Green Koryo
JF-Expert Member
- Jul 6, 2022
- 600
- 1,107
Duuu
Unajua banaPhilosophical jargons? Jitahidi kuacha kutafsiri kwanza vitu, elewa sana ujumbe kabla ya kujibu.
Fantasy gani? Maigizo gani na kwa faida ipi?
Uzinzi sio sawaKama ambavyo wewe unaishi katikati ya jamii inayotukuza uzinzi na kuona usaliti ni normal way of Life, ndivyo na Mimi naishi kwenye jamii inayolaani uzinzi na usaliti kwa kuamini ndilo anguko la mwanaAdamu.
Zinzi weweSijawahi ku cheat hata mara moja ndani ya hiyo miaka 14 ya Ndoa. Sio rahisi ila inawezekana na ninaendelea kuweza Alhamdulillah.
Mbona hujamuacha?Why nitake kuona upande uliojeruhiwa wa Mume wangu? Kwanini kwanza nimjeruhi? Kosa lake ni kuniamini na kunichagua kuwa mkewe?
Blah blahNdoa sio jela wala adhabu. Ndoa sio lazima wala kifungo. Ndoa ni hiyari ya watu wawili.
Kama Ndoa ngumu achana nayo fanya mambo mengine.
hahahaaaaSijawahi kupata fununu, taarifa wala ushahidi wa mume wangu kucheat ndani ya Ndoa.
Kumbuka, mimi na mume wangu wote ni binaadam Kama wewe.
Yaani unavyojiongelesha kuhusu wewe na mumeo ni as if nyie ni masuper hero fulani hiviKinachotutofautisha ni aina ya maamuzi tunayoamua kwenye maisha yetu na aina ya maisha tunayochagua kuishi kila siku.
Mume wangu ni kiumbe kinachojitegemea kimaamuzi Kama ilivyo mimi na wewe. Na Imani yangu na maono yangu juu ya maisha havimuathiri yeye bila yeye mwenyewe kukubaliana navyo. Anayo maamuzi yake Kama binaadam yeyote mwingine.
Kama alikuwa mfanyakazi je?.........Halafu utasikia wasio na akili wanamuita huyo mwanamke mdangaji. Mwanamke ameshiriki kwenye biashara zake miaka 20 sio mchezo, tena kitengo ambacho ni uti wa mgongo wa biashara.
Kuachana kupo lakini apewe stahiki zake.
Mimi nazungumzia hisa za mume. Hizo ni sehemu ya assets zake. Ni kama nyumba ambazo anamiliki. Watalaka wanapaswa kukaa pamoja na kukubaliana namna haki ya mtalaka kwenye hizo hisa itakuwa realised. Anaweza kumpa sehemu. Anaweza kumlipa value ya shares ambazo watakubaliana kuwa anastahili. Hilo la dividends litatokana na hisa ambazo kila mmoja atakuwa anamiliki baada ya talaka. Hivyo kwa stocks ambazo anaweza kuwa anamiliki katika makampuni mengine.Kwenye kampuni hapo kuna utata
Sio rahisi kama unavyotaka kusema
Share za mume kwenye kampuni inayofanya kazi mzee huwezi muingiza mwanamke kutoka tu gizani ukasema 50% ni yake
Shida ni kwamba kampuni nayo ni mtu
Na kampuni ipo live inafanya kazi,huwezi ivamia kampuni inayofanyakazi na kuivuruga eti useme 50% ni ya huyu maana yake unaiua hiyo kampuni
Sema kampuni kwa hiyari yao wafanye winding up mali ziuzwe wakawane
Au huyo mume auze share zake kwa hiyari yake ipatikane pesa hapo mwanamke labda ampe 50%
Hali inakua nzito zaidi maana ugomvi wa watu wawili unauhamishia kwa watu wengine (kampuni ni mtu)
Ukihamisshia huo ugomvi huko maana yake kampuni inakufa,hujasolve kitu
Kwa busara ya hakimu shares kama shares za kampuni inayofanya kazi hazigawanywi kama unavyotaka hapa
Na sio jukumu la hakimu kuua kampuni namna hii
Na sio jukumu la hakimu kuhamisha ugomvi kuupeleka kwenye kampuni inatakua hujasolve kitu hapo
Labda uniambia dividends zinazokuja kutokana na share hizo ndio wagawane hizo hela 50% 50%,sasa,dividends zinakuja lini kwenye kampuni binafsi?
Ukishaingiza makampuni kwenye migogoro ya ndoa binafsi unayaua na unaathiri waajiriwa mia kidogo
Sio rahisi kama unavyo onesha hapa eti kila kitu ni 50% 50% tu kirahisi namna hii
Ndio namna Mahakama zinavyoshiriki katika dhulma. House wife ataupaje vipi thamani mchango wake? Nani anaweza kuupa thamani mchango wa wazazi wake? Hawa Mahakimu wanaumiza sana watu kwa sababu wengi wana sympathise na mfumo dume. Uonevu mtupu.Mimi naongelea from my own experience, mahakama ili iamue how much upewe ni lazima uthibitishe contribution yako.
Usijisumbue huyo Nancy Achana naye huyo ni muhuni wa kutupwa Ashafanya unamalaya sana hadi ndani kwa mume wake akisafiri wadada wa kazi wanaambiwa Waandae Achana naye huyu, hata kama Mwanaume akiwa na mwanamke mwingine huyu Nancy ndio sababu alianza uhuni mbele yetu kitambo sana kuanzia kutembea na wafanyakazi wake na hata ……. Yani huyu dada anakera sana baada aombe msamaha ajishushe Eti yeye anakaza na huyo mchepuko wake na hii ni moja ya picha ya mchepuko wake aliyempa ofisi ya Mume wake Bure huko Africana kabla Mwanaume hajashtuka kama mke anasaliti na huyu mchepuko alikuwa anakaa Bure hapo halipi kodi yani mambo ha hovyo kabisa yani akae tu kimya akiendelea ntamuaibisha mno akaushe yani na huu upuuuzi Aliouleta hapa kwenye Jukwaa yani. Eti anadai Mali na wakati Davis aliwahi kuwalipia mkopo mwaka 1995 kabla hata hajamuo a naPhilosophical jargons? Jitahidi kuacha kutafsiri kwanza vitu, elewa sana ujumbe kabla ya kujibu.
Fantasy gani? Maigizo gani na kwa faida ipi?
Kama ambavyo wewe unaishi katikati ya jamii inayotukuza uzinzi na kuona usaliti ni normal way of Life, ndivyo na Mimi naishi kwenye jamii inayolaani uzinzi na usaliti kwa kuamini ndilo anguko la mwanaAdamu.
Sijawahi ku cheat hata mara moja ndani ya hiyo miaka 14 ya Ndoa. Sio rahisi ila inawezekana na ninaendelea kuweza Alhamdulillah.
Why nitake kuona upande uliojeruhiwa wa Mume wangu? Kwanini kwanza nimjeruhi? Kosa lake ni kuniamini na kunichagua kuwa mkewe?
Ndoa sio jela wala adhabu. Ndoa sio lazima wala kifungo. Ndoa ni hiyari ya watu wawili.
Kama Ndoa ngumu achana nayo fanya mambo mengine.
Ndoa sio kwa ajili ya viumbe dhaifu vyenye kufuata matamanio ya miili yao na kuendekeza madhaifu yao na kuyapa majina eti nature mara sijui uanaume.
Ndoa ni Taasisi ya kipekee sana. Ndoa na iheshimiwe na watu wote.
Sijawahi kupata fununu, taarifa wala ushahidi wa mume wangu kucheat ndani ya Ndoa.
Kumbuka, mimi na mume wangu wote ni binaadam Kama wewe.
Kinachotutofautisha ni aina ya maamuzi tunayoamua kwenye maisha yetu na aina ya maisha tunayochagua kuishi kila siku.
Mume wangu ni kiumbe kinachojitegemea kimaamuzi Kama ilivyo mimi na wewe. Na Imani yangu na maono yangu juu ya maisha havimuathiri yeye bila yeye mwenyewe kukubaliana navyo. Anayo maamuzi yake Kama binaadam yeyote mwingine.
Experience za mahusiano yako na ya jamii yako sio experience zangu na haziwezi kuwa zangu.
Yani hii siku ilikuwa ni Birthday Ya mchepuko wa Nancy na akatengeneza cake kwenye moja Ya ofisi zake akaagiza iende kwa huyo mchepuko wake Ila cha ajabu ikaenda nyumbani kwa Davis wakati Dereva anaingia ndani tu na aliyebeba cake yani walichokutana Nacho Mungu ndio anajua mbebaji anajua alichokumbana Nacho kwenye simu toka kwa Nancy Ila Nancy DahKwasababu umeiandika kiingereza basi umeitoa kuwa tusi (neno la siri) na kuwa neno la kawaida linaloweza kutamkwa mbele ya jukwaa?
Kwamba kiingereza make everything sound and feel better?
Binaadam hawezi kujiona. Anaonwa. Na Kama wewe umeniona najua sana English to Swahili dictionary Mimi hilo halinihusu.
Tako ni neno less graphic? Kwenye jamii ipi uliyokuzwa wewe?
Kumbe kuna mashindano ya Lugha na hutoi taarifa? Uko America, Sawa wasalimie sana.
MkuuMimi nazungumzia hisa za mume. Hizo ni sehemu ya assets zake. Ni kama nyumba ambazo anamiliki. Watalaka wanapaswa kukaa pamoja na kukubaliana namna haki ya mtalaka kwenye hizo hisa itakuwa realised. Anaweza kumpa sehemu. Anaweza kumlipa value ya shares ambazo watakubaliana kuwa anastahili. Hilo la dividends litatokana na hisa ambazo kila mmoja atakuwa anamiliki baada ya talaka. Hivyo kwa stocks ambazo anaweza kuwa anamiliki katika makampuni mengine.
Amandla...
Huyo Nnacy si mtu wa Mbeya wala Mchagga. Ni mzaramo.Huyu mama sio mchaga ni mtu wa mbeya ...vipi unalingine na kusema
Sio sehemu ya Matrimonial properties/assetsMimi nazungumzia hisa za mume. Hizo ni sehemu ya assets zake. Ni kama nyumba ambazo anamiliki. Watalaka wanapaswa kukaa pamoja na kukubaliana namna haki ya mtalaka kwenye hizo hisa itakuwa realised. Anaweza kumpa sehemu. Anaweza kumlipa value ya shares ambazo watakubaliana kuwa anastahili. Hilo la dividends litatokana na hisa ambazo kila mmoja atakuwa anamiliki baada ya talaka. Hivyo kwa stocks ambazo anaweza kuwa anamiliki katika makampuni mengine.
Amandla...
😂Halafu yani huyu Nancy anadai Mali Mali Gani anazodai yani maana tunajua Kuwa kibaha walikuwa wanadaiwa bank Njooo mwaka 1995 na Davis ndio Aliwalipia huo mkopo na alikuwa hata hajamuoa na mpaka Leo wameuza eneo lote zilikuwa hela 20 yani imebaki sehemu Ya Kaburi tu sasa unadai Mali ipi kwa Mfano
Nawashangaa sana wanaosaini mikataba ya ndoaSio sehemu ya Matrimonial properties/assets
Sio sehemu ya Matrimonial properties/assets
Jurisprudence in divorce cases imebadilika sana kisheria, under the current case law hakuna kitu kama tulichuma pamoja. Lazma uonyeshe uliparticipate vpi katika uanzishaji na kukuza mali . Kama in the course of work ulipewa mshahara basi you were nothing but a mere employee and the courts will view you as such.This is wrong in so many ways. Bora angekuwa mama wa nyumbani (nayo sio sawa pia) Kama ameshiriki kuchuma nae kwa miaka 20 hiyo ni dhulma.
Lakini mali hazijanisikitisha sana kama ndoa kuvunjika. Miaka 28? Ni madhaifu gani hayo ambayo hawakuweza kuyavumilia baada ya miaka 28?
Lazima aonyeshe by way of evidence uliparticipate kvp , uliwekeza kiasi kipi cha fedha kwa biashara zenyewe by way of statements or receipts.Mosha ili suala litamtafuna ngoja huyo mwanamke akate rufaa ,mwanamke alikuwa anajua biashara zake kwa miaka 20 na kitu ,ina maana kilichochumwa baada ya ndoa ni sehemu ya mali ya meke mume.
Hizo sheria nyingi ulizoquote ni mostly under common law and in some ways are applicable ila the statutes of limitations imelimit some of the use , most of those examples ambazo umecite zimekuwa overtaken by time, modern jurisprudence , statutes na case law zetu hapa bongo .What’s the difference between matrimonial and non-matrimonial assets?
Matrimonial assets are financial assets that you and/or your spouse have acquired during your marriage. Non-matrimonial assets are financial assets acquired by you and/or your spouse either before you got married or after your divorce.
Matrimonial assets typically include things such as the family home, pensions and savings. It doesn’t really matter who put the money forward for these assets or who accumulated the wealth. When you’re married, the law in England and Wales considers that any assets you acquire during the marriage also belong to your husband or wife. So, for example, if you contribute towards a pension during your marriage, your spouse is entitled to a share of it.
Examples of matrimonial assets
There are no hard-and-fast rules but for the average couple, marital assets typically include:
Inaelekea wanasheria wetu na mahakimu wengi hamjui chochote kuhusu Matrimonial assets. Kama nilivyokuwa nasema na inavyothibitishwa hapo juu haijalishi nani amechanga nini katika mali za familia. Kingine ni kuwa hizi assets haziangalii nani yuko kwenya jina la hati. Aidha, kama ulikuwa na nyumba yako kabla ya ndoa lakini baada ya ndoa ikawa inatumika kama makazi ya familia, hiyo ni matrimonial assets na inaingizwa katika mali zitakazo gawiwa. Na pande zote katika talaka zinatakiwa kueleza mahakama mali zote walizokuwa nazo. Kuficha mali kwa kutumia labda majina ya watu wengine ni kosa la jinai.
- The family home (even if only one partner has their name on the title deeds)
- Pensions and savings accounts
- Stocks and financial investments
- Businesses
- Furniture and other household items
- Cars and other vehicles
- Property
Tofauti na ilivyodaiwa humu ndani, Mahakama ina mamlaka makubwa kuhusu mgao wa mali zilizopatikana katika ndoa ikiwa pamoja na investments na stocks. Hata kama mke kasema hahitaji kitu mahakama inaangalia haki yake na uwezo wake wa kuendelea na standard ya maisha aliyozoea wakati wa ndoa. Barua kama hizo zinakuwa hazina mashiko kwa sababu wakati mwingine zinapatikana under duress au mtu anakuwa katika hali ya kutojua analolifanya.
Huu ni mfano kutoka UK ambako sheria zetu nyingi zimekuwa based.
Wanawake wengi wanadhulumiwa kwa sababu ya kutokujua, kukata tamaa mbele ya mfumo dume au imani potofu kuwa akiiachia kila kitu mwanaume anaweza kubadili mawazo na kumrudia. Mambo kama kutokuwa muaminifu katika ndoa, majaribio ya kumuua, uchawi, matumizi mabaya ya fedha, kutopenda ndugu za mume n.k. ni grounds for divorce na hayahusiki katika mgawanyo wa assets. Hii kampeni ya kumchafua huyu dada haitakiwi kuwa na mashiko yeyote katika shauri lake.
Amandla...
Mnachosema ni kuwa mwanamke ambae alikaa nyumbani kutunza familia hastahili kitu chochote kwa sababu hana risiti ya kuonyesha kuwa alikuwa anampigia pasi nguo zake, alikuwa ananyonyesha watoto wao, alikuwa anasimamia ujenzi wa kibanda chao, na fedha za kuanzisha bishara alizitoa kwenye kikoba lakini hakudai mkataba kwa sababu ni mume wake n.k. n.k. Huyo mwanamke baada ya kuzalishwa watoto watano, kupita umri wa kuweza kupata ajira, na gravity kuuvuruga mwili wake, kuvumilia mume wake kuzaa nje ya ndoa n.k. akiachwa na jamaa ataondoka na kandambili ambazo walianzia wote maisha! Hamuoni ilivyokuwa ridiculous? Msijaribu kutu gaslight na maneno kama consideration for her services ( kama kuna consideration for her services basi huyo ni house girl na prostitute all in one), debt instruments etc. etc. Hayo mnayozungumza ni ya medieval times wakati haki ya mwanamke ilikuwa mikononi mwa mwanaume. Hiyo sio ya modern times ambapo juhudi zote zinafanywa ili kuhakikisha mwanamke haonewi katika ndoa. Kama mnachosema ni kweli basi tumerudi miaka 150 nyuma. Labda ndio maana wanawake wanaokuwa katika ndoa wanaanzisha miradi yao ambayo wanawaficha waume wao kwa sababu wanajua siku wa kiachwa kwa talaka au kifo hawana lao.Lazima aonyeshe by way of evidence uliparticipate kvp , uliwekeza kiasi kipi cha fedha kwa biashara zenyewe by way of statements or receipts.
Shida iliyopo ni mwanamke alipokea a consideration for her services hio miaka , yaani mshahara , you cant claim an equitable share whilst receiving a legitimate consideration at hand . Hata akikata rufaa all the advocates wa mumeo have to do is show she nothing but a mere employee . Hence she bore no risks , hence she can't turn around and claim ownership.
It's highly technical ila the judges can't simply overstep such a crucial fact , kushinda ile kesi kwa mke ni ngumu sana . Na hapo am barely scratching the surface .
Ukiangalia vizuri debt instruments nyingi zilichukiliwa na mume, ya pale labour tu hata iwe miaka 100 sio kigezo kikuu pekee , jurisprudence imebadilika sana in modern times
Umesoma lakini haujaelimika. Hizo sheria nilizo zi quote nimezitoa leo kwenye website za matrimonial law firms za UK. Hapa hatuzungumzii mke anayefanya kazi katika kampuni ya kampuni. Tunazungumzia mwanamke aliyeolewa period. Hizi haki za msingi haziondolewi na status yake ya kuwa employee. Unless uniambie alikuwa analipwa mshahara ili atoe huduma za mke.Hizo sheria nyingi ulizoquote ni mostly under common law and in some ways are applicable ila the statutes of limitations imelimit some of the use , most of those examples ambazo umecite zimekuwa overtaken by time, modern jurisprudence , statutes na case law zetu hapa bongo .
Ungejua sheria kama unavyokurupuka kudai unajua ungebaini kuwa kuprove ownership lazma ulete evidentiary proof , simply bieng a wife sio an automatic ticket to assets .
Kama ulipewa a salary basi you were nothing but an employee and any participation was compensated by a consideration.
Bieng a wife and her position in the company ni mambo mawili tofauti kisheria, ile kesi kulingana na vile respondents wameihandle yule dem kushinda ngumu sana.
Ameshindwa kudisprove many attack points and every law will always have exceptions hizo exceptions ndizo zitamwangusha bidada
Alikua alipwiiHalafu utasikia wasio na akili wanamuita huyo mwanamke mdangaji. Mwanamke ameshiriki kwenye biashara zake miaka 20 sio mchezo, tena kitengo ambacho ni uti wa mgongo wa biashara.
Kuachana kupo lakini apewe stahiki zake.