much know
JF-Expert Member
- Oct 22, 2017
- 7,517
- 10,303
Achana na story za kweye ghahawa.Uingereza haijavamiwa na Europe , Zanzibar ilivamiwa na Tanganyika. Kumbuka hilo
Achana na story za kweye ghahawa.Uingereza haijavamiwa na Europe , Zanzibar ilivamiwa na Tanganyika. Kumbuka hilo
Achana na story za kweye ghahawa.
....Jamsheed !Ndivyo alikuambia Kardinali Pengo??
Kaabudu mungu wako Shoga Cesare Borgia upate kuja kunya humu jf....Jamsheed !
...teehee ....hee tiihii ! Kila anaekupinga, basi unamuona ni mgala ! Kwani Zanzibar imekuwa Madina !?Kaabudu mungu wako Shoga Cesare Borgia upate kuja kunya humu jf
Imekuwa Vatican city...teehee ....hee tiihii ! Kila anaekupinga, basi unamuona ni mgala ! Kwani Zanzibar imekuwa Madina !?
....na kweli, mataliano ndo yamejaa beach zote !Imekuwa Vatican city
Na makanisa pia pamoja na majeshi ya wavamizi....na kweli, mataliano ndo yamejaa beach zote !
Kwa hisani ya Baraza la MapinduziNa makanisa pia pamoja na majeshi ya wavamizi
Kwa hisani ya Pengo na Kanisa KatolikiKwa hisani ya Baraza la Mapinduzi
Kwa huzuni ya Jamsheed !Kwa hisani ya Pengo na Kanisa Katoliki
Lakini si huzuni ya Shoga Cesare Borgia unayemwabudu,??Kwa huzuni ya Jamsheed !
...mna matokeo yenu mfukoni !?Mahakama ya haki ya Afrika Mashariki sasa iko katika hatua ya kupanga utaratibu wa kuanza kupanga tarehe ya kuisikiliza kesi ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ambayo imefunguliwa katika mahakama hiyo na wazanzibari 40,000, kimsingi upande wa walalamikaji unaendelea kujipanga vyema katika hatua ya usikilizwaji wa kesi hiyo ambayo hadi hivi sasa wazanzibari walio wengi zaidi ya asilimia %90 wa Ndani na nje ya Zanzibar wanafuatilia suala hili pamoja na watu mbali mbali katika ukanda wa Afrika Mashariki Afrika na Dunia,Hata hivyo upande wa walalamikiwa Mwana Sharia Mkuu wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar,Katibu Mkuu Baraza LA Mapinduzi Zanzibar na Mwana Sharia Mkuu wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano Tanzania kimsingi upande wa walalamikiwa Serikali zote za Tanzania zinaogopa sana hatua ya kusikilizwa Kwa kesi hii maana hoja zilizowasilishwa ni nzito sana Kwa upande wao hivyo huu ni wakati mgumu sana kwa Serikali za Tanzania Juu ya suala LA Muungano ndani ya kipindi cha miaka 54, hatufikirii kabisa kama wanasharia wa upande wa Serikali wataweza kukabiliana kisheria katika mahakama hiyo yenye mjaji waliobobea
Stupidhakuna anayesapoti kuvunjika kwa muungano hasa wazenji kwa kuwa wao ndo wanaitegemea Tanzania bara kwa mambo mengi tu hiyo mara nyingi ni mihemko ya watu wachache vibaraka wa sultan anayetaka kuichukua tena Zanzibar kwani haamini kama nchi kachukuliwa kizembe namna ile..
Nendeni halafu hamtaki kuachia waondoke?!!!Nyie kama mmechoka nendeni tu!
Makasuku bwana hatari. Libya kwani ilinyimwa uhuru?Kusikilizwa ni jambo jema lakini hao wanaotaka muungano uvunjwe wanatafuta nini ? je ni kweli Zanzibar siyo huru ? na je Tanzania ndiyo Tanganyika ? je katika hayo makubaliano Nyerere na Karume walikusudia baadae uvunjwe ? mi nadhani liko kisiasa zaidi. hii itakuwa kama Libya, Egypt, Tunisia ambao walitumia dhana ya Natural law kujikwamua lakini baadae ikawa shida kwao. Will Autonomy
Wimbo wa zilipendwa tokea enzi zileee. Kwani Wazaramo na Wakwere wapo Tanganyika au Zanzibar?Wazanzibar sikuzote wana akili za kushikiwa, Wao wanafikiri ni kujitenga tu ndio suluhisho..
Hawajui kuna watanganyika wengi Sana wanaoishi Zanzibar, na ukishaanza ubaguzi huo baadae hawataishia hapo, watakuta kuna wapemba na waunguja, kutokana na ubaguzi waliouanzisha wataanza kubaguana tena wenyewe kwa wenyewe na mambo ya Somalia ndipo yatakapoanzia hapo. Civil war na majanga kibao.. Kinachowafanya wajiite wao ni wazanzibar si kingine ni muungano tu.. Nje ya muungano kuna wao wapemba sisi waunguja