Mahakimu watoleana bastola kisa msichana Dodoma

Sawa Hakimu uliyeachwa tumekusikia.
 
Mapilato wakiwaza kwa vichwa vya chini
 
Kesi nani angeendesha maana sio kwa maswali hayo ya kimtego
 
Habarini wakuu

Nikiwa safarini jijini dodoma nilienda bar moja ipo eneo la makole, kuna meza walikua wamekaa mahakimu na binti mmoja....baada ya dakika chache alitoka binti mmoja nje na mwanaume mmoja kutoka kwenye meza hile wakawa wanaongea nje, then akatoka na mwanaume mwingine kwenda nje....gafla ilizuka vurumai na mmoja wa wanaume hao alitoa bastola na kusababisha bar nzima tukaanza kutafutana...

Dakika chache badae yule mwanamke aliondoka na mwanaume mmoja, na yule mwanaume mwingine aliyeshikiwa bastola alibaki huku akilalamika kuwa kashamgharamikia sana huyo demu...

Dada mwenye grocery badae palivyopoa ndio akatupa abc kuwa, hao ni mahakimu na walijikuta wote wanatembea na mwanamke mmoja, lakini badae hakimu mmoja alikua na uchumi zaidi ndio kumnunulia huyo binti brevis mpyaaa, na ndio ilipelekea huyo mwingine (mnyonge) kuwa na kinyongo..

My take:
Watumishi kuweni makini na maugomvi haswa kwenye mabaa huku mnatia aibu...sasa kwa tukio kama hili ambalo am sure lishamfikia mtendaji wa mahakama, mnaweza shangaa mnapigwa chini bure...
Ila nimegundua wagogo ni masikini ombaomba lakini wana wanawake wazuri mno wa kigogo. Yaani ukimpata mgogo unaweza haribu ndoa yako. Mabinti zao wanajua sana mapenzi na hata mbunye zao ni extreme sweetie!
 
Habarini wakuu

Nikiwa safarini jijini dodoma nilienda bar moja ipo eneo la makole, kuna meza walikua wamekaa mahakimu na binti mmoja....baada ya dakika chache alitoka binti mmoja nje na mwanaume mmoja kutoka kwenye meza hile wakawa wanaongea nje, then akatoka na mwanaume mwingine kwenda nje....gafla ilizuka vurumai na mmoja wa wanaume hao alitoa bastola na kusababisha bar nzima tukaanza kutafutana...

Dakika chache badae yule mwanamke aliondoka na mwanaume mmoja, na yule mwanaume mwingine aliyeshikiwa bastola alibaki huku akilalamika kuwa kashamgharamikia sana huyo demu...

Dada mwenye grocery badae palivyopoa ndio akatupa abc kuwa, hao ni mahakimu na walijikuta wote wanatembea na mwanamke mmoja, lakini badae hakimu mmoja alikua na uchumi zaidi ndio kumnunulia huyo binti brevis mpyaaa, na ndio ilipelekea huyo mwingine (mnyonge) kuwa na kinyongo..

My take:
Watumishi kuweni makini na maugomvi haswa kwenye mabaa huku mnatia aibu...sasa kwa tukio kama hili ambalo am sure lishamfikia mtendaji wa mahakama, mnaweza shangaa mnapigwa chini bure...
Wamalize tofauti zao.Wale kitu kizuri kwa pamoja
 
Gunia la mkaa hapo Dom bei gani?
 
Demiss hakuwepo kweli eneo Hilo?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom