Maharage Chande, MD mpya TANESCO ni nani?

Kabisa mkuu
Madeni sio underperformance,unaweza kopa kwa ajili ya CAPEX,mimi nachokumbuka miaka yote ya Kikwete umeme ulikuwa shida sana,hali imekuja kuwa nafuu kipindi cha Magufuli,nakumbuka kampeni ya 2015kukatika kwa umeme ilikuwa ni hoja ya kampeni
 
Ni kweli nimetoa tatizo

Kwenye hiyo teuzi umeona kuna mtaalamu

yeyote wa mambo ya umeme?

Tanesco ana mshindani gani kibiashara?

Wamefanya kipi "tangible" nionyeshe?

Tuache unaaa kwenye mambo ya Msingi!

Shukrani
Nyie ndio watu mnaofanya mashirika yetu ya kibiashara yashindwe kujiendesha kibiashara!!

Unakuta Engineer aliyekuwa Wizara ya Uchukuzi anateuliwa kuwa Mkurugenzi wa TPA wakati katika background yake hajawahi kuongoza taasisi yoyote ya kibiashara halafu unamtarajia awe commercial oriented.

Huyo jamaa unaona CV yake inaonesha amesomea Electronics na masuala ya biashara! On top of that, ana uzoefu mkubwa wa kuongoza taasisi binafsi za kibiashara!!!

Hizi taasisi binafsi za kibiashara zinawajenga watu into a corporate culture! That being said, jambo la kwanza kabisa, kutokana na huo uzoefu wake wa kazi, atakuwa analeta corporate culture pale TANESCO!!

Lack of corporate culture ndiyo inaangamiza taasisi zetu kwa sababu zinakuwa less commercial and customers oriented.

Hakuna mtu aliye mzoefu na corporate culture anaweza kuvumilia ujinga unaoendelea TANESCO, kwa sababu hawa watu "wamekulia" mazingira yanayojali biashara, na wanajua hakuna biashara pasipo na mteja!!

Nilikosoa hapa uteuzi wa Ladislau Matindi, CEO wa ATCL ambae na mwenyewe pamoja na kuwa na elimu mzuri, na uzoefu mkubwa wa kazi, lakini CV yake haioneshi kama ameshawahi kuongoza taasisi ya kibiashara, angalau at departmental level!!

Matokeo yake, leo hii ndege za ATCL zinatoka muda wanaojisikia wenyewe, na wanaweza ku-cancel safari muda wowote randomly... WHY?! Kwa sababu hata huyo CEO wao hajawahi kuona umuhimu au uzoefu wa namna gani mteja anatakiwa kuhudumiwa!

Hajawahi hata kufokewa na mjinga mjinga mmoja hivi, kisa tu ni mteja!! Hajawahi kusurubiwa na bosi wake kwa sababu tu kuna mjinga mjinga mmoja kapiga simu directly kwa bosi kumlalamikia mteja!

Na uzuri wa huu uteuzi ni pale Omar Issa alipoteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi, kwa sababu, kama ilivyo kwa Maharage, Omar Issa nae ana uzoefu mkubwa kwenye corporate culture!!

Hawa Wenyeviti wa Bodi wanakuwa vikwazo sana vya mabadiliko hususani unapoweka watu ambao sio business minded.

From Investopedia, What Is Corporate Culture?

Corporate culture refers to the beliefs and behaviors that determine how a company's employees and management interact and handle outside business transactions. Often, corporate culture is implied, not expressly defined, and develops organically over time from the cumulative traits of the people the company hires.

A company's culture will be reflected in its dress code, business hours, office setup, employee benefits, turnover, hiring decisions, treatment of clients, client satisfaction, and every other aspect of operations.
 
Mtu wa Multi Choice ana uhusiano gani na umeme, anajua nini kuhusu Tanesco ? Au manager yoyote tu anaweza rushwa Tanesco? Tusubirie tu mikataba mingine ya ajabu ajabu.
Acha kukarir wewe hiyo ni managerial post siyo lazima awe anatokea kwenye umeme.
Tanesco ina mameneger wengi hao ndio watu wa operations!
Mmekaririshwa vibaya na lile nyapara LENU lilopita!
 
Madeni sio underperformance,unaweza kopa kwa ajili ya CAPEX,mimi nachokumbuka miaka yote ya Kikwete umeme ulikuwa shida sana,hali imekuja kuwa nafuu kipindi cha Magufuli,nakumbuka kampeni ya 2015kukatika kwa umeme ilikuwa ni hoja ya kampeni
Watu mnaangalia matawi badala ya shina!

Mmesahau hapo zamani tulikuwa tunategemea sana umeme wa maji, na mvua zikigoma, ndo tunaanza kutafutana!!!

Mnachosahau ni kwamba, Gesi ya Mtwara (ya Itatoka, au haitoki) ndiyo imeleta msaada mkubwa sana kwa sababu, kama kumbukumbu zangu zipo sawa, ile gesi inazalisha at least 400MW, na zote hizo zimeingizwa grid ya taifa!!

Kama si ile gas, bado tatizo lingekuwa pale pale kwa sababu, inawezekana utendaji ungeboreka, lakini tungetoa wapi umeme wakati wa ukame?

Tatizo kubwa kwa sasa sio uhaba wa umeme (ingawaje bado pia hautoshi kivile) bali uchakavu wa miundombinu!!!

Ni kutokana na hili ndo maana usishangae ukisikia mahali kama Bunju kukawa na umeme lakini Kinondoni hamna kwa sababu tu, Bunju ni mji mpya, na kwahiyo miundombinu yake bado haijachakaa wakati Kinondoni ni mji wa zamani na miundombinu yake ni ya zamani!

Mtu mwingine ambae tunamsahau sana kumpa credit zake ni Sospeter Muhongo lakini ni huyu mwamba ndie alianza kuweka mambo sawa!!!
 
Watu mnaangalia matawi badala ya shina!

Mmesahau hapo zamani tulikuwa tunategemea sana umeme wa maji, na mvua zikigoma, ndo tunaanza kutafutana!!!

Mnachosahau ni kwamba, Gesi ya Mtwara (ya Itatoka, au haitoki) ndiyo imeleta msaada mkubwa sana kwa sababu, kama kumbukumbu zangu zipo sawa, ile gesi inazalisha at least 400MW, na zote hizo zimeingizwa grid ya taifa!!

Kama si ile gas, bado tatizo lingekuwa pale pale kwa sababu, inawezekana utendaji ungeboreka, lakini tungetoa wapi umeme wakati wa ukame?

Tatizo kubwa kwa sasa sio uhaba wa umeme (ingawaje bado pia hautoshi kivile) bali uchakavu wa miundombinu!!! Ni kutokana na hili ndo maana usishangae ukisikia mahali kama Bunju kukawa na umeme lakini Kinondoni hamna kwa sababu tu, Bunju ni mji mpya, na kwahiyo miundombinu yake bado haijachakaa wakati Kinondoni ni mji wa zamani na miundombinu yake ni ya zamani!

Nakubaliana na wewe sana,nilikuwa namjibu huyo aliyetaka kuonyesha madeni makubwa ni underperformance
 
Ukisoma CV ya Maharage Chande utagundua kabisa hilo jina limetoka msoga. Hata mzee Omari Issa na bodi nzima ni uteuzi kutoka msoga..
Screenshot_20210926-090708_LinkedIn.jpg
 
Watu mnaangalia matawi badala ya shina!

Mmesahau hapo zamani tulikuwa tunategemea sana umeme wa maji, na mvua zikigoma, ndo tunaanza kutafutana!!!

Mnachosahau ni kwamba, Gesi ya Mtwara (ya Itatoka, au haitoki) ndiyo imeleta msaada mkubwa sana kwa sababu, kama kumbukumbu zangu zipo sawa, ile gesi inazalisha at least 400MW, na zote hizo zimeingizwa grid ya taifa!!

Kama si ile gas, bado tatizo lingekuwa pale pale kwa sababu, inawezekana utendaji ungeboreka, lakini tungetoa wapi umeme wakati wa ukame?

Tatizo kubwa kwa sasa sio uhaba wa umeme (ingawaje bado pia hautoshi kivile) bali uchakavu wa miundombinu!!! Ni kutokana na hili ndo maana usishangae ukisikia mahali kama Bunju kukawa na umeme lakini Kinondoni hamna kwa sababu tu, Bunju ni mji mpya, na kwahiyo miundombinu yake bado haijachakaa wakati Kinondoni ni mji wa zamani na miundombinu yake ni ya zamani!

Mtu mwingine ambae tunamsahau sana kumpa credit zake ni Sospeter Muhongo lakini ni huyu mwamba ndie alianza kuweka mambo sawa!!!
Mungu akubariki.....niishie kusema hivyo tu
 
Nyie ndio watu mnaofanya mashirika yetu ya kibiashara yashindwe kujiendesha kibiashara!!

Unakuta Engineer aliyekuwa Wizara ya Uchukuzi anateuliwa kuwa Mkurugenzi wa TPA wakati katika background yake hajawahi kuongoza taasisi yoyote ya kibiashara halafu unamtarajia awe commercial oriented.

Huyo jamaa unaona CV yake inaonesha amesomea Electronics na masuala ya biashara! On top of that, ana uzoefu mkubwa wa kuongoza taasisi binafsi za kibiashara!!!

Hizi taasisi binafsi za kibiashara zinawajenga watu into a corporate culture! That being said, jambo la kwanza kabisa, kutokana na huo uzoefu wake wa kazi, atakuwa analeta corporate culture pale TANESCO!!

Lack of corporate culture ndiyo inaangamiza taasisi zetu kwa sababu zinakuwa less commercial and customers oriented.

Hakuna mtu aliye mzoefu na corporate culture anaweza kuvumilia ujinga unaoendelea TANESCO, kwa sababu hawa watu "wamekulia" mazingira yanayojali biashara, na wanajua hakuna biashara pasipo na mteja!!

Nilikosoa hapa uteuzi wa Ladislau Matindi, CEO wa ATCL ambae na mwenyewe pamoja na kuwa na elimu mzuri, na uzoefu mkubwa wa kazi, lakini CV yake haioneshi kama ameshawahi kuongoza taasisi ya kibiashara, angalau at departmental level!!

Matokeo yake, leo hii ndege za ATCL zinatoka muda wanaojisikia wenyewe, na wanaweza ku-cancel safari muda wowote randomly... WHY?! Kwa sababu hata huyo CEO wao hajawahi kuona umuhimu au uzoefu wa namna gani mteja anatakiwa kuhudumiwa!

Hajawahi hata kufokewa na mjinga mjinga mmoja hivi, kisa tu ni mteja!! Hajawahi kusurubiwa na bosi wake kwa sababu tu kuna mjinga mjinga mmoja kapiga simu directly kwa bosi kumlalamikia mteja!

Na uzuri wa huu uteuzi ni pale Omar Issa alipoteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi, kwa sababu, kama ilivyo kwa Maharage, Omar Issa nae ana uzoefu mkubwa kwenye corporate culture!!

Hawa Wenyeviti wa Bodi wanakuwa vikwazo sana vya mabadiliko hususani unapoweka watu ambao sio business minded.

From Investopedia, What Is Corporate Culture?

Corporate culture refers to the beliefs and behaviors that determine how a company's employees and management interact and handle outside business transactions. Often, corporate culture is implied, not expressly defined, and develops organically over time from the cumulative traits of the people the company hires.

A company's culture will be reflected in its dress code, business hours, office setup, employee benefits, turnover, hiring decisions, treatment of clients, client satisfaction, and every other aspect of operations.
You nailed it bro!!!

The guy is a gentleman... Alikuwa mbele yangu kwa vidato. But he is alright.

Seriously customer satisfaction huwa haipo kwenye public services... Theseare right people to head those entities...
 
Mtu wa Multi Choice ana uhusiano gani na umeme, anajua nini kuhusu Tanesco ? Au manager yoyote tu anaweza rushwa Tanesco? Tusubirie tu mikataba mingine ya ajabu ajabu.
Kwa taarifa yako private sector hakuna business as usual,ni smart kupita maelezo, hatua hiyo ni nzuri kwani weledi ndio nyumbani kwake, sii ule weledi maslahi kama ule wa wabambikiaji na wazuia wanaodai katiba mpya.
 
Mimi mama namuunga mkono 100% kuifumua tanesco , wateuliwa wa jpm walikuwa nakiburi mno , kazi ilikuwa nikumsifia rais na kusema uongo. Eti kuunganishiwa umeme 27000/= 🤣🤣 tena huyo karemanii alichereweshwa.
 
Naunga mkono hoja...! Angalia
Nyie ndio watu mnaofanya mashirika yetu ya kibiashara yashindwe kujiendesha kibiashara!!

Unakuta Engineer aliyekuwa Wizara ya Uchukuzi anateuliwa kuwa Mkurugenzi wa TPA wakati katika background yake hajawahi kuongoza taasisi yoyote ya kibiashara halafu unamtarajia awe commercial oriented.

Huyo jamaa unaona CV yake inaonesha amesomea Electronics na masuala ya biashara! On top of that, ana uzoefu mkubwa wa kuongoza taasisi binafsi za kibiashara!!!

Hizi taasisi binafsi za kibiashara zinawajenga watu into a corporate culture! That being said, jambo la kwanza kabisa, kutokana na huo uzoefu wake wa kazi, atakuwa analeta corporate culture pale TANESCO!!

Lack of corporate culture ndiyo inaangamiza taasisi zetu kwa sababu zinakuwa less commercial and customers oriented.

Hakuna mtu aliye mzoefu na corporate culture anaweza kuvumilia ujinga unaoendelea TANESCO, kwa sababu hawa watu "wamekulia" mazingira yanayojali biashara, na wanajua hakuna biashara pasipo na mteja!!

Nilikosoa hapa uteuzi wa Ladislau Matindi, CEO wa ATCL ambae na mwenyewe pamoja na kuwa na elimu mzuri, na uzoefu mkubwa wa kazi, lakini CV yake haioneshi kama ameshawahi kuongoza taasisi ya kibiashara, angalau at departmental level!!

Matokeo yake, leo hii ndege za ATCL zinatoka muda wanaojisikia wenyewe, na wanaweza ku-cancel safari muda wowote randomly... WHY?! Kwa sababu hata huyo CEO wao hajawahi kuona umuhimu au uzoefu wa namna gani mteja anatakiwa kuhudumiwa!

Hajawahi hata kufokewa na mjinga mjinga mmoja hivi, kisa tu ni mteja!! Hajawahi kusurubiwa na bosi wake kwa sababu tu kuna mjinga mjinga mmoja kapiga simu directly kwa bosi kumlalamikia mteja!

Na uzuri wa huu uteuzi ni pale Omar Issa alipoteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi, kwa sababu, kama ilivyo kwa Maharage, Omar Issa nae ana uzoefu mkubwa kwenye corporate culture!!

Hawa Wenyeviti wa Bodi wanakuwa vikwazo sana vya mabadiliko hususani unapoweka watu ambao sio business minded.

From Investopedia, What Is Corporate Culture?

Corporate culture refers to the beliefs and behaviors that determine how a company's employees and management interact and handle outside business transactions. Often, corporate culture is implied, not expressly defined, and develops organically over time from the cumulative traits of the people the company hires.

A company's culture will be reflected in its dress code, business hours, office setup, employee benefits, turnover, hiring decisions, treatment of clients, client satisfaction, and every other aspect of operations.
Bord ya tume ya madini chini ya pr. I kikula, inamuogopa mpaka RMO , hapo unategemea nini???
 
Back
Top Bottom