Natafuta gari ya mkataba

Mtu chuma

Member
Apr 2, 2021
51
107
Habari zenu wana jamii forum,

Natafuta gari ya mkataba nifanyie kazi au biashara ya uber hesabu kwa wiki 170,000 gari ikiwa mpya miaka 2 na nusu kama used tutaangalia thamani ya gari sokoni ikoje.

Namba zangu ni 0753 879122
 
Gari utakuwa umeinunua sh. Ngpi?

Mwaka mmoja una wiki 52 *2=104+ miez 6 wiki 26 =wiki 1miaka miwili na nusu sawa na wiki 30*170,000 = 22,100,000 faida kwa gar ya thaman ya milion 15 ni milion 7 na lak moja ndogo hyo kama faida kwa miaka miwili
 
Manake ni kwamba, 170,000÷7=24,285. Ni hela inayoingia kwa siku.

7,100,000÷365=19,452 ni faida kwa kila siku, kwa uwekezaji wa milion 15.

Kwa mtaji huo waweza fungua duka la jumla na faida ukawa unatengeza zaidi ya elf 30 kwa siku.
 
Maana gar tuchukulie ist mpaka vbal kila kitu mathslan 16.5m baada ya mda husika akipata hata faida ya m7 sio mbaya mana ni biashara
Ni hasara kwa uwekezaji wa milioni 16 unatengeneza m7 kwa mwaka.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom