Mahakama yaingilia Bunge kuzuia suala la Escrow lisijadiliwe!

Mkuu. Hawajadili maamuzi ya mahakama bali wanataka kujadili ripoti ya CAG ambayo kwa taratibu na kanuni za bunge walielekezwa na bunge kuchunguza ufisadi huo na
kisha ripot hyo kupelekwa kwa kamati ya kudumu ya bunge ya hesabu za serikali na mashirika ya umma PAC![/QUOTE asante kiongozi kwa kumuelimisha huyu simiyu yetu maana yeye kakalia tu ushabiki wa ccm utafikiri alikunywa maji ya bendela ya ccm. ]
 
Asubuhi niliwaeleza kuwa serikali ya CCM kupitia Mwanasheria mkuu na Waziri mkuu wapo kwenye mchakato mkubwa wakuzuia ripoti ya wizi wa Escrow isijadiliwe na bunge.
Mkuu Yeri, naomba kuchukua fursa hii kukuomba radhi unisamehe bure tuu, ulipoleta hii mwanza nilikuona mzushi, kwa vile sasa limetokea kweli, lazima nikupongeze!, kweli jf, be the first to know!.

Japo ni kweli hoja yako ya mwanzo ilikuwa based on uzushi, ili "you have the powers" to make things happen!, kwa uzushi ule, ume prompt mambo yatokee hadi mahakana sio tena imepeleka barua, bali imetoa amri, court order ambapo isipotekelezwa ni uvunjaji wa sheria!.

Asante,

Tunasubiria!.

Pasco.
 
mahakama haijatoa zuio. imesema status quo should be maintained. na shauri la PAP na IPTL halijasikilizwa mpaka mahakama itakapoamua siku ya kusikiliza. punguza kupotosha blaza.
 
MaJaji walivuta mpunga wakawalaghai AG watatoa Zuio. Kumbe wakasema "status quo" iwe maintained.
 
9 Reactions
Reply
Back
Top Bottom