Maharamia wa Kisomali na majumba mapya Mbezi




Mkuu nimekupata vilivyo,watu wengine wanaona jf ni kwa ajili ya ubishi na si kupata habari tofauti na matarajio ya waasisi.BIG UP.
 
jamni serekali inajua hili? mhhhhhhhhhhhh nimeanza kuogopa
 
Mada nzuri sana hii. Asante Lole, Ngongo, Michael na wengine kwa michango mizuri.

Nichangie ktk "hows". Kwanza ni vema tujue lengo, mkakati na mbinu wanazotumia Wasomali. Huo uwezekaji kifupi ni ktk dhana nzima ya kusafisha fedha haramu zilizopatikana kwa uharamia na opium trade.

Nina kijimfano; nilikuwa Perth miaka michache iliyopita, pale kuna "wakimbizi wa kisomali". Na baadhi yao wanatumiwa fedha na jamaa zao toka Mogadishu na Nairobi. Wananunulia vifaa vya ujenzi (ukandarasi), malori, mitambo na kuja Kenya kama wawekezaji. Ndio maana wamewekeza sana ktk real estate pale Nairobi. Nilishangaa sana pale mjomba wa rafiki yangu (Mkenya) alipouza nyumba yao huko Kenya kwa bei zaidi ya mara 1,700 ya market value na tena akaja kumaliza dili Perth. Iliniacha na maswali mengi sana na toka wakati ule nimesusa kutumia neno mkimbizi kwa Wasomali.

Pia wamewekeza sana ktk finance industry na baadhi yao kwenye madini nk. Lakini vyanzo vya fedha zote hizo ni uharamia. Wametumia "fursa" ya kuwa ktk developed countries na advanced technologies to their maximum end.
Ni kweli hawa jamaa ni washari na wahalifu. Kuna kambi/kituo kimoja pale walikuwa wamewekwa pamoja na wa Croatia, wa Albania lakini kutokana na shari na fujo zao za ajabu walibidi wawahamishie wale raia wengine na kuiweka ile kambi under survaillance 24/7. Many locals were so unforgiving about them bcoz they turn those camps/centres into hubs for semi-operative illicit trade.

Kwa hiyo ni serious problem, actually very serious one. Hapa nyumbani wamepenya mpaka TISS, Bungeni, Ulinzi so we need some proper addressing. watanunua apartments, properties or land at the hiked values. They will use those dirty money as effective tools even to buy our very own souls.
 
Mkuu nakupongeza kwa contribution pamoja na wachangia mada wengine walioiona threat hii toka awali.

Waliokuwa wanabisha hapo a wali nafikiri wamekwisha jionea jinamizi la AlShabab huko Kenya.

Nchi hii italindwa na sisi wenyewe, ni kiasi cha mtu kuwa macho na kuona indicators zisizo za kawaida karibu na wewe.

Nafarijika kwa michango iliyotolewa na ninaamini wahusika wamekwishona na kuchukua hatua Kama si tahadhari.
Kitu cha kusikitisha ni wale wenye mawazo finyu kufikiri tunawachukia wasomali,mawazo ambayo ni potofu.Tanzania lazima tuilinde kwa vyovyote vile, hasa ukitilia maanani kuwa amani yetu imetufanya tuwe na utamaduni wa kutokimbilia kokote kule, tofauti na Nchi nyingine.
 
Na Tz ya sasa ilivyo ndivyo sivyo wataingia sana na kutapakaa kama nzi
 
Leo nashangaa watu wamesahau ya Al- Quida, Al Shabab na wasomali wanavyokimbialia kusini mwa Jangwa la Sahara wameiacha Nchi yao sisi tutawaweza?
 

Al Shabab wanakaribishwa Dar kujenga ila siyo kubomoa.
 
Al Shabab wanakaribishwa Dar kujenga ila siyo kubomoa.
Katiba ya uanzishwaji wa Al Shabab ni kubomoa na si kujenga, popote walipo.
Tuwe careful na wasomali, hakuna wasomali wawili wanaoweza kukaa na kupatana, ndio maana Somalia haitawaliki.
 

Unazungumziaje impact ya mtikisiko wa uchumi wa dunia wa mwaka 2008 maana wamiliki ndio hao wenye hisa ughaibuni. Au ndio kusema ni miaka minne sasa the should have recovered na project kuendelea smoothly?!
 

Hii ni hatari!!! Ni wazi tunafuga bomu la wimbi wa matukio ya kigaidi!! Kama alitoka huko kambini na kilipua nhu jirani, tunauhakika gani hatotumwa mwingine kwenye miji yetu na kulipua?? Usalama wa taifa wako wapi kushughulikia na kudhibiti hili?!? Huo uraia wanapewa wa nini?!?! Kwani watanzania hatutoshi tayari mpaka tuongeze "watanzania" wakisomali-kigaidi?
 
Wacha Kuishi kwa Tetesi na hofu... Hili ni Tatizo kubwa la Mashabiki wa Yanga, Arsenal na Taifa Stars Game ikianza hadi Inaisha Kujamba jamba tu Mtapatwa na magonjwa ya Moyo na Kuweweseka....

Duduwasha you sound like mtanzania mwenye asili ya kisomali!!
 
Unazungumziaje impact ya mtikisiko wa uchumi wa dunia wa mwaka 2008 maana wamiliki ndio hao wenye hisa ughaibuni. Au ndio kusema ni miaka minne sasa the should have recovered na project kuendelea smoothly?!

Mkuu Menyous, wasomali tunaowajua hawafanyi biashara ambazo ni legal hata siku moja.
Hiyo ya Sock Exchange za ulaya na mabenki ya huko ni cover tu ya yale wanayodhamiria kufanya.

Kuna mtindo wao wa kuhamisha pesa unaoitwa "hawala" ambao ni wa kuaminiana tu lakini ni very effective.
Mradi unaoongelewa hapa wa huko Ununio ulianza na spidi kubwa sana, lakini kwa miaka ya karibuni baada ya wasomali kuminywa bahari kuu mradi umedoda, na mpaka sasa sijaona mkaazi hapo mahala zaidi ya site kusuasua.

Kuhusu uraia wa hawa wenzetu wsomali hapa nchini, naamini vyombo husika vimeliona na kushughulikia suala hili.

Hatustaajabu sasa kuwa wahramia wengi sana wankamatwa kila kukicha tofauti na siku zilizopita.Na si kwamba zamani walikuwa hawapiti nchini au kukaa lakini naona vyombo vimefungua macho zaidi.
Tutakiane heri tu nchi yetu ya amani.
 
Last edited by a moderator:
Watu humu ni full of BS or sijui ni ignorants tuu,nani kawaambia wasomali wote ni maharamia au pesa zao source ni uharamia?nyie endeleeni kuchapa usingizi tuu wenzenu wakiendelea na biashara mnaanza kuwa define na majungu yenu na hadithi zenu za kusadikika,FYI wasomali na matatizo yao in politics zao za nyumbani kwao lakini please give these guys some credits business wanaziweza na sio huko tuu hata States wanaongoza kwa kufanya business na wameshajenga malls mpaka factories na wasomali wengi wamejiajiri wenyewe...hawa ni real hustlers hawajalala kama nyie mliozoea mwisho wa mwezi,study na kuangalia wanavyo make money acheni majungu mtakufa wote mafukara
 

Mkuu inelekea una akili isiyo ya kawaida, fanya mpango basi hao wasomali wa marekani watumegee mikopo.
Sisi wasomali tunaowafahamu ni wale wanaokimbia majeshi ya Kenya na AMISOM wakikimbia kwao kutwa kuchwa ndani ya makontena.

Juzi juzi karibia wasomali 50 wamekufa na maiti kutekelezwa porini, hao waalikeni huko marekani.

Kuwa mzalendo walete wasomali wenye bulungutu!
 
View attachment 81415

Mkuu huo mradi unasua sua miaka sasa, kwa uhakika mradi wa real estate kusua sua ni dalili ya kukosa funding ya uhakika.
 
nani sasa akae kimya mtoa mada au wachangiaji?
kwani linalojadiliwa hapa halina maana?
au wamegusa eneo lako la muhimu?#
QUOTE=kim jong ii;5591767]Nonsense bora ukae Kimya.[/QUOTE]
 
Zamani nilikuwa namsikia mzee wangu baada ya kutoa ushauri, angalizo au onyo, alizoea kusema " Mimi yangu macho" au "asiyesikia la mkuu.."
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…