Mahakama yaingilia Bunge kuzuia suala la Escrow lisijadiliwe!

Kuna uwezekano mkubwa Pinda siyo mhusika kwenye hii ishu ila kuna watu anataka kuwaokoa maana anapigana kufa kupona
 
Kuna uwezekano mkubwa Pinda siyo mhusika kwenye hii ishu ila kuna watu anataka kuwaokoa maana anapigana kufa kupona
Biashara imeisha hii. Zito kawaambia wabunge wajiandae kupambana na facts na si watu. Pinda hana hatia kwa hili ila kuna watu wamempania kwa sababu za kisiasa
 
Kama mkisema mmeamua kweli kututetea basi huu ndio wakati
kama kweli mmeamua kukataa kuona watanzania wakifa kwa kukosa dawa wakati mabilioni yakinyakuliwa na wachache
Ni wakati wenu kuonyesha namna gani mnataka kuona taifa hili likipiga hatua za kimaendeleo wakati ni huu.
Warudishe pesa za ESCROW!!!
 
Wabunge washauri ripoti ya CAG, PCCB kuhusu Escrow iwasilishwe, kujadiliwa kufuatia taarifa mahakama inataka kuzuia.Sipika Ndugai asema haki kutendeka.
 
Kwa mujibu wa mh.Pinda bungeni leo inaonekana kuwa nae ni mmoja wa waliopata huo mgao wa escrow!ha haa!
 
Sasa nakumbuka ule usemi hayati Baba wa taifa alisema itafikia siku Watanzania watasema SASA BASI INATOSHA! na ndio hii tunayoiona.:shock:

R.I.P Mwalimu JK Nyerere:pray:
 
Nimeipenda hii kauli na Job leo
"Hatuwezi kuunda umoja wa wahalifu" -
 
Back
Top Bottom