Maharage Chande, MD mpya TANESCO ni nani?

Wakati wa Idrisa kulikuwa hakuna mgao..
Umeme ulikuwa very stable..
Matatizo yalikuwepo kabla yake na baada yake
Huyo Idrisa alikuwa DG wa tanesco kipindi gani, coz kama ni kipindi cha JK hakukuwa na umeme wa kueleweka.
 
Mimi mama namuunga mkono 100% kuifumua tanesco , wateuliwa wa jpm walikuwa nakiburi mno , kazi ilikuwa nikumsifia rais na kusema uongo. Eti kuunganishiwa umeme 27000/= tena huyo karemanii alichereweshwa.
Pamoja na yote, sisi wateja hatukuwa na karaha ya kukatika umeme ovyo. JPM pamoja na mapungufu yake alihakikisha tunapata umeme kwa uhakika, leo hii umeme umeanza kuwa tatizo.

Huyo Chande afanye mambo mawili, mawili tu;
1. Umeme wa uhakika
2. Gharama nafuu

Hayo mengine ni leadership levels ambayo sisi wa kawaida mtaani hayana tija kwetu.
 
Binafsi nampongeza na kumtakia kila la kheri Chande. Ni mmoja ya watu makini sana niliopata bahati ya kukutana nao
 
Na hawa nao watamsifia sana Suluhu kama Mungu, ila tofauti wanaweza wakapiga sana pesa na kazi isifanyike.. nawasiwasi hujuma kubwa zitafanyika kuua legacy ya bwawa la rufuji JNHP either kwa kufanya likose maji au kwa kukosa pesa za kumalizia.
Mimi mama namuunga mkono 100% kuifumua tanesco , wateuliwa wa jpm walikuwa nakiburi mno , kazi ilikuwa nikumsifia rais na kusema uongo. Eti kuunganishiwa umeme 27000/= tena huyo karemanii alichereweshwa.
 
Ataweza kupokea maelekezo toka juu?
You nailed it bro!!!

The guy is a gentleman... Alikuwa mbele yangu kwa vidato. But he is alright.

Seriously customer satisfaction huwa haipo kwenye public services... Theseare right people to head those entities...
 
Back
Top Bottom