Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,478
- 40,000
Jaribu kufikiria scenario hii: Mahakama inaruhusu mgombea binafsi, Mtikila anatafuta mchungaji mwenzake ama mfuai mwenzake wa siasa za chuki dhidi ya wazanzibari, waasia, waislamu, wageni wengine na hata watanzania waishio mipakani ambao kwa mujibu wake sio watanzania wa kweli halafu wanakuwa wagombea binafsi katika uchaguzi ujao wa urais dhidi ya yule ambaye Mtikila tayari ameshasema kuwa ni gaidi na ana ajenda ya kuumaliza ukristo hapa nchini. Fikiria aina ya Tanzania tutakayokuwa nayo wakati na baada ya uchaguzi huo........
Sasa mwanakijiji, huyu naye mbona hoja zake zinaelea hewani? Sasa hoja tatu zote hazina supporting evidence. Kwanini anasema mahakama haikufuata misingi ya haki, kwanini anasema haki za binadamu hazikuzingatiwa. Mtoa tamko naye amekurupuka bwana. Nilitegemea angekuja na hoja makini za kubeza baadhi ya vifungu vilivyokiukwa. Sasa story za aina hii si yeyote tu anaandika?CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO (CHADEMA).
TAMKO KUHUSU HUKUMU ILIYOTOLEWA NA MAHAKAMA YA RUFAA KUHUSU MGOMBEA BINAFSI TANZANIA .
Tumepokea kwa mshituko mkubwa Hukumu iliyotolewa na Mahakama Ya Rufani Tanzania iliyosomwa leo na Jopo la Majaji saba na kuamua kutupilia mbali Hukumu iliyokuwa imetolewa na Mahakama Kuu ya Tanzania kuhusu uwepo wa Mgombea Binafsi .
Mambo makuu matatu ya msingi hayakuzingatiwa na jopo la Majaji wa Mahakama ya Rufani katika kutoa uamuzi wao ambayo ni;
Kwanza, Mahakama ya Rufani kwenye Hukumu hii imeamua ama kujisahau au kwa makusudi kabisa kuacha jukumu lake la kulinda Haki za Binadamu (Has aveded its duty as a custodian of Human Rights ).
Pili , haya ni maamuzi yenye msukumo wa Kisiasa zaidi na hayakuzingatia misingi ya Katiba , Sheria na Kanuni .
Tatu ,Mahakama ya Rufani imetoa Hukumu bila kufuata misingi Haki.
Kwa maoni yetu , ni Hukumu ambayo itaendelea kuuwa Demokrasia nchini Tanzania na ni jukumu la kila mpenda Demokrasia kuhakikisha kwamba anaipinga hukumu hii kwani imetolewa kwa misingi ya kisiasa zaidi na kulinda kikundi cha watawala .
Mahakama ya Rufani imeshindwa kutimiza wajibu wake wa kutafsiri Katiba na sheria za Jamhuri ya Muungano ya Tanzania ,na kuliachia jukumu hilo kwa chombo kingine ambacho kimsingi sio kazi yake kutafsiri sheria bali kazi ya Bunge ni kutunga sheria.
Taarifa zaidi ya kina itatolewa pindi tutakapo pata nakala ya hukumu husika.
Imetolewa na Mkurugenzi wa Bunge na Halimashauri.John Mrema .17/06/2010.
Ebu niwaulizeni mnaotaka hii sheria ya mgombea binafsi...
Tuseme mathlan sheria hii ingepitishwa... Na wananchi elfu, laki au millioni uwezo wa kupiga kura wakiamua wao kujiandikisha kama wagombea Binafsi - itakuwaje?..
Maanake sheria mnayoitaka inaruhusu mgombea binafsi na sidhani kama kuna kiwango cha haki kwa idadi ya wagombea wala kukataza wengine wasifanye hivyo..Ni wapi kikomo wa hiyo haki ya mgombea binafsi kwa wananchi wake kwa sababu huwezi sema baadhi ya watu tu ndio wanaruhusiwa wengine wakae pembeni..Je, gharama zake pia zitachukuliwa na nani?..
Ebu niwaulizeni mnaotaka hii sheria ya mgombea binafsi...
Tuseme mathlan sheria hii ingepitishwa... Na wananchi elfu, laki au millioni uwezo wa kupiga kura wakiamua wao kujiandikisha kama wagombea Binafsi - itakuwaje?..
Maanake sheria mnayoitaka inaruhusu mgombea binafsi na sidhani kama kuna kiwango cha haki kwa idadi ya wagombea wala kukataza wengine wasifanye hivyo..Ni wapi kikomo wa hiyo haki ya mgombea binafsi kwa wananchi wake kwa sababu huwezi sema baadhi ya watu tu ndio wanaruhusiwa wengine wakae pembeni..Je, gharama zake pia zitachukuliwa na nani?..
Jaribu kufikiria scenario hii: Mahakama inaruhusu mgombea binafsi, Mtikila anatafuta mchungaji mwenzake ama mfuai mwenzake wa siasa za chuki dhidi ya wazanzibari, waasia, waislamu, wageni wengine na hata watanzania waishio mipakani ambao kwa mujibu wake sio watanzania wa kweli halafu wanakuwa wagombea binafsi katika uchaguzi ujao wa urais dhidi ya yule ambaye Mtikila tayari ameshasema kuwa ni gaidi na ana ajenda ya kuumaliza ukristo hapa nchini. Fikiria aina ya Tanzania tutakayokuwa nayo wakati na baada ya uchaguzi huo........
Sasa mwanakijiji, huyu naye mbona hoja zake zinaelea hewani? Sasa hoja tatu zote hazina supporting evidence. Kwanini anasema mahakama haikufuata misingi ya haki, kwanini anasema haki za binadamu hazikuzingatiwa. Mtoa tamko naye amekurupuka bwana. Nilitegemea angekuja na hoja makini za kubeza baadhi ya vifungu vilivyokiukwa. Sasa story za aina hii si yeyote tu anaandika?
Sasa kwanini ametoa tamko wakati hukumu yenyewe hajaisoma? Umeona hoja zilizojengwa na Mwanakijiji? Hilo ndo tulitaka tulisikie kutoka kwake aliyetoa tamko, kwamba hoja zote za serikali zimetupwa, sasa iweje serikali ishinde? Mimi ni mmojawapo ambaye nimeumizwa na hukumu hii, kwahiyo ningependa kuona anayetoa tamko anatoa kwa kujenga hoja ili tujue tumehujumiwa au ndo sheria ya nchi yetu ilivyo? Hizi kelele za laymen wa sheria hazitusaidii.Umeambiwa taarifaya kina itatolewa baada ya kupata na kusoma hukumu yenyewe??? Vipi? umetumwa??
CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO (CHADEMA).
TAMKO KUHUSU HUKUMU ILIYOTOLEWA NA MAHAKAMA YA RUFAA KUHUSU MGOMBEA BINAFSI TANZANIA .
Tumepokea kwa mshituko mkubwa Hukumu iliyotolewa na Mahakama Ya Rufani Tanzania iliyosomwa leo na Jopo la Majaji saba na kuamua kutupilia mbali Hukumu iliyokuwa imetolewa na Mahakama Kuu ya Tanzania kuhusu uwepo wa Mgombea Binafsi .
Mambo makuu matatu ya msingi hayakuzingatiwa na jopo la Majaji wa Mahakama ya Rufani katika kutoa uamuzi wao ambayo ni;
Kwanza, Mahakama ya Rufani kwenye Hukumu hii imeamua ama kujisahau au kwa makusudi kabisa kuacha jukumu lake la kulinda Haki za Binadamu (Has aveded its duty as a custodian of Human Rights ).
Pili , haya ni maamuzi yenye msukumo wa Kisiasa zaidi na hayakuzingatia misingi ya Katiba , Sheria na Kanuni .
Tatu ,Mahakama ya Rufani imetoa Hukumu bila kufuata misingi Haki.
Kwa maoni yetu , ni Hukumu ambayo itaendelea kuuwa Demokrasia nchini Tanzania na ni jukumu la kila mpenda Demokrasia kuhakikisha kwamba anaipinga hukumu hii kwani imetolewa kwa misingi ya kisiasa zaidi na kulinda kikundi cha watawala .
Mahakama ya Rufani imeshindwa kutimiza wajibu wake wa kutafsiri Katiba na sheria za Jamhuri ya Muungano ya Tanzania ,na kuliachia jukumu hilo kwa chombo kingine ambacho kimsingi sio kazi yake kutafsiri sheria bali kazi ya Bunge ni kutunga sheria.
Taarifa zaidi ya kina itatolewa pindi tutakapo pata nakala ya hukumu husika.
Imetolewa na Mkurugenzi wa Bunge na Halimashauri.
John Mrema .
17/06/2010.
naona watakuwa wameshindwa, labda tusubiri pale mahakama itakapo binafsishwa, na kupewa wahindiMajaji wote 7 wamekubaliana na hilo? Au tusubiri "dissenting judgement" kutoka kwa mmoja wao?
Si alishatamka waziri Marmo kwamba hakuna mgombea binafsi. CJ na jopo lake wamepiga mhuri tu amri ya waziri! LONG LIVE TANZANIA AND ITS POLITICS!!!!!!!
Shida ni uvivu wakusoma tu posts. Ukipitia kila post vizuri hapa utaelewa nini MMKJJ anasema. Wengi mnaanzia kusoma posts katikati na mnaanza kutoa comments za aibu. Nenda jukwaa la sheria kuna hukumu ya leo pale. Download na ujisomee usimsumbue mmkujj kwa vihoja dhaifu vyako.Sasa kwanini ametoa tamko wakati hukumu yenyewe hajaisoma? Umeona hoja zilizojengwa na Mwanakijiji? Hilo ndo tulitaka tulisikie kutoka kwake aliyetoa tamko, kwamba hoja zote za serikali zimetupwa, sasa iweje serikali ishinde? Mimi ni mmojawapo ambaye nimeumizwa na hukumu hii, kwahiyo ningependa kuona anayetoa tamko anatoa kwa kujenga hoja ili tujue tumehujumiwa au ndo sheria ya nchi yetu ilivyo? Hizi kelele za laymen wa sheria hazitusaidii.