Mahakama ya Kadhi: Masheikh wakutana na JK

tatizo lipo tena kubwa..kwani hiyo pesa ya serikali wakristo ndio wanachangia hio kodi wenyewe? This is distribution of nation cake....tatizo liko wapo? Kwani mahakimu wa hio mahakama watatoka uarabuni? Nope ..watakuwa ni watanzania wenzetu tena....kuna tatizo hapo?....au hujawahi kwenda kwenye migodi ya madini na makampuni makubwa ukaona jinsi wageni wanavyotumbua pesa yetu kwa kupewa mishahara mikubwa?

Mbona tayari wanatumia kodi za serikali, uundaji si unaratibiwa na ofisi ya pm, pm na wenzake si wanalipwa kwa kodi za waTZ. Kama hiyo kamati ya pamoja hawalipwi posho sina hakika sana ndio staili yetu hii, kulipana posho.

serikali ianzishe hiyo mahakama watu wakatwe mikono bana.. Uhalifu mwingi utapungua aisee...kwa nn wakristo hawaitaki hii mahakama? Hii ni pilipili isiyoila sasa inawawashia nini?

Haya ndio mambo wengi tusiotaka kuyaona. Hizo adhabu za kukata mikono mtakata waislamu tu au mtakata hata wasio waislamu?? Tena kama nia ni hiyo, fanyeni referundum hata katika uislamu na mtashangaa kuona wengi wenu hawataki sheria za namna hii.

Pamoja na kutaka hayo, kumbuka hata Rais alisema ni maswala ya ndoa, mirathi. Si wizi, uongo nk!! Tatizo kubwa kwako ni kulalama na kuona mwingine ndio chanzo cha matatizo yako. Kama hakimu wa makahama ya kadhi hawezi kuwa wa dhehebu jingine, huoni hiyo ni taasisi ya kidini ambayo serikali haipaswi kuiingilia? Mfano mdogo tu ni Jumuiya ya Kikristu au Bakwata. Taasisi hizi hazipati fedha yoyote kutoka serikalini kwa sababu malengo yake ni ya kidini na si kijamii kama mashule, mahospitali nk.

Serikali haikatai mahakama ya kadhi kuwepo, inakataa kujihusisha na jumuiya ya kidini. Elewa hivo tu na itatosha.

kama haina dini kwa nini -Katoliki wanapewa fungu na serikali? Kwa nini kama wanatoa huduma za jamii wasitoe tu kama kanisa? Kwa nini wameingia gentlemen mkataba na serikali ambayo haina dini? Serikali na maaskofu hapa wameteleza kuwanyima waislamu mahakama ya kadhi kama walivyotaka na huu udini wakristo ndio wanauanzisha wenyewe
mkuu lile fungu wanalopewa wakristu ni kwa kuendesha huduma za jamii...wewe , mjomba wako nk kama mkipata safura mnakwenda kutibiwa pale bila ubaguzi, maji ya kisima mnakunywa wote wakristu/waislam...lakini mahakama ya kadhi ni shughuli ya ibada ya waislam wenyewe , si ya jamii nzima ya tanzania ndiyo maana wanatakiwa mshughulikie wenyewe hiyo mahakama!

Mkubwa... Sorry if I'll be offending you... But I think and believe the opposite is true... Kutumia pesa za Serikali kuanzisha na kuendesha Taasisi za kidini ndiyo UDINI!!!
mbona serikali hiyohiyo inatoa ruzuku kwa taasisi ya ccbrt ambayo ni taasisi ya kidini inayoongozwa na dr w.p. s..aa? je huu nao ni udini?

kama haina dini kwa nini -Katoliki wanapewa fungu na serikali? Kwa nini kama wanatoa huduma za jamii wasitoe tu kama kanisa? Kwa nini wameingia gentlemen mkataba na serikali ambayo haina dini? Serikali na maaskofu hapa wameteleza kuwanyima waislamu mahakama ya kadhi kama walivyotaka na huu udini wakristo ndio wanauanzisha wenyewe
unajua ni shs ngapi wakatoliki wanapewa? Nadhan kafanye utafiti kwanza. Uungwana huendana na kuwa na uhakika na mtu asemacho. Halafu unajua hiyo MoU ilihusu nini?

kwani Ivuga kaanza lini udini tena?
Ivuga oh!!!!
Rudi mtaani kwetu huku bana utunze watoto wako achana na
siasa ukwara hizo

Waislam tuchape kazi, malumbano na fikra potofu ndivyo vinaturudisha nyuma. Hata ukiangalia mikoa ya waislam wengi nje ya Dar iko nyuma kimaendeleo. Mfano: Tabora, Lindi, Mtwara na Kigoma.

Tulitengwa kaka!

Haya ndio mambo wengi tusiotaka kuyaona. Hizo adhabu za kukata mikono mtakata waislamu tu au mtakata hata wasio waislamu?? Tena kama nia ni hiyo, fanyeni referundum hata katika uislamu na mtashangaa kuona wengi wenu hawataki sheria za namna hii.

Pamoja na kutaka hayo, kumbuka hata Rais alisema ni maswala ya ndoa, mirathi. Si wizi, uongo nk!! Tatizo kubwa kwako ni kulalama na kuona mwingine ndio chanzo cha matatizo yako. Kama hakimu wa makahama ya kadhi hawezi kuwa wa dhehebu jingine, huoni hiyo ni taasisi ya kidini ambayo serikali haipaswi kuiingilia? Mfano mdogo tu ni Jumuiya ya Kikristu au Bakwata. Taasisi hizi hazipati fedha yoyote kutoka serikalini kwa sababu malengo yake ni ya kidini na si kijamii kama mashule, mahospitali nk.

Serikali haikatai mahakama ya kadhi kuwepo, inakataa kujihusisha na jumuiya ya kidini. Elewa hivo tu na itatosha.
hapo kwenye red; nafurahi sana kuona chadema leo mnamtukuza na kumheshimu mh. rais: kumbe ile kumtukana huwa mnakuwa mmerukwa na akili? kumbe mnajua jinsi ya kuongea kistaarabu enhee!!!!!!!!!!

unajua kuwa serikali inalipa kanisa fungu kila mwaka? Huu sio udini?

Wake up!!! Hapa serikali imeteleza sana isifikiri kuwa waislamu ni wajinga

Huyu JK na udini wake keshatutenganisha!
angalia maoni kama ya huyu Saint Ivuga yalivyo na hatred ndani yake!!!
Hebu Saint Ivuga tuambie hilo fungu wanalopewa wakatoliki ni kwa ajili ya shughuli gani? Je, hilo fungu linanuaisha Wakatoliki tu?
Umewahi kwenda KCMC wewe kama muislam ukanyimwa huduma au ukapewa huduma tofauti na mkristu?
Umewahi kwenda Bugando ukabaguliwa kwa uislamu wako? JAMANI TUACHENI KUPOKEA PROPAGANDA ZISIZO NA MWELEKEO!

usijifanye mjinga braza wakati akili unazo, ruzuku zinazotolewa na serikali kwa mashirika ya kidini(na sio makanisa pekee) ni kwa huduma zinazolenga jamii nzima kama mashule na hospital, haijawahi kutoa pesa kuendesha ibada sasa unapolazimishia mahakama ya kadhi ambayo ni sehemu ya ibada ya dini moja, si ndo udini huo ndugu yangu?

mkuu lile fungu wanalopewa wakristu ni kwa kuendesha huduma za jamii...wewe , mjomba wako nk kama mkipata safura mnakwenda kutibiwa pale bila ubaguzi, maji ya kisima mnakunywa wote wakristu/waislam...lakini mahakama ya kadhi ni shughuli ya ibada ya waislam wenyewe , si ya jamii nzima ya tanzania ndiyo maana wanatakiwa mshughulikie wenyewe hiyo mahakama!

nyongeza. Huduma hizo ni zile tu ambazo serikali inataka zitolewe bure kwa wananchi wote. Huduma ya mama na mtoto, ARVs, chanjo nk. Ni muhimu ieleweke kuwa haya madhehebu ya kikristo hutoa huduma zake na wanaohudumiwa hufidia gharama ili angalau huduma iwe sustainable. Kikawaida kama huduma hizo zingetolewa bila ruzuku ingesumbua sana kwani huduma hizo ambazo kwa kweli ni muhimu haya kwa sisi wa vijijini zingekoma tu.

Nasema tuliopewa hiyo ruzuku ni mimi na wewe bila kujali dini zetu. Bila ya watoa huduma kukubali kupunguza au kuondoa bei nadhani vifo vya mama na wachanga vingekuwa vingi sana. Binafsi naona tu kuwa serikali imepitishia tu pale pesa ambayo pengine tungegawiwa wazitumie dada zetu na wana wetu.

Na hizi ruzuku zipo hata za mbolea. Zipo ili kutuondolea gharama hasa ss maskin wa kipato. Ukiwa fiti utaenda private hospital yoyote ile, lkn kwa mwenzangu wa ludewa atakimbilia lugarawa, milo au kwenye dispensari ambazo wakatoliki walitujengea kila kata.

Tulitengwa kaka!

Hili ndiyo tatizo kubwa linalowakabili watu wengi wa aina yako,huungalii wapi umeanguka ili uweze kuinuka ila unatafuta mtu wa kumbebesha lawama kwa kuanguka kwako! Acha kulalama fanyeni jitihada zitakozokwamua pale mlipo ili historia iswahukumu kwa kupenda kulalamika na kutofanya jitihada zozote kubadilisha hali iliyopo!!

Waislam tuchape kazi, malumbano na fikra potofu ndivyo vinaturudisha nyuma. Hata ukiangalia mikoa ya waislam wengi nje ya Dar iko nyuma kimaendeleo. Mfano: Tabora, Lindi, Mtwara na Kigoma.

Kaka siyo kweli kwamba mikoa hiyo iko nyuma kimaendeleo kwa sababu ya Uisilam., Itake radhi tafadhali. Kuwa makini kuchangia mada.

Hivi wewe wakristo wanakunyima usingizi? Jitahidi uwabadilishe wawe waislam. Ukishindwa ungana nao.

Madhehebu gani ya kiislam yatakayoendesha mahakama hiyo. Bakwata mwaikataa!!
sas point yako iko wapi hapa?usitumie masaburi

Haya ndio mambo wengi tusiotaka kuyaona. Hizo adhabu za kukata mikono mtakata waislamu tu au mtakata hata wasio waislamu?? Tena kama nia ni hiyo, fanyeni referundum hata katika uislamu na mtashangaa kuona wengi wenu hawataki sheria za namna hii.

Pamoja na kutaka hayo, kumbuka hata Rais alisema ni maswala ya ndoa, mirathi. Si wizi, uongo nk!! Tatizo kubwa kwako ni kulalama na kuona mwingine ndio chanzo cha matatizo yako. Kama hakimu wa makahama ya kadhi hawezi kuwa wa dhehebu jingine, huoni hiyo ni taasisi ya kidini ambayo serikali haipaswi kuiingilia? Mfano mdogo tu ni Jumuiya ya Kikristu au Bakwata. Taasisi hizi hazipati fedha yoyote kutoka serikalini kwa sababu malengo yake ni ya kidini na si kijamii kama mashule, mahospitali nk.

Serikali haikatai mahakama ya kadhi kuwepo, inakataa kujihusisha na jumuiya ya kidini. Elewa hivo tu na itatosha.
kwani mwislamu anaweza kwenda kusoam kweney shule za seminary? huu sio udini? wewe unaongea nini bwana ..

mkuu lile fungu wanalopewa wakristu ni kwa kuendesha huduma za jamii...wewe , mjomba wako nk kama mkipata safura mnakwenda kutibiwa pale bila ubaguzi, maji ya kisima mnakunywa wote wakristu/waislam...lakini mahakama ya kadhi ni shughuli ya ibada ya waislam wenyewe , si ya jamii nzima ya tanzania ndiyo maana wanatakiwa mshughulikie wenyewe hiyo mahakama!
kwani hii mahakama akiajiriwa mwislamu na wewe ukiwa na genge lako si atakuja kununua vitu kwenye biashara zakao? tatizo liko wapi? acheni udini hautatupeleka kokote ..

3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom