MAHAKAMA YAZIMA MPANGO WA ACT- WAZALENDO KUPORA OFISI YA CUF KILWA

Boveta

JF-Expert Member
Joined
Jul 23, 2019
Posts
3,257
Reaction score
3,927
Code:
THE CIVIC UNITED FRONT(CUF- Chama Cha Wananchi)

MAHAKAMA YAZIMA MPANGO WA ACT- WAZALENDO KUPORA OFISI YA CUF KILWA:

CUF- Chama Cha Wananchi imepata ushindi kwenye Kesi iliyofunguliwa na ACT- Wazalendo ya kudai Ofisi ya CUF Wilaya ya Kilwa kwamba ni mali yao waliyopewa na Seleman Bungara (BWEGE).

Mahakama jana Julai 30,2025 imetupilia madai hayo (Madai Na. 10 ya 2024) na kuthibitisha kwamba Ofisi hiyo ni mali ya CUF- Chama Cha Wananchi kutokana na vielelezo vilivyowasilishwa mahakamani hapo na Wakili wa Chama hicho Mashaka Ngole. Mapema mwaka jana ACT -Wazalendo walivamia eneo la CUF- Chama Cha Wananchi na kuanza kujenga na kuandaa tukio la Uzinduzi wa Ujenzi huo haramu lililopangwa kuongozwa na Mhe. Othman Masoud Othman kwa kutumia Mamlaka yake kama Makamu wa Kwanza wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, mpango ambao ulizimwa vibaya na CUF- Chama Cha Wananchi na kupelekea wavamizi hao kukimbilia mahakamani.

HAKI SAWA NA FURAHA KWA WOTE!

Eng. Mohamed Ngulangwa
Mkurugenzi wa Habari, Uenezi na Mahusiano na Umma
CUF- Chama Cha Wananchi
Julai 30, 2025

HAKI SAWA NA FURAHA KWA WOTE!
 
Mbinu zilezile za CHAUMMA kuwatumia "Zii 55" kufungua kesi mahakamani kuzuia shughuli za CHADEMA huku wakinyemelea mali zao.
 
Mods futa hii nimeituma vibaya
 
Code:
THE CIVIC UNITED FRONT(CUF- Chama Cha Wananchi)

MAHAKAMA YAZIMA MPANGO WA ACT- WAZALENDO KUPORA OFISI YA CUF KILWA:

CUF- Chama Cha Wananchi imepata ushindi kwenye Kesi iliyofunguliwa na ACT- Wazalendo ya kudai Ofisi ya CUF Wilaya ya Kilwa kwamba ni mali yao waliyopewa na Seleman Bungara (BWEGE).

Mahakama jana Julai 30,2025 imetupilia madai hayo (Madai Na. 10 ya 2024) na kuthibitisha kwamba Ofisi hiyo ni mali ya CUF- Chama Cha Wananchi kutokana na vielelezo vilivyowasilishwa mahakamani hapo na Wakili wa Chama hicho Mashaka Ngole. Mapema mwaka jana ACT -Wazalendo walivamia eneo la CUF- Chama Cha Wananchi na kuanza kujenga na kuandaa tukio la Uzinduzi wa Ujenzi huo haramu lililopangwa kuongozwa na Mhe. Othman Masoud Othman kwa kutumia Mamlaka yake kama Makamu wa Kwanza wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, mpango ambao ulizimwa vibaya na CUF- Chama Cha Wananchi na kupelekea wavamizi hao kukimbilia mahakamani.

HAKI SAWA NA FURAHA KWA WOTE!

Eng. Mohamed Ngulangwa
Mkurugenzi wa Habari, Uenezi na Mahusiano na Umma
CUF- Chama Cha Wananchi
Julai 30, 2025

HAKI SAWA NA FURAHA KWA WOTE!
usishangilie, bado kuna court of appeal
 
Back
Top Bottom