Jile79
JF-Expert Member
- May 28, 2009
- 17,668
- 13,271
Ishu sio kuitaka mahakama ya kadhi issue ni kitendo cha hawa ccm wapitisha mikataba ya kinyonyaji kuchanganya siasa na dini huku wakiwashambulia viongozi wa dini wanaoitaka serikali dharmu ya ccm kufuata katiba na sheria za nchihiyo mahakama unaitaka ya nini ?
kisutu haitoshi ?
imani ni nzuri na ni mbaya