Mahakama ya Kadhi ni nini?

Mahakama ya Kadhi ni nini?

Dawa hapa nchi igawanywe wkristo warudi kanda ya ziwa na kati waislam waende pwani hakuna jinsi ccm inataka Kura za waislam!
Hii hapana, huwezi kugawanya nchi kwa sababu ya kusisitiza kuwa kila mtu aamini dini yake bila kulazimishwa na serikali.
 
Msituletee mambo ya dini kwenye serikali.
Serikali ya Tanzania haina dini ingawa inatambua uepo dini hizo na uhuru wa kuabudu.
Msitafute kuabudisha na kuchangia dini yenu watu wengine kwa mgongo wa serikali.
Huwezi kuchukua kodi ya watu wasioamini dini wakatwe kodi zao na serikali kugharamia imani yenu.
Katika hali yoyote hiyo kitu haitawezekana.
CCM wanajaribu watu waliodhaifu kuwaingiza kwenye mtego kwa kigezo cha dini moja kujaribu kuwaondoa watu kwenye mambo ya msingi hasa Katiba mpya na ufisadi uliokithiri.
Kueni makini sana na mambo haya yanayojitokeza na yatakyojitokeza.
 
C.C. Mzee Mohamed Said, Ritz, Kahtaan, Big show, Rejao.
 
mkuu hawa waislamu wanaotaka mahakama za kadhi hawajui madhara yake wapo kama bendera fuata upepo wanatetea ujinga na utumwa .

acha kuropoka inamaana wewe ndio mjuzi sana wa islamic law kuliko waislamu wenyewe?kwanza hatujawaomba ushauri tunashangaa mnavyojishebedua!..naona mmeshalewa kitimoto na bia.
 
acha kuropoka inamaana wewe ndio mjuzi sana wa islamic law kuliko waislamu wenyewe?kwanza hatujawaomba ushauri tunashangaa mnavyojishebedua!..naona mmeshalewa kitimoto na bia.
mbona umepaniki sana kama imekuuma tulia dawa ikuingie vizuri .umetoka lini sero nakumbuka una kesi ya kumbaka mwanafunzi ndani ya madrassa .
 
mbona umepaniki sana kama imekuuma tulia dawa ikuingie vizuri .umetoka lini sero nakumbuka una kesi ya kumbaka mwanafunzi ndani ya madrassa .

replied:nenda vatcan uone viongozi wako wanavyogeuzana kasomee utumishi nawewe uliwe!
 
Dini nyingine hamna sheria itakayoku bora liende tufike,sisi dini nyingine hatuna shida na sheria kanyaga twende.
 
Wanatafutiwa ajira wahitimu wa sharia wa pale MUM..

Replied:kama hujui jambo usijitie kujua utakujazomewa nani kakwambia course ya islamic law with shariah ni opt ya sheria za dini pekee?usizungumze jamboo ilimradi nawewe uonekane..zombi wee!
 
Acha ujinga wewe unaongea tu kwa sababu mdomo haulipiwi acha waislamu waishi kulingana na matakwa ya dini uao kama dini yako haina utaratibu wa maisha ww kaa kimya mana inavoonekana hata chizi akitunga sheria nyinyi mtafuata
 
replied:nenda vatcan uone viongozi wako wanavyogeuzana kasomee utumishi nawewe uliwe!
ile kesi yako ya kubaka mwanafunzi ndani ya madrassa imeishia wapi kumbe siku hizi huko madrassa mmefanya ni gesti za kubaka watoto wadogo inasikitisha sana .
 
Acha ujinga wewe unaongea tu kwa sababu mdomo haulipiwi acha waislamu waishi kulingana na matakwa ya dini uao kama dini yako haina utaratibu wa maisha ww kaa kimya mana inavoonekana hata chizi akitunga sheria nyinyi mtafuata
kama wewe utakuwa tayari kufuata sheria iliyotungwa na chizi basi na wewe utakuwa chizi .sisi hatuwezi kukubali kufuata matakwa ya machizi kwa sababu ya matakwo ya wahuni wachache kama wewe.
 
mbona umepaniki sana kama imekuuma tulia dawa ikuingie vizuri .umetoka lini sero nakumbuka una kesi ya kumbaka mwanafunzi ndani ya madrassa .

Nyie dini zenu ndio za mashoga na viongozi wenu.wanawalawiti vijana kila kukicha hamna mana nyinyi
 
Tanzania ni nchi yenye mchanganyiko wa watu wenye imani tofauti. Pamoja na utofauti wetu ki imani lakini pesa zote tunaweka kwenye kapu moja, hivyo kwa vyovyote vile kama Serikali ikilazimisha pesa za kwenye kapu la watu wa imani tofauti zinufaishe imani nyingine kutatokea msuguano ukizingatia kuwa nchi yetu bado ni masikini, yaani tunategemea misaada ya kutoka nje ya nchi lakini eti tutengeneze chombo kingine kitakachogharimu pesa.

Baada ya utangulizi huo napenda kuwashauri waislam hivi:

Waislam waanzishe mahakama zao za kadhi kutokana na sheria itakayowekwa hasa kwenye aina za kesi zinazoruhusiwa kushughulikiwa na Mahakama ya kadhi. Kama kweli waislam wanaona Mahakama ya kadhi ni muhimu sana katika maisha yao, basi kila muislam alieajiriwa serikalini au mashirika binafsi nk, kila mwezi akatwe asilimia kadhaa kwenye Mshahara wake/Pato lake na zipelekwe kwenye account ya Mahakama ya kadhi, kama vile tunavyokatwa kwenye NSSF, TRA nk. Mkifanya hivyo mtaweza kuendesha mahakama zenu kwa gharama zenu bila

kuna kitu ambacho huwa sikielewi kabisa,hivi hawa wanaodai mahakama ya kadhi akili zao huwa zinafikiria nini?
 
kama wewe utakuwa tayari kufuata sheria iliyotungwa na chizi basi na wewe utakuwa chizi .sisi hatuwezi kukubali kufuata matakwa ya machizi kwa sababu ya matakwo ya wahuni wachache kama wewe.
Acha hizo nyie freemason mashoga dini zenu za kutunga zimeibuka kama uyoga hamna jipya ndio mana munaogopa ogopa
 
nnaam hebu hawa wakongwe waje watudadavulienaam hebu hawa wakongwe waje kuyudadavulia
 
Back
Top Bottom