Maharage Chande, MD mpya TANESCO ni nani?

Naomba kujua uhusiano wake na kampuninya IT ya Softnet
Huyu hapa:

MAHARAGE CHANDE ni nani:
Akiwa katika nafasi ya kuaminiwa ya kiuongozi ,ni mbobezi katika kuleta mabadiliko chanya na kuleta mguso anapojiunga na kampuni yoyote.

Kiongozi yoyote anapojiunga katika kampuni mpya kazi yake kubwa ni kubadilisha muelekeo wa taasisi au kampuni kufanya vizuri zaidi na kuingiza tamaduni mpya wa jinsi ya utendaji kazi kwa wafanyakazi waliopo na pia wateja wao kunufaika na ujio wa uongozi Mpya kwa kupokea huduma bora, ya bei nafuu pia waliowekeza hisa kuona ktk kampuni kuona hisa zao zikiongezeka thamani na mwisho wa mwaka wa pesa kupata gawio jingi zaidi ya miaka iliyopita.

Maharage Chande – Regional Director for East Africa/ Regional Director for West Africa

Career path since 2010:
Maharage Chande, is MultiChoice Regional Director for East and in an acting capacity for West Region. At the same time, Maharage will continue to look after Tanzania.
According to de Villiers: “Maharage joined MultiChoice Tanzania in June 2016 as MD and has been hugely successful in driving the massive growth that business has experienced”. On his side, Maharage said he has received the appointment wholeheartedly and that without doubt it is the results of a people-focused leadership and meticulous execution of set strategic initiatives by all MultiChoice Tanzania staff members. “I believe that I can use the Tanzanian success story to further enhance our business growth in the regions,” he added.
Before joining MultiChoice Tanzania in 2016, Maharage who has extensively worked in Banking and Telecoms industries, worked at Vodacom Tanzania as Managing Executive of IT and Data from 2004 to 2010, National Bank of Commerce (NBC) as Chief Operating Officer from 2010 to 2014 then moved to the President’s Office as the Director of Corporate Services in the President’s Delivery Bureau from 2014 to 2016.
“We are excited to welcome the senior executives on board. It is our hope that their wealth of experience will complement MultiChoice Africa’s current focus on customer satisfaction and market growth,” concludes de Villiers. Source : Maharage Chande to head Multichoice in East, West Africa as Stephen Isaboke takes up new role | aptantech

Toka maktaba 2017

Maharage Chande aonesha mbinu za kibiashara ndani ya changamoto nyingi. Changamoto ni fursa!

Tutegemee "vifurishi rafiki vya umeme na vyuma kuachia" kama ilivyokuwa Multi Choice DStv

Toka maktaba 2017

Mbinu Mpya ya Kuwa Na Wateja Marafiki-Endelevu ya DStv Multi Choice

‘Vyuma vimeachia’. alieleza Maharage Chande.

Maharage Chande amesisitiza kuwa Multichoice itaendelea kuwasikiliza wateja wake na kuhakikisha kuwa inatekeleza kile wanachohitaji wateja wake pale inapowezekana. “Wateja wetu walituomba tuongeze maudhui ya kitanzania kwenye king’amuzi chetu, tukawasikia, tukaweka chanel maalum kabisa ya Maisha Magic Bongo ambayo ina asilimia 100 ya maudhui ya Kitanzania; wakatuomba tupunguze bei ya vifurushi, tukafanya hivyo mwishoni mwa mwaka jana, na leo tena kwa mara ya pili tumepunguza bei, wakatuomba tuongeze chanel kwenye vifurushi vya bei ndogo, tukafanya hivyo, tukaleta Laliga na Ligi kuu ya uingereza hadi kwenye kifurushi cha chini kabisa cha Bomba”. “Kipekee kabisa Wananchi kupitia serikali wakatuomba tuongeze nguvu kwenye kuinua vipaji vya vijana wetu wa kitanzania, tukasikia, tukaitikia, tukaanza katika riadha ambapo tumemdhamini mwanariadha wetu Alphonce Simbu. Sote tunajua matokeo yake, sasa Tanzania inahofiwa kwenye ulingo wa riadha kimataifa! Haya yote tumefanya kwa sababu tunawasikiliza wateja wetu, tunawasikiliza wadau wetu, tunawasikiliza Watanzania” alisema Maharage.
 
😍
 
Waziri January aliagiza TANESCO wabuni na kuweka mfumo wa TEHAMA kutambua hitilafu ya umeme popote pale wakaenda kurekebisha kabla ya wateja kuwapigia simu. Yawezekana uteuzi wa Maharage unalenga huko
😍
 
Tunaomba kwa wenye taarifa kamili juu ya CV ya huyu Kijana ambaye miaka ya 2009 aliwahi lalamikiwa hapa Jamii Forum.

Je ni maandalizi ya kutafuta timu ya kuchakachua matokeo 2025?

Je ni kweli huyu Jamaa anauhusiano na Softnet technologies ?

Je nini hasa sababu ya mabadiriko haya tanesco.
Awamu ya nne tulikuwa na Chande usalama wa Taifa na Chande mwingine Jaji Mkuu nafikiri huyu ni mtoto wa viuno vyao

Sent from my TECNO P704a using JamiiForums mobile app
 
Na jinsi ya kulipia waondoe mambo ya token,kiasi na namba ya mita basi,iwe kama king'amuzi tu.
 
Mtu wa Multi Choice ana uhusiano gani na umeme, anajua nini kuhusu Tanesco ? Au manager yoyote tu anaweza rushwa Tanesco? Tusubirie tu mikataba mingine ya ajabu ajabu.
Mpaka hapo tutakapokuwa na utaratibu wa kuwawajibisha hawa watu (kupitia kwenye katiba ya wananchi), magenge haya yataendelea kuwasumbua sana waTanzania. Kila kiongozi anaposhika madaraka, hata kama hakuchaguliwa na wananchi kama huyu wa sasa, anasuka genge lake la kuikamua Tanzania!
Wakijua kwamba kuna utaratibu wa kuwatapisha wanayojinufaisha wenyewe wakati wa uhalifu wao wakiwa viongozi, wataanza kusita kujiteua ili wajinufaishe wenyewe.
 
Tunaomba kwa wenye taarifa kamili juu ya CV ya huyu Kijana ambaye miaka ya 2009 aliwahi lalamikiwa hapa Jamii Forum.

Je ni maandalizi ya kutafuta timu ya kuchakachua matokeo 2025?

Je ni kweli huyu Jamaa anauhusiano na Softnet technologies ?

Je nini hasa sababu ya mabadiriko haya tanesco.
Nchi inaendeshwaa na waswahili swahili wazee wa alkasusiii...tutaona mengi...tutarudi nyuma hatua 20..
 
Mr Beans aka ndondo

Vodacom Mwamvita

Jamaa yuko smart sana kichwani

Tatizo hiyo board....

Balozi Mwanaidi Maajar

Kila siku watu hawa hawa...

Hakuna watu wengine
Tayari mara hii hata kabla hajaanza kazi ushamtafutia visingizio? "Tatizo hiyo board"!
 
Ni kweli nimetoa tatizo

Kwenye hiyo teuzi umeona kuna mtaalamu

yeyote wa mambo ya umeme?

Tanesco ana mshindani gani kibiashara?

Wamefanya kipi "tangible" nionyeshe?

Tuache unaaa kwenye mambo ya Msingi!

Shukrani
 
Maharage chande hana nasaba zozote na kina chande wanaotajwa wa awamu ya nne na ya tano. Binafsi namfahamu ni mtu yuko very objective, modern and result oriented. Ukiwa mvivu huwezi kufanya kazi chini ya maharage naunga mkono uteuzi wake sababu najua akienda na spirit aliyonayo mwenyewe ya ku achieve beyond targets itasaidia kuondoa utendaji wa mazoea wa Tanesco.

Alijaribu mzee Idrisa Rashid kuitrasnform tanesco lakini alikwama kutokana na wazee aliowakuta Tanesco yaani hata vijana tanesco wanautendaji kama wa wazee very slow, hawatendi mpaka wapate kitu kidogo.

Nadhani ana direct connection na mambo ya IT yaliyofanyika 2015 kwenye uchaguzi chini ya uratibu wa Januzaj. Kwa wengine wasio na macho watu wengine wanachaguliwa ili kuweka logistics sawa uchaguzi ujao 2025.
 
Back
Top Bottom