Mahakimu watoleana bastola kisa msichana Dodoma

Mahakimu watoleana bastola kisa msichana Dodoma

Bila shaka huyo dada alikua kavaa wigi au kashonea weaving....

Bila shaka huyo dada alikua kabost maziwa,

Mwisho.
 
acha umbeaaa mkuu, sio kila unalo liona bar unakuja kutuadisia huku.huo ni umbea ya bar ya acheee bar
 
Ngoja wapigane risasi ndio utajua serikali haifukuzi au inafukuza Hakimu,acha story mkuu!
Serikali haifukuzi hakimu

Baraza la maadili ya majaji ndio wana uwezo huo.

Mahakama bunge na serikali ni mihimili mitatu tofauti
 
Tuma Majina kwa siri serikal ya Dr haina mchezo na uwozo huu.
Dr. wako mwenyewe alishayapitia hayo. Ulizia Dodoma hotel about 8 years ago. Mhagama shaidi na mhusika alikuwa madini. Ni enzi zile hatuna udaku ingekuwa sasa hivi mhuuu.
 
Tuma Majina kwa siri serikal ya Dr haina mchezo na uwozo huu.
Hio serikali ya Dr. imemchukulia hatua gani ole Sabaya kwa kuchukua mil. 10 za mfanyabiashara kwa nguvu?

Ilimchukulia hatua gani makonda kwa kupitisha yale makontena pale bandarini?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom