Mahakama ya Kadhi ni nini?

Mahakama ya Kadhi ni nini?

non sense. jamaa yuko sahihi tunataka tujue manake tusiojua tuko wengi
 
non sense. jamaa yuko sahihi tunataka tujue manake tusiojua tuko wengi
post zinajaa tu hakuna mpaka sasa si mwanazuoni wala shabiki aliyejitokeza kutoa darsa. mie naanza kuamini kuna fishy element behind. na wengi ni maamuma wanashabikia wasicho kielewa. kwa mtaji huu hii ni roho ya UGOMVI na machafuko. huwezi kunizuia kuamini hivi kwa sababu pamejaa kurasa tatu kwenye post hii na hapana aliyetoa hoja yenye mashiko atuconvice umuhimu wa mahakama ya kadhi na matumizi ya sharia kama taifa. mahakama au mashauri ya kiimani tuamini yana umuhimu kwenye dini husika na si dini nyingine au TAIFA.
 
alafu kwenye imani yao wanasema ndoa ya watu wa dini mbili siyo ndoa halali kikwao. sasa kama kukiwa na ndoa kati ya omary na anna alafu kukawa na mgogoro wa kindoa cjui kama anna atahakikishiwaje kutendewa haki na kadhi. watu wanatakiwa watueleze hapa kuwa ni nini kinachokosekana kwn sheria zetu ambacho hakiwezi kurekebishwa bungeni kama kweli kina maslah kwa watz wote.
 
Ni kuvunja ndoa tu wala haina jingine. Wanaotaka wamewachoka wake zao wanataka kuhalalisha mambo yao badala ya kuandika vijikaratasi na kuita talaka. Haikataliwi, bali inahusu dhehebu badala ya taifa. Hivyo taifa haliwezi kupasuka kwa kutokuwa nayo kama ilivyo sasa na amani ipo. Vinginevyo labda mtoa hoja anataka kusema kama mbwayi na iwe mbwayi
 
TUSIPOTESHE hakuna ndoa ya Mkatoliki na Muangilikana. Kila dhehebu kwa dhehebu lake.
Ikiwa Ukiristo niUkiristo ktk lazima dhehebu lifanane KATOLIK + KATOLIK
Sasa huoni OMARY na ANNA ni mbali sana!!!
Kwa Taarifa kwako Kadhi hapa huna mamlaka ye yote kwa watu hawa.
Ndoa hii itakuwa ya Kiserikali na muafaka wao utatoka Mahakamani
 
Siku za hivi karibuni kumetokea mjadala mzito kuhusu mahakama ya Kadh.Napenda kuchukua nafasi hii kuwomba wana JF bila ushabiki tujadili hili.Kwanini watu wengi hasa Wakristo wanahofu na mahakama ya kadh
1.Watanzania tumelelewa kwa upendo,ukabila na dini zetu siyo utambulisho wa Mtanganyika.Hivyo watu wengi wasiyo Waislamu wanona hii italeta utengano kati yao.Wakristo na Waislamu wanfaidiana,wanategemeana kwa kila kitu.Wanafikiri ikiwa Mahakama hii itaanzishwa watawakosa ndugu zao Waslamu.Ni sawasawa mtu umeoa mke alafu uone kuna sheria inatungwa ya kusukumia mbali uhusianao huo.

2.Ndugu zetu wanafikiri Wakristo ni Wakatoliki tu,ndo maana asubuhi ya leo nimemsikia shehe maarufu hapa nchini akiwa Chanel Ten akisema Wakristo wanafaidika na sheria za nchi hii ambazo zimerithiwa toka kwa Waingereza yaani COMMON LAWS.Kwa taarifa yake( kama yumo humu JF aje asome hapa,)anapashwa kujua hili.Mkristo ni nani?Mristo ni yule anayeenenda kama Kristo.Ingawa hatuwezi kuwa kama Kristo kwa asilimia 100 lakini Kristo anatukamilisha siku hadi siku,imani moja kwenda nyingine.Utamtambuaje mtu kuwa huyu ni Mkristo?ni Yule anayeifuata sheria ya Kristo.Yesu Kristo anasema mtu akinipenda atazishika amri zangu.Biblia inaendelea kusema kuwa mtu akishika yote akajikwaa katika moja anakuwa na hatia mbele za Mungu wa Wakristo.Tanzania ina Wapentekoste karibu million 11,hawa hizi Sheria zinazoitwa COMMON LAWS haziwahusu kabisa.Mfano moja kwa nini haziwahusu ni talaka.Talaka ni kati ya mahitaji yanayowasukuma Waislamu kupata mahakama hii ili washughulike ki-imani tatizo hili.Wapetekoste wanaamin kuwa ni mke mmoja na mme mmoja mpaka kifo kiwatenganishe.Mke mmoja na Mme mmoja si lazima wafanye sherehe Kanisan,wakishakubaliana na wazazi wa pande zote mbili basi ndoa uwa imefungwa tayari.Siyo lazima kuvaa Shera,ndoa ya kwanza ya Baba yetu Adam hawa kuvaa Shera.Ndiyo maana ukijiunga na Upentekoste kuna malipizo ya ndoa.Kama unaishi na mke ambaye si wako unamwacha unamrudia wa kwanza hata kama alishaolewa kwingine,zungumza na Mungu akurejeshee mke wako.Hiyo ndo kanuni.Walimuuliza Yesu wakati alipokuwa hapa Dunia
kuwa Musa aliwapa sheria ya talaka,aliwajibu 'alifanya hivyo kwa sababu ya ugumu wa mioyo yao tangu mwanzo Mungu hakupenda hivyo,ni mke mmoja mpaka kifo kinawatenganisha.Ukiruhusu talaka wewe siyo Mkristo.

Tukisha yajua haya sasa twende kwenye hoja yenyewe.Waislamu wanatolea mifano mingi nchi za Rwanda,Kenya na Uganda kuwa wana Mahakama ya Kadhi,huu si mfano mzuri,tunaona wenzetu walivyo na shida na misigano katika maisha yao,yanayotokea huko kila mtu anyajua.Umoja wetu umetengenezwa na waasisi wa Nchi hii,ndiyo maan Tanzganyika haina dini(Secular State) Viongozi walisisitiza hili tangu mwanzo ili kuleta umoja na usatawi wa Taifa hili.Mkiwa na nchi yenye mfumo kama wa Tanganyika inabidi kila mmoja akubali kupoteza baadh ya mambo fulani.Sawa sawa umeoa mwanamke anatabia zake kila mmoja napoteza mambo yake ya msingi ili kujenga familia yenye umoja.

Pia Zanzibar inahusishwa na mfano kuwa wao wamewezaje kuwa na Mahakama ya Kadhi?Zanzibar karibu 99.9%(ingwa sina uhakika na asilimia hizi) ni Waislamu,sehemu kama hii jambo la Mahakama ya kadh ni rahisi kutekelezwa.Wote tunajua ni jinsi gani wakati wa mfungo wa ramadhani wakrist wanavyopata shida huko nafikiri kila mmoja anjua yaliyo watokea.

Mwisho na kabla ya mwisho mbona swala la Mahakama ya kadhi hupata msukumo mkubwa wakati raisi anapokuwa Mwislamu?

Mwisho kabisa,wana zuoni wa Kiislamu watufafanulie tuelewe sisi ndugu moja,Wakristo wengi wanamsoma Katika Kitabu Kitakatifu Biblia kuwa kadh ni mtu mbya.Palikuwa na kadh katili asiyependa watu....Wakawapeleka kwa kadhi wakachapwa viboko..,kabla ujapelekwa kwa kadhi akakutupa gerezani.nk

Tujadili
 
Jaman dunia ya leo udini tunautoa wapi njaa inatuua haya mambo tusiyoyajua tusiyaendekeze sana khaaa ni upumbavu
Walioleta dini izi hawaendi kanisani afu tunajidili ujinga usiokua na maana
 
Mmnaojua njooni na ufafanuzi huku, mada hiyo hapo mezani..tusiojua tumetulia tukingoja wajuzi watunawishe uso.
 
Kwani kuna ulazima gani wanawake waitake, uislam hauendeshwi kwa matakwa ya wanawake kama ilivyo dini yako.

Umeona sasa! ubaguzi ushaanza kabla hata hiyo mahakama haijapita, wanawake wanaulazima wa kuijua ili na wao wafahamu haki zao kama ninyi wanaume, hiyo mahakama ianzisheni wenyewe bila kuishirikisha serikali, mbona misikiti mnaijenga bila kuishirikisha serikali..!? msitake kutumia kodi za dini nyingine kuwafaidisha ninyi..!!
 
Kadhi Court is diabolical and inhumane. In fact, in said Court, women are inferior and are counted as half of a man, See Quran 2: 228. The constitution of Tanzania is not in support of immoral laws of Allah who is against women from day one.

Example:

A male gets a double share of the inheritance over that of a female.
The Quran in Sura 4:11 says:
The share of the male shall be twice that of a female . . . . (Maududi, vol. 1, p. 311)


A woman's testimony counts half of a man's testimony.
The Quran in Sura 2:282 says:
And let two men from among you bear witness to all such documents [contracts of loans without interest]. But if two men be not available, there should be one man and two women to bear witness so that if one of the women forgets (anything), the other may remind her. (Maududi, vol. 1, p. 205).


A wife may remarry her ex-husband if and only if she marries another man, they have sex, and then this second man divorces her.
The Quran in Sura 2:230 says:
And if the husband divorces his wife (for the third time), she shall not remain his lawful wife after this (absolute) divorce, unless she marries another husband and the second husband divorces her. (In that case) there is no harm if they [the first couple] remarry . . . . (Maududi, vol. 1, p. 165)


The finally and absolutely divorced couple is not permitted to remarry each other unless she marries another man, they have sex, and he divorces her. Sura 2:230 engenders a divorce on the road to a possible reconciliation.

Why should it be necessary to have the intervening steps of a second marriage and divorce before the first couple can work out their differences and get back together?
 
Mfumo wa Sheria uko hivi: Kinachoshindikana kwa chief Kadhi hutakiwa kwenda Mahakama Kuu(High Court) sasa kama bado mashauri yanakwenda mahakama kuu, kwanini basi tuwe na Kadhi's court?. Inawezekana hili linatokana na mfumo huu wa sheria tulionao (Common Laws) ambao kiasili ulianzia England.Lakini nataka niseme kwamba waingereza waliangalia mifumo ya maisha ya watu na SI DINI yao na kuanzisha sheria zitakazowaongoza wote bila kujali dini na hii ndio chimbuko la common laws.

Maana sheria tulizo nazo zinatambua taratibu mbalimbali za kiislamu, kama kuna zilizoachwa issue iwe ni amendment na kuziongeza.Ndugu zangu kwa hali ilivyo sasa Dunia yetu iko kama kijiji kimoja kisayansi,kiuchumi n.k. leo hii ndoa mseto (muislamu kwa mkristo) ni nyingi sana na zinaongezeka. Sheria ina vitu vitatu HAKI,WAJIBUna ADHABU. UTULIVU WA NCHI NA AMANI UNATEGEMEA SANA MFUMO WA UTOAJI HAKI USIOENDESHWA KWA MISINGI YA KIDINI. Mwelekeo wa dunia kwa sasa ni kujumuika na si kutengeneza kundi Quba na North Korea ni mifano halisi. Msiotaka kuamini hili endeleeni mtakuja baini.
 
Pia nataka kusema hivi: Leo hii pita mitaani kuna dini fulani wanaandaa kanda, CD's na vitabu kuwakashifu watu wa dini nyingine.Ndugu zangu nataka niwaambie:Wanandamu hatujui tulikotoka wala tunakokwenda YOTE TUNAYOYAAMINI TUNAYAAMINI KWA IMANI TUU: Sasa KWANINI UONE DINI YAKO NI BORA KULIKO NYINGINE?: Utakuta mabishano ya mihadhara, ndugu zangu nani kati yetu kama dini yake ni bora AONGEZE UREFU HATA WA KUCHA ZAKE TUU!, Hebu jitabirie basi saa ya kufa kwako kama dini yako ni bora zaidi kuliko mwingine?. Ninachokiona mwanadamu amekosa maarifa: Msingi wa Dini hasa ni matendo mema(Upendo).
 
Mmnaojua njooni na ufafanuzi huku, mada hiyo hapo mezani..tusiojua tumetulia tukingoja wajuzi watunawishe uso.

Mkuu utasubiri sana majibu na hutayapata mpaka mwisho wa dunia.Koran inasema haitaeleweka mpaka mwisho wa dunia.Kwahiyo wote ni maamuma wanaosikia hadithi.
 
Back
Top Bottom