Mahari milion 2 na nusu

Mahari milion 2 na nusu

Muukize mwenyewe amekutana na nini mwenzio anajua siri ya urembo ndio maana milioni mbili kwake haimuumizi

Sent using Jamii Forums mobile app
Angekuja kulia lia hapa?huo ni msingi wa biashara kabisa.
Mimi ni muislam,hayo mambo huku kwetu hayapo.mpaka mkopo unapewa mke.nusu mahari unapewa mke.na wengine mpaka leo wanadaiwa na wake zao mahari hawajamalizia,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani umri wa mke mtarajiwa ndio kigezo cha kiwango cha mahari? Fomula inakuwaje?
 
Anachuraaaa? In mkali waoz voice

Chura bin Zigo kwanza mengine baadaye
 
Hiyo labda awe bikraaa na anachuraaaa otherwise, ajaribu kwa jirani, utumike huko me nikutolee pesa mingi hivyooo

Chura bin Zigo kwanza mengine baadaye
 
si bora wewe c tulpigiwa esabu ikaja ml4
n'gombe 8 kuku bata koti la mjomba sjui blanket la bibi masufuria
Vitenge vya ukoo mzima

sema uzuri mahari c lazima kulipa yote
 
Wifi yangu kwa sista tarehe 15 anafunga ndoa...mahari kalipiwa mil 3!! Mtoto wa mamdogo naumia September harusi mil 2 unusu.


Mahondaw wa [USER
Ndiyo nasema.. Mahari za miliion2,3 mbona kawaida sana...
 
kama uyo aliyemchumbia kitandan anajituma iyo hela sio nyingii.

Words of wisdom!!!

Madem ni kama mahindi choma,
Una toa lines zako mbili upatie mwingine.
atakayebaki na gunzi shauri yake
 
Ndugu yangu kaambiwa mali n miln 2 na nusu ...uyo aliemchumbia ni bint wa miaka 20

Sent using Jamii Forums mobile app

Usishangae Mkuu labda ' Mbunye ' yake huyo ' Mchumbiwaji ' ina App, Flash Disc, Camera, Monitor, ATM Card na Udongo wa Makinikia hivyo ' Jamaa ' atafadika nae kwa vingi huko mbele ya safari wakiwa pamoko / pamoja maishani.
 
Back
Top Bottom