Nahitaji bidhaa hizi hapa za chakula

Nahitaji bidhaa hizi hapa za chakula

The Eric

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2019
Posts
6,618
Reaction score
11,381
Kwemaa! Kuna anayeweza nipatia
Mafuta ya kula kwa bei nafuu au kama anaweza niuzia alizeti, ufuta toka shambani...
Au Kiwanda chochote nachoweza pata mafuta mazuri niuze jumla na rejareja....

Sukari lakini najua hii ni bei constant... Na kuna kiwanda nilipo TPC sugarcane... Hapa 1 kg ni 2500 Ila mi nikinunua kwa tpc itakuwa vizuri...

Mchele wa mbeya bei nafuu

Maharage ya njano....

Mi nipo Moshi ukiwa jaribu nitafurahi... Nicheki whatsup 255 678 502 276 au reply hii thread hapa.
 
Back
Top Bottom