibu wa kumuuliza bi harusi mwnyw uwezo wa huyi muoaji ukoje na hatujawahi kudai mahari zaidi ya laki 7 na pesa ya ikilipwa huwa anapewa bi harusi mwnyw

Nyie kwenu wapi namiye nije
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom