Amini amini nawambieni!
Tangu shirika hili lianzishwe lilikuwa halijawahi kupata mkurugenzi mwenye akili kama MAHARAGE!
Siyo kwamba alikuwa bora asilimia 100% HAPANA! lakini kwa UBOVU wa shirika lenyewe angalau maharage amekuwa mkurugenzi wa kwanza kuliboresha kiutendaji japo kwa asilimia kadhaa ukiringanisha na watangulizi wake wote!
IFAHAMIKE kwamba kwa sera na siasa za kitanzania, MKURUGENZI anayo mipaka ya usimamizi katika shughuli zake,
Majukumu ya kuleta umeme wa uhakika kwa wananchi ni ya wizara na serikali nzima yapo inje kabisa ya uwezo wa mkurugenzi!
Mkurugenzi ni mshauri tu kwa serikali lakini hana maamuzi yoyote ya kupika inje ya bajeti!
mkurugenzi wa shirika ni sawa na mgawaji wa chakula JUKUMU lake ni kugawa kilichopo, kikiwa kingi mtapata wote kikiwa kidogo mtapata wachache na akiamriwa asigawe chakula mnakosa wote!
Hivyo kwa ubora wa mkurugenzi Maharage angalau alijitahidi japo kuboresha baadhi ya mambo yaliyo ndani yake!
MIONGONI MWA MAJUKUMU YA MKURUGENZI tanesco ni
Ni wajinga peke yao wanaoweza kuamini mkurugenzi huyu bora kabisa ametolewa pale kwa sababu kachangia uhaba wa umeme!
Uhaba wa umeme ni jambo la kiserikali (wizara) na huwa lina baraka za wakubwa!
Maharage chande atabakia kuwa ndiye mkurugenzi bora zaidi kuwahi kutokea tanesco.
Waliouza bandari ndiyo walewale wanaotuhadaa na maigizo ya panga pangua ya uongozi!
Magufuli alitoa maelekezo umeme usikatwe HAUKUKATWA, Wamekuja wale wanatoa maelekezo ukatwe NA UNAKATWA!
Hongereni TTCL kwa kuletewa jembe maharage chande, Pamoja na mapungufu madogo ya kibinadamu huyu jamaa ni mbunifu na msikivu!
MAOMBI; Kama mamlaka za uteuzi zinajali wananchi nashauri waangalie namna ya kumrudisha MAHARAGE TANESCO Hili shirika linahitaji kijana mwenye akili yake shirika lifanye kazi kama taasisi binafsi! Historia ya maharage inafiti sana;
Wana CCM wrnzangu mshaurini Rais Amrejeshe maharage pale TANESCO

- kusimamia watendaji wake kuhakikisha wanatoa huduma bora kwa nidhamu Kitu ambacho MAHARAGE kakitetendea haki kajitahidi mno ukiringanisha na huko nyuma
- Chini ya uongozi wa maharage shirika lilifikiwa mahali wananchi wana haki ya kulitathimini huu ni uungwana mkubwa sana kwa wenye hekima (Assesment)
- chini ya maharage aliweka lengo kufikia mwishoni mwa mwaka 2023/2024 Maombi yoyote ya umeme yahakikishwe yamefungwa ndani ya masaa 48hrs (nani huko nyuma aliweza haya)
- Katika uongozi wa maharage alipunguza hasara za uendeshaji wa shirika kwa kupunguza gharama zisizofaa za Ofisi za wilaya kuendelea kupanga majumba bali wakae kwenye ofisi zao wenyewe
- ndani ya uongozi wa maharage kapunguza gharama za mafuta kwa kuruhusu matumizi ya bajaji jambo ambalo liliwahi kupingwa huko nyuma na wakurugenzi wote!
- ndani ya uongozi wa maharage alipunguza gharama za stationary na kazi nyingi kuwa online (paperless)
- ndani ya uongozi wa maharage aliondoa umwinyi kwa watumishi wasiowaadirifu wanaweza kukwamisha maombi kwa hila binafsi.
- Maharage chande ndiye mkurugenzi pekee aliyeamini siyo lazima kila meneja tanesco (W) aendeshwe na dereva (Unneccesary cost za matumizi ya magari ambayo yangeweza kwenda fild kupunguza kero, Mameneja walistahili wapatiwe alawance pekee watumie magari yao kuja ofisini kuliko kupewa magari ambayo wakati mwingine wana ya abuse kufanyia kazi zao binafsi na kuzurula! N.K