Kibukuasili
JF-Expert Member
- May 15, 2010
- 1,054
- 617
Hapa hatuna ubishi.Kaazi kweli kweli...what do we know about our frame of references? Kila mtu ana namna yake anavyoyaangalia mambo ya ulimwengu huu. Hakuna formula ya jumla jumla.
yaani huu mwingiliano wa kacha unatupasua vichwa!!!
Huwezi elewa au eleza jambo usilolielewa.
Hii ni imported, period:
nunua jogoo na mchele mpike hapo nyumbali mle kwa raha zenu, soda zikipatikana ni anasa. Mwaweza tumia zile juisi/soda za unga unachanganya na maji, nimezisahau jina.
kama dada ni mstaarabu zinatosha sana.
plate mbili ni 20-30,000 na the rest vinywaji/desert.
we mwambie tu sehem nzuri ya kwenda.
dogo siku zote aliye rukwaa ukuta anashakia na wengine wameisha rukiwa....pole sana sikujua kama unagonjwa lisio tibika, nenda kawalishe ma gf kama unao na pia na wasi wasi watu kama wewe ni vigumu kuwa na gf, kama unaoa labda wale wa show off atleast uonekana na wewe dume angalau.
Wanaume wengine hupenda kujionyeshi wao wanaume...hizo show off zenu zina mwisho wake, kama una dada Im looking for a second wife, afu umulize kama niko kama unavyo sema atakupa jibu.
dogo ukijidai muhuni wa kutuukana hapa ujuwe nilisha maliza uhuni wote, itabdi utafute watu kumi wengine wakusaidie, au uombe msada kwa moderator mana hunitishi takuweka sawa tu :biggrin:
O-K, ujumbe umefika sa sijui hapo bongo nani siku hizi sio mwarabu, mana wanawake wote wana nywele za singa.Mwe kumbe hii thread bado ipo mnatoana mapovu!! mimi niko na baby wa kimanga tunamake things happen cheers!!
Posted by matola via Nokia kitochi.
Nimeipenda hii comment.......karibu mbavu zichomoke.
Good step, haya wasalimie.
hunipi shida, nshakufahamu we ni mtu wa aina gani!
unabonyeza pale pa 'reply with quote'
ili tuweze enda sambamba na wewe
Zinaitwa togwa...ntasahauje jina sababu nimehamia mjini wakati nimekulia kijijini?
Good step, haya wasalimie.
dogo wewe unadhani akili kula nje, kale nje na mimi naona kula nje sio akili, wewe kalishe gf afu akupige mateke wengine waje wajilie bila hata bila ya kumlisha nje.
Laizma uwe mkali mana ndo dalili zinaonyesha umezoea kuliwa pesa zako nje kila siku na unatoka kapa!
Kwanza kama wewe una akili kama unavyo dai utamlsiha mtu ambaye hana njaa!
Kama wewe una akili umewahi kumlsiha mama yako aliye kuzaa kwenye hoteli au restaurant za kifahari ? sidhani!
dogo nenda kajifunze nini mana ya kupenda, kupenda sio kumpeleka mwanamke kwenye mahoteli ya kifahari au kumlisha kwenye ma restaurant ya kifahari....kwanza huyo sio mke wako, pili huyo kama si mke wako vipi mwanamke anaheshima zake akubali kuepelekwa kulishwa, kwani yeye masikini na akawe sinema mbele za watu, wakati bado sio mke wako!
Kama umeowa sawa hatukatai ukimtoa wife out mara moja moja, lakini hujaoa na mwanamke hajaolewa huo ni ujinga na wala sio akili :biggrin:
wewe ni admin nn? Mbona kama unaonekana kutoa help....asante
Hapa mtu anaye kasirika huwa na muona ana matatizo, wewe usijali kabisa.:welcome: kwenye :A S new:Thread wakati mwingine ukiwa na mawazo mapya. Pole kama Umekwazika lakini lengo lilikuwa moja tu la kuwekana sawa!
Mrangi toka lini mimi na hasira.duh! Mahasira laki tisa. Sioni kama amekosea, waache wabadilishe menu na mazingira.