unajua kukata pesa ya mtu bila ruhusa yeye kuridhia ni kosa au hujui naomba nikuulize kwa nini mnatumia nguvu nyingi sana katika kutaka hizi mahakama wakati uwezo wa kuziongoza hamna.Kwa wale wanaofanya kazi, hasa walioajiriwa ni rahisi kukata pesa zao, wale wafanya biashara wapeleke michango yao wenyewe kwa sababu Mahakama ni kwa ajili yao
Mahakama ya kadhi tayari inatambulika Tanzania Zanzibaro,ambao wanapinga ni wakristo wa Tanganyika ambao wao ni tofauti na Wakristo wa nchi zingine za Africa mashariki ambazo zina mahakama ya kadhi na raia wake wanaishi kwa amani na upendo.
labda inatambulika huko misikitini kwenu tuuuu.Mahakama ya kadhi tayari inatambulika Tanzania Zanzibaro,ambao wanapinga ni wakristo wa Tanganyika ambao wao ni tofauti na Wakristo wa nchi zingine za Africa mashariki ambazo zina mahakama ya kadhi na raia wake wanaishi kwa amani na upendo.
unajua kukata pesa ya mtu bila ruhusa yeye kuridhia ni kosa au hujui naomba nikuulize kwa nini mnatumia nguvu nyingi sana katika kutaka hizi mahakama wakati uwezo wa kuziongoza hamna.
mkuu wanahangaika bure nani atawapa hizo mahakama serikali haina dini .Pinda aliwadanganya ili apate zile kura za NDIYO katiba ya ccm baada ya hapo hakuna kitachofanyika tena .Mkuu, hii nchi ina majanga mengi mno ila watu ndo kwanza wanatafakari Udini, Hivi wakipewa hizo Mahakama hawaoni ndio sababu ya Udini kupamba moto zaidi?
Hakuna hoja yoyote hapa. Unakwepa ukweli wa kilichopo kwenye uzi, unatoa maelezo yasiyo na hoja bali hisia.Watu wengi wanaojadili hasi hili swala wana mitazamo miwili. Mtazamo wa kwanza ni chuki za kiimani na mtazamo wa pili ni ujinga wa kutokujua nini mahakama ya kadhi na majukumu yake kwa nchi kama yetu ya Tanzania.Ukiwa upo kwenye mtazamo wa kwanza, upo sahihi kwa sababu hilo ni jambo ambalo lipo moyoni mwako na kama huwezi kupambana na ashki za moyo wako basi litaendelea kuwepo tu kama vumba la samaki wa maji ya ngama.Na kama upo kwenye mtizamo wa pili basi ni kuendelee kuongeza kiwango cha ujinga kujadili na kulitolea maoni jambo ambalo huma elimu au ufahamu nalo.
Huyo mashodi haelewi. Ukihusisha serikali maana yake wananchi wote wanalazimishwa kufuata imani moja katika nchi. Hajaelewa kilichopo kwenye uzi.ujinga wako ni kuwa hujajua kiini cha malalamiko, tatizo sio hiyo mahakama tatizo ni serikali kuhusishwa
wakina nani hao , swala halijakubaliwa na wala halitopitishwa , zaid ya JF kuna sehemu nyngne umewakuta watu wakijadili ama hata kulikumbuka?
Manyang'au ni viongozi wa CCM waliofilisika na kujawa na tamaa ya kung'ang'ania madaraka wanaotafuta kura kwa kulazimisha kila mtu kushiriki ibada ya imani nyingine kwa lazima.wakina nani hao , swala halijakubaliwa na wala halitopitishwa , zaid ya JF kuna sehemu nyngne umewakuta watu wakijadili ama hata kulikumbuka?
mkuu wanahangaika bure nani atawapa hizo mahakama serikali haina dini .Pinda aliwadanganya ili apate zile kura za NDIYO katiba ya ccm baada ya hapo hakuna kitachofanyika tena .
Serikal imekubali hilo swala?
Hii ni mahakama ya kazi,hizi kazi ni za akina nani?Wewe unakatwa kodi kwa ajili ya kuendesha mahakama ya kazi i mean kazi sio kadhi unajua?
Ni kwa namna gani hili ni tatizo?Unakatwa kodi kwa kwa kuendesha baraza la usuluhishi fair competition tribunal ambayo wafanya biashara wakubwa tu linawahusu..wewe unanufaika nini la kodi unayokatwa kuendesha hizo mahakama na mabaraza?
Unasema msamaha wa kodi halafu unasema "wanachangia",yaani wewe hujui hata maana ya msamahaUnadhani waislam hawachangii chochote kwenye misamaha ya kodi inayopata makanisa?
Naona hapa wewe ndio zuzu,kama unabisha tupe maelezo kuhusu haya .....!!..akili yako na ubongo wako imejaa ukungu mzito huoni wala huwezi kufikiria zaidi ya hapo..upo upo tu kama zuzu flani
Wewe unakatwa kodi kwa ajili ya kuendesha mahakama ya kazi i mean kazi sio kadhi unajua? Unakatwa kodi kwa kwa kuendesha baraza la usuluhishi fair competition tribunal ambayo wafanya biashara wakubwa tu linawahusu..wewe unanufaika nini la kodi unayokatwa kuendesha hizo mahakama na mabaraza? Unadhani waislam hawachangii chochote kwenye misamaha ya kodi inayopata makanisa?..akili yako na ubongo wako imejaa ukungu mzito huoni wala huwezi kufikiria zaidi ya hapo..upo upo tu kama zuzu flani
Watu wengi wanaojadili hasi hili swala wana mitazamo miwili. Mtazamo wa kwanza ni chuki za kiimani nana majukumu yake kwa nchi kama yetu ya Tanzania..Code:[SIZE=4][COLOR=#0000ff]mtazamo wa pili ni ujinga wa kutokujua nini mahakama ya kadhi[/COLOR][/SIZE]
mkuu hawa waislamu wanaotaka mahakama za kadhi hawajui madhara yake wapo kama bendera fuata upepo wanatetea ujinga na utumwa .Harafu hawa jamaa wanadanganyika kwa kijinga sana, angalia hata leo USA na Allies wake wanavyowanyanyasa.