Maharage Chande, MD mpya TANESCO ni nani?

Ni kweli nimetoa tatizo

Kwenye hiyo teuzi umeona kuna mtaalamu

yeyote wa mambo ya umeme?

Tanesco ana mshindani gani kibiashara?

Wamefanya kipi "tangible" nionyeshe?

Tuache unaaa kwenye mambo ya Msingi!

Shukrani
Mbona unajipoteza mwenyewe mkuu.

Unasema "Tatizo Board", katika yote uliyolalamikia hapa sioni "Board" mahala popote!

Ukitaka tujadili kipengele kwa kipengele kwa hayo uliyoweka tutajadili hata bila kugusa "Board".
 
Kalamu1

Ina maana Kwamba hujaona pdf ya uteuzi wa

board member wapya?

Tizama halafu rudi hapa...

Shukrani
 
Maharage chande hana nasaba zozote na kina chande wanaotajwa wa awamu ya nne na ya tano. Binafsi namfahamu ni mtu yuko very objective, modern and result oriented. Ukiwa mvivu huwezi kufanya kazi chini ya maharage naunga mkono uteuzi wake sababu najua akienda na spirit aliyonayo mwenyewe ya ku achieve beyond targets itasaidia kuondoa utendaji wa mazoea wa Tanesco.

Alijaribu mzee Idrisa Rashid kuitrasnform tanesco lakini alikwama kutokana na wazee aliowakuta Tanesco yaani hata vijana tanesco wanautendaji kama wa wazee very slow, hawatendi mpaka wapate kitu kidogo.

Nadhani ana direct connection na mambo ya IT yaliyofanyika 2015 kwenye uchaguzi chini ya uratibu wa Januzaj. Kwa wengine wasio na macho watu wengine wanachaguliwa ili kuweka logistics sawa uchaguzi ujao 2025.
Una kitu kinaitwa "insight' mkuu 'Moo'!

Lakini umenikumbusha Idrissa Rashid wa Tanesco enzi zile..., wewe unasema alitaka kui'transform' Tanesco? Kweli?
 
Hapana sijaona, lakini kutoona kwangu bado hakuondoi uhalali wa niliyoandika pale juu mkuu wangu 'zacha'.

Bila shaka walioteua hiyo 'board', sio watu tofauti sana na waliomteua Mkurugenzi, sasa litakuwa jambo la kusikitisha sana kama timu inayowekwa pamoja iwe na ukinzano kati yake, tena mwanzoni kabisa. Sijui itakuwa na maana gani ya kuiweka timu ya aina hiyo kazini!
 
Una kitu kinaitwa "insight' mkuu 'Moo'!

Lakini umenikumbusha Idrissa Rashid wa Tanesco enzi zile..., wewe unasema alitaka kui'transform' Tanesco? Kweli?
Maajabu ya haya yapo Bongo tuu wasomi kwenye presentation na everyday talk wako very progressive lakini wakipewa nafasi mawazo yote yanabaki kwenye makabrasha. Hakuna mtu ukimsikiliza yuko vizuri kama Dr Idrisa lakini Tanesco alishindwa mfumo aliokuta ulimmeza.

Angalia Dada yetu Dr Kilama alipokuwa Repoa or Esrf na ripoti zake lakini sasa hivi yuko jikoni kwa queen zinaibuka tozo, gharama za kila kitu zinapanda, Tofauti na alichokuwa akipresent.
 
Kwa ufupi tu...

Msoga gang is back with a bang/

Mwenyekiti mpya wa bodi Tanesco - Omar Issa - alikuwa ndio CEO wa BigResultsNow
Mkurugenzi mpya wa Tanesco - Chande - alikuwa mmoja wa wakurugenzi BRN
Mjumbe mmoja wa bodi - Mafuru - alikuwa mmoja wa wakurugenzi BRN
Wajumbe wengine - Mchechu + Maajar ni mabest wa JK.

Kutesa kwa zamu, wenye vitu wajinyonge.
 
Mr Beans aka ndondo

Vodacom Mwamvita

Jamaa yuko smart sana kichwani

Tatizo hiyo board....

Balozi Mwanaidi Maajar

Kila siku watu hawa hawa...

Hakuna watu wengine
Mbona bodi iko diverse sana tu.

Kuna Mafuru + Mchechu. Nimemuona na Bakhresa mdogo
 
Kwa ufupi tu...

Msoga gang is back with a bang/

Mwenyekiti mpya wa bodi Tanesco - Omar Issa - alikuwa ndio CEO wa BigResultsNow
Mkurugenzi mpya wa Tanesco - Chande - alikuwa mmoja wa wakurugenzi BRN
Mjumbe mmoja wa bodi - Mafuru - alikuwa mmoja wa wakurugenzi BRN
Wajumbe wengine - Mchechu + Maajar ni mabest wa JK.

Kutesa kwa zamu, wenye vitu wajinyonge.
Unajua hii nchi ni Kama watu hawana akili. Issue sio kurudi watu wa JK,Mkapa au Magufuli. Issue kazi ifanyike Maendeleo yapatikane
Ila kwa namna hii kila siku tutarudi nyuma, kila mtu akiingia anaweka watu wake bila kujali wapo vizuri au vibaya
 
Hii Nchi hafuati Kanuni wala Taratibu za Utumishi wa Umma-wanafuata style ya Jiwe kuchukua watu mitaani na kuwaweka Serikalini hawajifunzi kutokana na makosa ya Jiwe.
Shida ipo kwenye katiba. Raisi anaruhusiwa kuteua mtu yoyote.
Hata kama hujawahi kuwa mtumishi wa umma, raisi anaweza kukuteua.
Hilo lilifanywa na maraisi wote
Mfano; JK alimteua Dr.Mataragio kuwa DG wa TPDC, kabla ya hapo Mataragio alikuwa kwenye kampuni binafsi tu tena nje ya nchi
Kwangu sioni shida sana ikiwa huyo Mtu atafanya vizuri
 
Unajua hii nchi ni Kama watu hawana akili. Issue sio kurudi watu wa JK,Mkapa au Magufuli. Issue kazi ifanyike Maendeleo yapatikane
Ila kwa namna hii kila siku tutarudi nyuma, kila mtu akiingia anaweka watu wake bila kujali wapo vizuri au vibaya
Watu wanaset tone ya mziki.... ndicho wanachowaza wananchi... je direction itakuwa ni ipi?
 
Maharage chande hana nasaba zozote na kina chande wanaotajwa wa awamu ya nne na ya tano. Binafsi namfahamu ni mtu yuko very objective, modern and result oriented. Ukiwa mvivu huwezi kufanya kazi chini ya maharage naunga mkono uteuzi wake sababu najua akienda na spirit aliyonayo mwenyewe ya ku achieve beyond targets itasaidia kuondoa utendaji wa mazoea wa Tanesco.

Alijaribu mzee Idrisa Rashid kuitrasnform tanesco lakini alikwama kutokana na wazee aliowakuta Tanesco yaani hata vijana tanesco wanautendaji kama wa wazee very slow, hawatendi mpaka wapate kitu kidogo.

Nadhani ana direct connection na mambo ya IT yaliyofanyika 2015 kwenye uchaguzi chini ya uratibu wa Januzaj. Kwa wengine wasio na macho watu wengine wanachaguliwa ili kuweka logistics sawa uchaguzi ujao 2025.
;

Sijui unatumia vigezo gani kusema Idrisa alishindwa..Una data?
Tanesco chini ya Idrisa ilikuwa very stable..
Huduma kwa haraka..deni chini ya bilioni 50
Now deni zaidi ya bilioni 300..
 
Maajabu ya haya yapo Bongo tuu wasomi kwenye presentation na everyday talk wako very progressive lakini wakipewa nafasi mawazo yote yanabaki kwenye makabrasha. Hakuna mtu ukimsikiliza yuko vizuri kama Dr Idrisa lakini Tanesco alishindwa mfumo aliokuta ulimmeza.

Angalia Dada yetu Dr Kilama alipokuwa Repoa or Esrf na ripoti zake lakini sasa hivi yuko jikoni kwa queen zinaibuka tozo, gharama za kila kitu zinapanda, Tofauti na alichokuwa akipresent.
Ninakubaliana nawe mkuu.

Sijawahi kukusoma humu hadi leo, lakini inanibidi niseme uko 'deep'.

Unafiki wetu haupo kwenye mambo ya siasa pekee, hii ni tabia ambayo imeenea sehemu zote ndani ya jamii yetu. Hili ni tatizo kubwa sana kwa taifa letu.
Hata kiongozi akiiba mali za taifa, utasikia kuna watu tena wenye akili timamu kabisa wakitetea uhalifu huo. Kiongozi akikiuka taratibu za uongozi, au hata sheria, hakosi kundi la watu watakaosifu ukiukwaji wa taratibu/sheria. Wataweka 'spin' wanazozielewa wao kuonyesha uhalali wa ukiukwaji wa taratibu/sheria, na mambo yanaendelea kana kwamba hakuna kilichoharibika.

Watu hawasimami wala hawajutii matokeo ya matendo yao. Huwezi kumsikia mtu kajiuzuru kwa sababu anajutia makosa yaliyotokea katika uongozi wake. Atakomaa tu kana kwamba hana wajibu wowote.
 
;

Sijui unatumia vigezo gani kusema Idrisa alishindwa..Una data?
Tanesco chini ya Idrisa ilikuwa very stable..
Huduma kwa haraka..deni chini ya bilioni 50
Now deni zaidi ya bilioni 300..
Madeni sio underperformance,unaweza kopa kwa ajili ya CAPEX,mimi nachokumbuka miaka yote ya Kikwete umeme ulikuwa shida sana,hali imekuja kuwa nafuu kipindi cha Magufuli,nakumbuka kampeni ya 2015kukatika kwa umeme ilikuwa ni hoja ya kampeni
 
Wakati wa Idrisa kulikuwa hakuna mgao..
Umeme ulikuwa very stable..
Matatizo yalikuwepo kabla yake na baada yake
 
Mkuu bagamoyo ,wewe ni mtu pekee ambaye hutuwekea taarifa kwa kina na huku ukiweka vyanzo pamoja na ku aknowledge vyanzo hivyo.
Kongole na Mungu akubariki sana.
Endelea vivyo hivyo.
Yeah, anajitofautisha na wale wakurupukaji ambao hawajui chochote lkn ni wa kwanza kukimbilia kucomment kihasi hasi tu kwenye kila jambo
 
Back
Top Bottom