Mahakama ya Kadhi ni nini?

Mahakama ya Kadhi ni nini?

Elewa maeneo matatu
1. Ndoa za kimila

2. Ndoa za Kdini

3. Ndoa za Kiserikali

Hiyo 1 na 2 ndo mahitaji yalipo.

3. Hii yenyewe tayari INA hizi mahakama tuluzo nazo ambazo zinasumbua sana haki za miradhi.
RITA inaingia hapa ktk mlango wa " kabidhi wasii" baada ya familia kuwa na Shauri la mirathi Mali zote hupewa wao hadi mwisho wa Shauri.
Mara nyingi shauri lipofika mwisho Mahakamani wao wanapaswa kukabidhi mirathi kwa wahusika hawafanyi hivyo.
Mjane na bint hubaki kudhalilika.
Endapo ndoa ni ya kimila baada ya shauri kwisha Serikali iyatambue mashauri hayo na maamuzi yalotolewa
Hali kadhalika na ndoa za Kidini. Ukristo, Uislamu nk kila Kadhi ktk Madhahabu yake.
Ndoa ya Mila Kadhi wao atalifanya shauri kulingana na mila Tao ilivyo. Sharia za Dola zisiingiliye wenyewe ndao, mirathi yao.
Uislamu na madhahabu zake Kadhi ataendesha shauri kulingana na kanuni za madhahabu usika. Serikali isiingilie taratibu zao
Ukristo na Kadhi wao na madhahabu zao hivyo hivyo.
Tena taratibu zote zitakuwa zilianzia huku kwenye mila ama dini wamekubaliana wakiwa na viongozi wao, siku ya siku inakuwa Mahakamani tena Hakimu huko ana Mila yake Dini yake tafauti na ndoa ilivyofungwa. Matokeo yake hukumu isiyoridhisha.
 
Kwani hawa waislam hawawezii kuendesha mahakama ya kadhi mpaka iingizwe kwenye katiba? Nadhani serikali yetu Haina Dini na hizi sheriaa za kadhi zinahusu zaidi shariah law na zinawahusu zaidi waislam kwakweli
 
Elewa maeneo matatu
1. Ndoa za kimila

2. Ndoa za Kdini

3. Ndoa za Kiserikali

Hiyo 1 na 2 ndo mahitaji yalipo.

3. Hii yenyewe tayari INA hizi mahakama tuluzo nazo ambazo zinasumbua sana haki za miradhi.
RITA inaingia hapa ktk mlango wa " kabidhi wasii" baada ya familia kuwa na Shauri la mirathi Mali zote hupewa wao hadi mwisho wa Shauri.
Mara nyingi shauri lipofika mwisho Mahakamani wao wanapaswa kukabidhi mirathi kwa wahusika hawafanyi hivyo.
Mjane na bint hubaki kudhalilika.
Endapo ndoa ni ya kimila baada ya shauri kwisha Serikali iyatambue mashauri hayo na maamuzi yalotolewa
Hali kadhalika na ndoa za Kidini. Ukristo, Uislamu nk kila Kadhi ktk Madhahabu yake.
Ndoa ya Mila Kadhi wao atalifanya shauri kulingana na mila Tao ilivyo. Sharia za Dola zisiingiliye wenyewe ndao, mirathi yao.
Uislamu na madhahabu zake Kadhi ataendesha shauri kulingana na kanuni za madhahabu usika. Serikali isiingilie taratibu zao
Ukristo na Kadhi wao na madhahabu zao hivyo hivyo.
Tena taratibu zote zitakuwa zilianzia huku kwenye mila ama dini wamekubaliana wakiwa na viongozi wao, siku ya siku inakuwa Mahakamani tena Hakimu huko ana Mila yake Dini yake tafauti na ndoa ilivyofungwa. Matokeo yake hukumu isiyoridhisha.

Kama mirathi inasumbuaa kwa sheriaa zilipo Tayari ni bora zirekebishwe Nchi nyingi zinafanya amendments ya vifungu vyao vya sheria na sio kuingiza mahakama ya kadhi katika katiba hiyo sio haki kwa sisi wakristuu
 
Dada kadhi sio dini. Ktk lugha ilotangulia Kadhi ni Hakimu ama mwendesha mashauri.
Maneno baadhi tunayatumia yametokana na Mataifa mengine,
Shule, Meza Kijerumani
Kadhi, Salamu Kiarabu nk
 
Jambo penda kutafakari na sio kumlaumu mtu ye yote ktk bibilia takatifu habari hii ya Kadhi ipo unadai vp kuwa huu ni Uislamu?
 
Ndugu watanzania, tanzania sio nchi wa wanyama wa mikumi au wa ngorongoro, si nchi ya samaki wa nyanza wala mwanza, si nchi ya ndege wala mijusi ya selui. Hii ni nchi yetu sote. Sio uungwana wala ubinaadamu kwa mtanzania yeyote kuonyesha dhamira ya makusudi kutaka kulipasua katikati taifa letu hili kwa mlengo wa kikundi au kitaasisi ama kisiasa au kidini. Kuikataa mahakama ya kadhi kwa nguvu na povu kubwa ukiwa hujui maana yake ni kulipasua taifa.

Kushinikiza mahakama ya kadhi kuingizwa kwenye katiba ya nchi mchanganyiko wa dini wakati wananchi hatujui maana yake nako tena ni kukipasua taifa. Naamini tukielimishana kwa lugha tutayoielewa sote tutapinga au kukubali tunachokielewa barabara.

Hii kitu mahakama ya kadhi sijaanza kuisikia jana, muda sasa, waislam wanasema chao wakristu wanasema chao tusio na upande wowote tunasema chetu na serikali inatengeneza kwa taabu piko la pande zote. Hatari kubwa serikali yenyewe inatokana na watu wa dini hizi hizi, hilo piko lazima liwe na kila dalili za hatari, sana!

Nimepitia michango mingi sana na post humu jf , vitabu na magazeti kutafuta hasa mahakama ya kadhi ni kitu gani lakini sijapata, zaidi sana ni malumbano ya watu kushinikiza ianzishwe na itambuliwe kisheria na kufadhiliwa na nchi na upande mwingine wanapinga. Watu wote makini huwa hatupingi wala kukataa tusicho na ufahamu nacho.

Niseme wazi mahakama ya kadhi sijui ni nini na inahusika na nini na umuhimu wake kwenye jamii mchanganyiko hii, napoona watu wa dini flani wanalazimisha mambo ya dini yao yaingizwe kwenye katiba ya watu wote kwa upande wangu naona kama watu wabaya wenye agenda mbaya ya udini na hatari. Naona kama ni uchochezi wa hatari sana. Kwa kizazi hiki na kijacho. Lakini maskini naweza kuwa kumbe sijui maana ya kitu hii.

Niombe akiwepo mtu au kikundi wanielimishe waziwazi juu ya mahakama ya kadhi, yakiwepo maswali niulize au niulizwe kwa lengo la kuelimishana sio ubishi au kusutana wala dhamira ya udini kutuongoza. Na nikijua mahakama ya kadhi ni nini na nikaelewa umuhimu wake kuhudumiwa na jamhuri niunge mkono harakati kwa nguvu zote. Lakini nikishindwa kuielewa basi nitawapinga wanaovuruga taifa langu kwa nguvu zangu zote.

Tuelewe hapana aliyekuja na ukristu wake hapa wala uislam wake hapa. Dini hizi zilikuja tu kutokea mbali wala sio asili zetu hivyo mtu asivimbe shavu sana kupambana kwa ajili ya dini yoyote. Taifa kwanza.

Tafadhali wenye matusi na kebehi za udini mkitupisha tutafurahi sio lazima uchangie au utukane. Hatuongelei udini, tunaelimishana hapa. Nina imani watu wengi wakielewa watakuwa na uamuzi unaotokana na uelewa wa kitu.



Jibu


Asante Kwa mchango wako..

1.0 NDOA:- tujuaVYO ndoa hufungwa Na kamishna wa ndoa aliye sahiriwa Na Serikali. Awe sheick, padili, au ofisi ya mkuu wa Wilaya. Na kamishna huyu ana mamlaka ya kutoa idhinisho la kutengua ndoa. Sheria Za Nchi zinafafanua Kwa Kina andiko la Talaka Na dhamana ya wanandoa Na watoto kutokana Na Mali iliyopatikana wakati wa uhai wa ndoa husika. Na Sheria ya ndoa ya mwaka 1971 Na emendment ya 2002 zinafafanua Kwa Kina Haki Na stahiki Za wanandoa Kama kipeperushi http://www.kwieco.org/Pdf/SHERIA YA NDOA.pdf
kinavyoonyesha. Embu tuzichambue Sheria hizi tuangalie mapungufu yake Na kisha tuje Na Hoja mbili mosi Kwamba Je Inawezekana mapungufu haya yakaingizwa Kwenye Sheria Hii au pili kutafuta Njia mbadala ya kusolve matatizo hayo Kwa Kufanya mahakama Za kidini zenye mamlaka kamili Kama mahakama ya kadhi, Ardinin, Na nyinginezo.

2.0:- Mirathi. Sheria ya mirathi ya TOKA 1985 ambayo imetokana Na maboresho ya Sheria ya Urithi ya India inafafanua mambo ya mirathi. Kunaweza Kuwa Na kasoro embu tuzichambue kwanza Na kuziweka wazi ndipo tujenge Hoja mpya.

Embu Jenga Hoja, eleza usilalamike, eleza ubaya wa A Na unadhani B watafanya hivi au vile kuboresha. Sio tu kusema Sheria Za Rita Za uthibitisho wa Kifo au kuzaliwa Kwa Mtu zinatubana, no Mtu ukitaka kurithi Mali ya Mtu lazima utambulike Kwamba Kweli ni Mtoto au ndugu wa marehem Na Serikali inaangalia document.

Watanzania hatuna utamaduni wa Kuwa Na vitambulisho. Cheti Cha Kuzaliwa ni moja ya kitambulisho ambacho Ni Haki yako kumpatia mwanao anapozaliwa. Na Cheti hiki humsaidia Kwenye mambo mengi ya kimaisha. Badala ya Mtu kulalamika Kwamba Mahakama wanataka kunitambua Kwamba Mimi Ni Mtoto wa flan kupitia Cheti Ni Vema kujenga utamaduni wa Kuwa na document hizi muhimu.

Lakini pia utaratibu wa kupata document Za Rita si mrefu kiviile, Ni utaratibu wa Uwazi wa kisheria

[h=2]Saudi blogger given first 50 of 1,000 lashes in public[/h]

Sat Jan 10, 2015 11:20AM


b7b648b8-b6e4-472f-a64e-bf8ee0bec9fb.jpg


Saudi blogger Raif Badawi





Saudi blogger Raif Badawi has reportedly received the first 50 lashes out of 1,000 public flogging after he was convicted of what was called cybercrime and insulting Wahhabism on his website.
According to witnesses, Badawi was transported to a square across from Jeddah’s al-Jafali Mosque in shackles on Friday and whipped for 15 minutes before being driven away.
The witnesses further stated that Badawi was kept with his back to onlookers while being flogged, but he kept silent.
The blogger is due to undergo 50 lashes outside the mosque every week after Friday prayers, which will continue for 20 weeks until his punishment is complete, according to Amnesty International.
The move comes despite widespread global outrage and calls for clemency from prominent human right groups.
His persecution began in 2008 after he co-founded the “Free Saudi Liberals” website, where he criticized influential Saudi clerics who follow Wahhabism, a sect which originated in Saudi Arabia.
Although his lawyers appealed for a retrial, the sentence was upheld last May to 1,000 lashes, completed in 20 sessions in front of a mosque, ten years of imprisonment, one million riyal fine ($266,000), 10-year ban on overseas travel abroad after his release and a 10-year ban from participating in visual, electronic and written media after his release.
Criticism of Wahhabi clerics is viewed as a red line as they play a vital role in supporting the Al Saud regime’s policies.
 
Elewa maeneo matatu
1. Ndoa za kimila

2. Ndoa za Kdini

3. Ndoa za Kiserikali

Hiyo 1 na 2 ndo mahitaji yalipo.

3. Hii yenyewe tayari INA hizi mahakama tuluzo nazo ambazo zinasumbua sana haki za miradhi.
RITA inaingia hapa ktk mlango wa " kabidhi wasii" baada ya familia kuwa na Shauri la mirathi Mali zote hupewa wao hadi mwisho wa Shauri.
Mara nyingi shauri lipofika mwisho Mahakamani wao wanapaswa kukabidhi mirathi kwa wahusika hawafanyi hivyo.
Mjane na bint hubaki kudhalilika.
Endapo ndoa ni ya kimila baada ya shauri kwisha Serikali iyatambue mashauri hayo na maamuzi yalotolewa
Hali kadhalika na ndoa za Kidini. Ukristo, Uislamu nk kila Kadhi ktk Madhahabu yake.
Ndoa ya Mila Kadhi wao atalifanya shauri kulingana na mila Tao ilivyo. Sharia za Dola zisiingiliye wenyewe ndao, mirathi yao.
Uislamu na madhahabu zake Kadhi ataendesha shauri kulingana na kanuni za madhahabu usika. Serikali isiingilie taratibu zao
Ukristo na Kadhi wao na madhahabu zao hivyo hivyo.
Tena taratibu zote zitakuwa zilianzia huku kwenye mila ama dini wamekubaliana wakiwa na viongozi wao, siku ya siku inakuwa Mahakamani tena Hakimu huko ana Mila yake Dini yake tafauti na ndoa ilivyofungwa. Matokeo yake hukumu isiyoridhisha.

Inshallah ..! Lakini nikusahihishe kidogo Kwamba ndoa Za kumila ni zile zinazofungwa Kwa mujibu wa tamaduni zetu Za kiafrica Za makabila ambazo pande zote mbili yaani UPANDE wa Wazazi wa muoa na muolewa huafikiana. Hapo Hakuna dokument Za kiserikali wala taasisi yoyote na Mwisho wa siku taratibu Za mirathi na Urithi hufuata mila na desturi Za Kabila husika nadhani hapa Hakuna ugomvi. Hili niliite Kundi A lisilo na mgogoro.

Ndoa Za kidini nowadays na Za Serikali zote hufuata mkondo mmoja Kwa Sababu makamishna wa ndoa huishia kuwasainisha waolewaji Vyeti vile vile vitokavyo setikalini. Taratibu Za mirathi Kwenye Kundi hili hufuata kanuni Za Cheti Cha ndoa kilichotolewa Serikalini. Hii haikwepeki. So lazima Basi Sheria Za Ndoa ziwe na wajibu wa kutafsiri michakato ya mirathi hapa sidhani Kama kuna tatizo pia Kama lipo ni kukarabati Sheria zilizopo maana Kama zitawaathiri waislam Ni wazi na wakristu wataathirika na sisi wengine pia maana sisi Sote tumesaini Cheti Cha Serikali.

Kuna Kundi la Tatu la watu wanaochukuana tu mitaani sasa hao Hakuna Mwenye DHAMANA nao. Wacha Serikali ichambue Nani impe Nini Kwa taratibu Za kurasimisha ndoa Za namna hiyo. Hapa sidhani Kama kuna Mtu anahitaji kulibeba Kundi hili humu.

Lakini Nne kuna watu ambao wanafunga ndoa Za kidini pure. Hakuna Cheti Cha Serikali wala Nini. Hawa sasa nao wana taratibu zao Za kushughulikia mambo Yao ya mirathi. Ni Kama wale wa kumila pure. Sidhani Kama kuna Kabila let say wasukuma wadai ndoa zao zirasishwe na Serikali na kufadhiliwa nayo. Huu Ni UCHOCHEZI wa kupuuzwa.
 
Sentence ya mwisho sio nzuri. Tuwaachie wahuni watumie maneno hayo.
Unaelekea kuelewa ila tu unamapenzi na matakwa ya Serilika.
Lengo kuu ni maamuzi pindi anapotelewa na Mabaraza hayo yatambulike na yahishimiwe.
Tunaona kesi nyingi za mirathi wakidhulumiana.
Kama shauri litamfikia Kadhi anawatambua wahusika ni waeneo lake na zaidi ya hapo labda Kiserikali nikumwingiza M/k wa Mtaa, Kitongoji au Kijiji watu wanapata haki zao bila usumbufu wo wote.
Sidhani kama ushawahi kukutana na kero hizi haswa zinapokuwa baada ya maamuzi ya Mahakama.
MUHIMU KUTAMBULIWA KISHARIA NA SIO VINGINEVYO.

KUNA WALOACHWA WAKIWA TUMBONI, WACHANGA NA WENGINE KTK RIKA LA UYATIMA HADI WANAKUWA MIRATHII YA MZAZI WAKE HAJAPEWA.
UNAPO PATAKA NDIYO SHARIA IPO KTK MAKARATASI HAIFIKISHI HAKI YA MLENGWA.

UNAFUNGUA MIRATHI BAADA YA MUDA MSIMAMIZI ANACHEZA KARATA ZAKE ANADHULUMU.
ONGEZA TAFAKURI YAKO MIRATHI INAANZIA MBALI.
ELEWA PIA KUNAFAMILIA ZA WALOROFI NA MLAGHAI AKIWAPATA HAO DHULUMA INAKWEPO!!!
KADHI YU KARIBU MNO NA FAMILIA HIZO KULIKO MAHAKAMA ANAWEZA KUFANYA USIMAMIZI WA KARIBU
 
mimi binfsi sina tatizo na mahakama ya kadhi tatizo langu ni hii kitu kuingizwa kwenye katiba YA WATANZANIA NA Serikali
imulipe mshahara huyo kadhi mimi naendelea kuisoma katiba pendekezwa ,kama kipengele hiki kitaingizwa kwenye katiba tutaonana wabaya Aprili 30 2015
 
Waislamu wanadai Kadhi ni sehemu yao ya Ibada. Ila Jk ashawajibu ndugu zake wa kiislamu pale Dodoma kwenye msikiti wa Gadafi. Alisema hivi,'sio kazi ya serikali kuendesha ibada za dini'. Wakaanzishe wao na kuhukumiana hukohuko na serikali haitowaingilia.

Hivi ndani ya katiba au sheria kuna ibara inatoa mamka kwa mahakama ya kadhi, aiskofu, padri, mchungaji au mila kutoa hukumu ya ndoa na miadhi? Kama kikwete alitamka hivyo hilo ni tamko la kisiasa halina nguvu kisheria.
 
Mahakama ya kadhi ni mahakama inayoshughulikia masuala ya wale wenye imani ya Kiislamu. Tanzania haijawanyima Waislamu kuwa na hiyo mahakama ila waiendeshe wenyewe.pasipo kuishusisha serikali. Waisalmu wanataka kadhi atambuliwe na kulipwa Serikali huku wakijua dini ni hiari ya mtu. Itakuwaje na imani nyingine zikadai nazo viongozi wa sheria kwenye imani zao nao watambiliwe na Serikali? Hili ni jambo lisolowezekana ingawa Mrema ndo mchochezi wa jambo hili akitafuta kura za Waslamu. Kwa kuwa Mungu hadhihakiwi angalia Mrema alikofikia kisiasa. Yote haya ni kutokana na ulaghai wake. Shame on him.

Kwani wakiristo walikatazwa kuomba mahakama yao ya kichungaji au kiaskofu?
Kwa maana nyingine ni kama sheria zilizopo hasa za ndoa na mirathi haziwakwazi hivyo sio mbaya tukiziita ni mahakama za kikiristo tena ukizingatia tulizirisi toka wakristo waingereza ambao wao kipindi hicho waliruhusu mahakama ya kadhi ikaja futwa MWENYE HERI MTARAJIWA
 
Mkiristo wa aina gani wapo wasio owa wala kuolewa.
Wapo wa mke mmoja na wengine za ya .....
Endapo mambo ya Mirathi Ndoa nk yatashughulikiwa na Askofu Paroka Padri na ye yote yule, je, maamuzi hayo baada ya kutolewa Serikali inayatambua? Kwa mujibu wa kifungu kipi?
Uamuzi wo wote utokanao na maeneo nje ya mahakama Serikalini hayatambuliki?
Akiowa mke Kimila Kidini Kiserikali lazima lazima hivyo vyeti vyako havitambuliki hadi Uwende RITA kwa Usajili na hapo hayupo MZEE wa Kijadi Mchungaji wa Sheikh.
Utakutana na Watumishi ambao hata ndoa yako hawajui ilikuwa lini na wapi.
Viongozi walowajibikia hilo wao ndo wanajua. Kwanini wasipewe fursa hii ya ulezi wa Kiroho ktk imani zao zilivyo elekeza.!!!
 
Hivi ndani ya katiba au sheria kuna ibara inatoa mamka kwa mahakama ya kadhi, aiskofu, padri, mchungaji au mila kutoa hukumu ya ndoa na miadhi? Kama kikwete alitamka hivyo hilo ni tamko la kisiasa halina nguvu kisheria.

aiseeh ! Umepotea njia !
 
Back
Top Bottom