Super Sub Steve
JF-Expert Member
- Jul 9, 2011
- 17,286
- 10,668
Kuna uwezekano mkubwa Pinda siyo mhusika kwenye hii ishu ila kuna watu anataka kuwaokoa maana anapigana kufa kupona
Biashara imeisha hii. Zito kawaambia wabunge wajiandae kupambana na facts na si watu. Pinda hana hatia kwa hili ila kuna watu wamempania kwa sababu za kisiasaKuna uwezekano mkubwa Pinda siyo mhusika kwenye hii ishu ila kuna watu anataka kuwaokoa maana anapigana kufa kupona
Nashangaa kuna kipindi mlikuwa mnamtukana sanaDuh! kumbe Job Ndugai ni kiongozi makini big up sana...
Warudishe pesa za ESCROW!!!Kama mkisema mmeamua kweli kututetea basi huu ndio wakati
kama kweli mmeamua kukataa kuona watanzania wakifa kwa kukosa dawa wakati mabilioni yakinyakuliwa na wachache
Ni wakati wenu kuonyesha namna gani mnataka kuona taifa hili likipiga hatua za kimaendeleo wakati ni huu.
Anataka kumuokoa bosi wake. Fukua fukua yote hii, kwenye shina yupo mzee wa tezi.Kuna uwezekano mkubwa Pinda siyo mhusika kwenye hii ishu ila kuna watu anataka kuwaokoa maana anapigana kufa kupona
Kuna uwezekano taarifa ikawa tofauti na matarajio ya wengi.
Nawashangaa mlivyokuwa mnamtukana kipindi kileDuh! kumbe Job Ndugai ni kiongozi makini big up sana...
Utakuwa umerogwa wewe.Kwa mujibu wa mh.Pinda bungeni leo inaonekana kuwa nae ni mmoja wa waliopata huo mgao wa escrow!ha haa!
Atatoa ufafanuzi gani kwa jambo ambalo kuna mamlaka zinamuelemea?AG yupo kimya hata ufafanuzi hamna