Tetere Enjiwa
JF-Expert Member
- Aug 21, 2011
- 217
- 65
tatizo lipo tena kubwa..kwani hiyo pesa ya serikali wakristo ndio wanachangia hio kodi wenyewe? This is distribution of nation cake....tatizo liko wapo? Kwani mahakimu wa hio mahakama watatoka uarabuni? Nope ..watakuwa ni watanzania wenzetu tena....kuna tatizo hapo?....au hujawahi kwenda kwenye migodi ya madini na makampuni makubwa ukaona jinsi wageni wanavyotumbua pesa yetu kwa kupewa mishahara mikubwa?
Mbona tayari wanatumia kodi za serikali, uundaji si unaratibiwa na ofisi ya pm, pm na wenzake si wanalipwa kwa kodi za waTZ. Kama hiyo kamati ya pamoja hawalipwi posho sina hakika sana ndio staili yetu hii, kulipana posho.